Keynez
JF-Expert Member
- Feb 12, 2007
- 3,809
- 6,948
Kuna kitu nadhani kimebadilishwa na google pamoja na mitandao ya kijamii ambacho kina expose identity ya watumiaji.
Zamani ilikuwa ukipost link ya youtube humu ndani, ukiifungua haitaonyesha youtube channel au ID ya yule aliyeshare link. Sasa hivi ni tofauti.
Sasa hivi ukishare link yoyote ya youtube, ukiifungua, hapohapo inakwambia na kukuonyesha youtube ID ya yule aliyeshare link. Watu wengi youtube ID zao ni majina yao halisi maana wameyalink na gmail account zao.
Matokeo yake ni kwamba ukishaexpose ID yako ya gmail kwa njia hiyo, watu wasiojulikana wanaweza kulink JF account yako na kukujua wewe ni nani iwapo ulishare link moja kwa moja ndani ya JF.
Nina mfano hai wa mtu alipost youtube link hapa wiki chache zilizopita, nilivyofungua ikaniambia jina lake na ni member wa muda mrefu humu ndani.