Wakuu kun benki inaweza nikopesha kwa kutumia kiwanja cha 45m x 65m kama collateral?

Collateral haikupi uhakika wa 100% kupata mkopo. Kuna biashara na bank statement. Kama tayari biashara iko active huku account yako ikionyesha uhai wa kutumika mara kwa mara itasaidia zaidi. Ninavyojua kiwanja peke yake huwa ngumu kukubalika kwenye mabenki hasa haya makubwa. Lakini huenda kiwanja kipo kwenye prime areas za nchi hii kwahiyo ikafanya benki wasijali kama kina nyumba au la. I wish you good luck.
 
Karibuni

Nina biashara ,ila nataka kuongeza bidhaa, benki ipi ina sera za kuwapatia wateja mikopo kwa kutumia hata kiwanja?
Ndiyo, benki nyingi Tanzania zinakubali kiwanja kama collateral, lakini siyo ukubwa wa kiwanja pekee unaoamua. Muhimu zaidi ni kuwa na hati/nyaraka halali za umiliki na kiwanja kiwe na thamani inayoweza kuthibitishwa na valuator anayekubalika na benki.

Kwa mfano, kama una biashara inayoendelea na una ushahidi wa mauzo na uwezo wa kurejesha mkopo, unaweza kuomba business loan ukatumia kiwanja kama dhamana. Benki itafanya valuation ya kiwanja, kuangalia historia ya biashara na uwezo wako wa kulipa, kisha itaamua kiasi wanachoweza kukukopesha.

Ushauri wangu, usiende benki moja tu. Fanya quotation na benki kadhaa uone interest rate, valuation charges, processing fees na kiwango wanachoweza kukupa dhidi ya thamani ya kiwanja. Pia hakikisha unauliza kama wanakubali kiwanja cha aina uliyonacho kabla hujalipia gharama za valuation.
 
Mtaalam, jambo sio kuwa na asset au dhamana, la hasha, kitu kikubwa benki wanazingatia ni uwezo wako wa kurejesha mkopo wao.

Wengi tunafikiri kwa vile nna gari, kiwanja au chochote cha thamani, nnaweza kwenda kukopa benki bila shida yoyote, ni kweli inawezekana, ila lazima waone uwezo wa kurejesha pesa yao kila mwezi kutokana na shughuli/ Biashara/ajira yako.

Benki hawapendi ifike mahali waanze kufanya udalali kutafuta wateja wa kununua kiwanja chako kea kushindwa kulipa.

Hitimisho, kama una kiwanja na una chanzo kingine cha kuweza kulipa mkopo kila mwezi, uwezekano mkubwa ukapata mkopo, ila kama ni kiwanja peke yake, inabidi uyajenge na afisa mikopo.
 
Ni kweli kabisa unaweza kukopeshwa, ila wana angalia bei ya soko ya kiwanja; na benk wanakukopesha kwa takriban nusu ya bei ya soko ya kiwanja chako.
Mfano; kama kiwanja chako kwa bei ya soko ya eneo kilipo ni 30mil
Benk wanaweza kukukopea kwenye 15mil hivi, wakizidi sana 20m
Wanafanya hivyo ili ukishindwa kurejesha wakiuze chap
Ujue pia, Biashara ya kurejesha huo mkopo ina angaliwa kwa kuwa Bank haipo pale kuuuza viwanja
 
Mtaalam, jambo sio kuwa na asset au dhamana, la hasha, kitu kikubwa benki wanazingatia ni uwezo wako wa kurejesha mkopo wao.

Wengi tunafikiri kwa vile nna gari, kiwanja au chochote cha thamani, nnaweza kwenda kukopa benki bila shida yoyote, ni kweli inawezekana, ila lazima waone uwezo wa kurejesha pesa yao kila mwezi kutokana na shughuli/ Biashara/ajira yako.

Benki hawapendi ifike mahali waanze kufanya udalali kutafuta wateja wa kununua kiwanja chako kea kushindwa kulipa.

Hitimisho, kama una kiwanja na una chanzo kingine cha kuweza kulipa mkopo kila mwezi, uwezekano mkubwa ukapata mkopo, ila kama ni kiwanja peke yake, inabidi uyajenge na afisa mikopo.
Nina biashara ya hardware mkuu
 
Ni kweli kabisa unaweza kukopeshwa, ila wana angalia bei ya soko ya kiwanja; na benk wanakukopesha kwa takriban nusu ya bei ya soko ya kiwanja chako.
Mfano; kama kiwanja chako kwa bei ya soko ya eneo kilipo ni 30mil
Benk wanaweza kukukopea kwenye 15mil hivi, wakizidi sana 20m
Wanafanya hivyo ili ukishindwa kurejesha wakiuze chap
Ahsantw boss
 
Mtaalam, jambo sio kuwa na asset au dhamana, la hasha, kitu kikubwa benki wanazingatia ni uwezo wako wa kurejesha mkopo wao.

Wengi tunafikiri kwa vile nna gari, kiwanja au chochote cha thamani, nnaweza kwenda kukopa benki bila shida yoyote, ni kweli inawezekana, ila lazima waone uwezo wa kurejesha pesa yao kila mwezi kutokana na shughuli/ Biashara/ajira yako.

Benki hawapendi ifike mahali waanze kufanya udalali kutafuta wateja wa kununua kiwanja chako kea kushindwa kulipa.

Hitimisho, kama una kiwanja na una chanzo kingine cha kuweza kulipa mkopo kila mwezi, uwezekano mkubwa ukapata mkopo, ila kama ni kiwanja peke yake, inabidi uyajenge na afisa mikopo.
Ahsantw sana
 
Back
Top Bottom