Wakati baadhi ya watu wanatumia AI kuuliza maswali ya kawaida, wengine wanajifunza kuitumia kutengeneza huduma ambazo watu na biashara ziko tayari kuzilipia. Tofauti haipo kwenye teknolojia pekee, bali namna unavyoitumia.
Gemini AI inaweza kuwa nyenzo muhimu ya kuongeza ufanisi na kuanzisha...
Leo tujadili biashara za kariakoo zilivyo sasa kutokana na ushindani wa bei kutoka kwa wazawa na wageni
Tujadili ni biashara gani kariakoo ukiwekeza mtaji wa bilioni 1 inaweza kuleta faida ya milioni 100 kwa mwezi
Kuna taarifa inasema kuwa kuanza kuoga kwa kujimwagia maji kichwani kunaweza kuongeza hatari ya kupata kiharusi (stroke). Taarifa hiyo inaeleza kuwa watu wanapaswa kuanza kuoga kwa kulowesha miguu, kisha mwili na kumalizia kichwani.
Kwa mujibu wa taarifa:
Kiharusi kinaweza kutokea pale damu...
Asilimia kubwa ya wakulima lazima utukute kwenye mazao yale Over rated yanayo zalishwa na kila mtu. mazao ya jamii kama Mahindi, Mahargwe, Mazao kama Vitunguu, Nyanya, Tikitiki maji, Maembe na kadhalika. Huko utatukuta kwa wingi sana
Utatukuta kwenye mifugo kama Kuku labda na nguruwe na Ng'ombe...
Hahaaa hii inaitwa force kingi hadi mtaelewa tu, nani kakaona kekundu, narudia tena ukiweka hapa na hapa unaliwa kekundu haka hapa. 😎😎😎😎
=============
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Dkt. Ladislaus Chang’a, amesema hali ya El Niño inaweza kuendelea hadi mwanzoni mwa...
Nimeandaa makala inayochambua utekelezaji wa Government Notice No. 487A of 2025, inayozuia wasio raia kufanya baadhi ya shughuli za biashara Tanzania.
Lengo la kuwalinda na kuwawezesha Watanzania kiuchumi ni muhimu. Lakini kuna swali linalohitaji mjadala; Nini kinatokea kwa kampuni zilizokuwa...
wanakuona kwa uwazi kabisa. Lakini upande wa pili hauoni kwa macho ya nyama kama yetu: huona kupitia aura yako, mfumo wa fikra zako, na utofauti wa mwanga.
Kwa mtu ambaye tayari ameuacha mwili, wako unaonekana kama umbo la nishati inayong'aa ikitembea gizani."
Faragha ni moja ya nyakati ambazo...
Katika ujana wangu huu ulio mwishoni very soon naenda hit 40, kwenye kupita huku na kule na nikiwa na uhitaji mkubwa wa kupata mtoto wangu wa tatu nilijikuta nimezaa na single mother flani mwanamke wa maana sana na kanizalia mtoto wa kiume.
Basi nimekuwa namhudumia yeye na mtoto wangu,miaka...
Kero yetu kwa upande wa Tabata, maji hayaotoki jamani tunakaa mpaka wiki mbili hadi tatu.
Mitaa ya Barakuda mpaka Shule mbona maji ya shida? Siku yakirudi yanarudi usiku Saa 10 mpaka Saa 11 alfajiri.
Kwa mara ya kwanza katika historia CCM itaelekea katika uchaguzi wa urais mwaka 2030 bila kuwa na mgombea yeyote maarufu, mwenye ushawawishi au anayeweza kubebwa au kujificha chini ya kanuni za utamaduni wa chama wa "muendelezo" wa Rais aliye madarakani.
Hii inaweza kuwa fursa kubwa sana ya...
Myahudi aliyeitwa Sauli? Mtume aliyeitwa Paulo? Au ni hadithi iliyotungwa tu?
Kutoka kuwa mtu aliyekuwa akiwafuatilia na kuwakamata wapinzani wa dini, hadi kuwa kiongozi mkubwa wa kanisa; kutoka kupambana na wanyama huko Efeso, hadi kuuawa kwa kukatwa kichwa huko Roma—hadithi ya Paulo ina...
Aliyoyasema Lissu jana kuwa adhabu ya kosa analotuhumiwa nalo ni kunyongwa na kwamba mahakama isiambiwe kitu cha tofauti na hukumu ya kunyongwa au yeye(Lissu) kuachiwa huru
Sasa hii hapa chini ni sehemu ya final submission ya Katuga leo mahakamani:
Waheshimiwa Majaji kwa kuelezea kwa kirefu...
Nyie ambao mlimtweza yule askari wa usalama barabarani na aliyeangushwa na yule Daktari mwenye kisukari cha kupanda na kushuka lazima mkubali huu ukweli.
Jamii yoyote, mtu yeyote ana nature ya uasifa tabibu. Mtu akipata ugonjwa kama hana pesa au bima ya kwenda hospital atapata njia mbadala...
Kuna kitu nadhani kimebadilishwa na google pamoja na mitandao ya kijamii ambacho kina expose identity ya watumiaji.
Zamani ilikuwa ukipost link ya youtube humu ndani, ukiifungua haitaonyesha youtube channel au ID ya yule aliyeshare link. Sasa hivi ni tofauti.
Sasa hivi ukishare link yoyote ya...
Unaweza ukajihoji kuwa ulipoteza muda kupigania taaluma uliyonayo.
Vichwa vyenye rutuba inayoweza kustawisha Ujinga vinazidi kuongezeka.
Uongo unaweza kuwa moja ya bidhaa pendwa na muhimu kwa uhai wa serikali na viongozi feki.
Wanufaika wanapambana kwa kukaza hadi mishipa ya nyoro kama...
Wakili na mtetezi wa haki za binadamu, Dickson Matata, amesema kutokufika kwa Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Ramadhan Kingai, mbele ya Jopo la Majaji baada ya kuitwa kutoa ushahidi katika kesi ya uhaini inayomkabili Tundu Lissu, kunaweza kuwa sababu ya msingi katika hatua za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.