makini

Jully Makini (also known as Jully Sipolo) (born c. 1953 (age 64 in 2017)) is a Solomon Islander poet, writer and women's rights activist. The author of poems such as Civilized Girl (1981) and Praying Parents (1986), in June 2017 she received the International Women of Courage Award from the US Secretary of State for her work in promoting women's rights in the Solomon Islands.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Chadema kuweni makini fuatilieni ushahidi kwenye swala la Lema

    Chadema kuweni makini fuatilieni ushahidi kwenye swala la Lema. Watu wa CCM wanataka kuleta mchafuko kwa kumtumia Lema na kumsingizia. Habari za sirisiri ambazo wana harakati wanapewa wawe makini na hizo habari inawezekana kabisa wanao wapa habari wanawapandikizia mambo ya uzushi.
  2. Keynez

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema anatukumbusha kuwa ukipata uongozi, kuwa makini na wale wanaoamini walikusaidia kuupata

    John Magufuli baada tu ya kupata urais, alimtupa mbali rafiki yake Charles Kitwanga aliyekuwa amempa uwaziri baada ya kusemekana kuongea bungeni akiwa bwiii. George W. Bush alivyopata tu Urais, alijitenga na rafiki yake wa karibu (jina nimelisahau) aliyekuwa amempa nafasi ya uongozi. Barack...
  3. H

    JamiiForums Tanzania TAHADHARI: Watanzania waliobado na utu wema na mioyo ya kujali, huku mitaani tuwe makini tusije kuponza wenzetu

    Baada ya pilika pilika za kutafuta ugali, jioni hii Nimekaa-zangu nje ya nyumba napata upepo wa el Nino. Anapita njiani mtu mzima ila simfahamu kabisa maeneo ya mtaa wetu, kisha ghafla anajongea karibu yangu na kuniuliza unamfahamu Pendo. Mimi: pendo wa wapi yeye: anakaa mitaa hii, kama...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Tusipokuwa makini watu wasiojulikana watakuwa paramilitary wing

    Hiki kikundi cha wasiojulikana kisipothibitiwa basi kama nchi kuna-hatari kubwa sana ya kutokea yale yaliyotokea sudani yaani kinaenda kuwa paramilitary wings Tokea utawala wa jiwe alitengeneza kikundi cha wasiojulikana na kilikuwa kinafanya kazi zifuatazo ambazo mpaka sahivi kinaendelea Kuiba...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Hata Maria Sarungi Naye alitengenezaga Maigizo Ya Kujifanya Ametekwa . Watanzania Kaeni kwa Kutulia na Muwe makini sana na Maigizo

    Ndugu zangu Watanzania, Kuweni Makini sana na Maigizo yanayoletwa kwa njia tofautitofauti. Maria Sarungi amewahi kufanya Maigizo ya kusema Ametekwa halafu eti baadaye akajifanya kwamba eti aliwashinda nguvu watekaji . Lengo likiwa ni kutaka kuichafua Nchi yetu na serikali yetu kwa maslahi...
  6. Design Your Idea

    JamiiForums Tanzania Yohanna Mbatizaji (John The Baptist) ndie aliekuwa nabii wa mwisho na hakuna alietokea tena kuwa nabii. Kuwa makini wewe Mkristo na manabii wa mchongo

    Usiwaite watu nabii kisa wengine wanawaita. Usijiunganishe na mdhabahu yao maana hujui ni manabii wa miungu ipi. Siku njema
  7. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Sala za kale zinazopaswa kutumiwa kwa makini sana

    1. Ili kujikomboa kutoka kwenye mahusiano yaliyojaa ugomvi mtupu..! funga fundo gumu kwenye uzi mweusi, ushikilie juu ya mshumaa uliowashwa na useme maneno haya "Kifungo kilichogeuka kuwa ugomvi, ninakutegua. Kilichokuwa chetu ninakirudisha kwenye upepo, kilicho changu kinabaki nami. Ikiwa...
  8. Design Your Idea

    JamiiForums Tanzania Watakapo tuacha tukichinjana kisa dini, wao watakuwa juu na helicopter wakisepa. KUWENI MAKINI WATANZANIA.

  9. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Ufaransa inahitaji kiongozi aina ya Benyamini Netanyau wasipokuwa makini itamezwa na magaid

    Ukiangali kinachoendelea ufaransa lazima utakubaliana na mimi wanahitaji kiongozi aina ya benyamini Nentanyau Kwanini nasema hivi diaspora kutoka algeria, morocco, na tunisia ndo wanaongoza kuiharibu nchi Psg ikishinda wanachoma nchi, morocco ikifungwa nchi inachomwa, watu wakiandaa maandamano...
  10. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Askofu Malasusa kuwa makini na kanisa lako acha kukaribisha wanaccm wenzako kushambulia makanisa mengine

    Kauli aliyoitoa kiongozi wa CCM huko Arusha kupitia mgongo wa KKKT ni ya kutaka kuligonganisha kanisa hilo na makanisa mengine hasa Katoliki. Kwa muda alioutumia kiongozi huyo kukitoa kilichomo moyoni mwake kinaleta hisia ya kuwa kikao kile cha viongozi wa KKKT kiliandaliwa kwa makusudi ya kumpa...
  11. Keynez

    JamiiForums Tanzania Kuwa makini sana unapopost link ya Youtube au Instagram humu ndani maana inaweza kutambulisha wewe ni nani

    Kuna kitu nadhani kimebadilishwa na google pamoja na mitandao ya kijamii ambacho kina expose identity ya watumiaji. Zamani ilikuwa ukipost link ya youtube humu ndani, ukiifungua haitaonyesha youtube channel au ID ya yule aliyeshare link. Sasa hivi ni tofauti. Sasa hivi ukishare link yoyote ya...
  12. Troll JF

    JamiiForums Tanzania Mwanasiasa Godbless Lema ni Kijana Makini sana hakika ni Hazina kwa taifa

    Mwanasiasa Machachari Godbless Lema namuona atafika mbali kisiasa kwa haiba na akili yangi makada wa vyama vya upinzani wana la Kujifunza kwa huyu jamaa hakika ni Mfano wa Kuigwa.
  13. S

    JamiiForums Tanzania Uzungu' na 'uarabu' umejificha nyuma ya pazia la madai ya katiba mpya. Tusipokuwa makini, taifa litaangamia

    Madai ya Katiba Mpya imekuwa ni ajenda kuu ktk siasa za Tanzania kwenye kipindi cha mwishoni mwa muhula wa kwanza wa Utawala wa Rais Magufuri na kisha hoja hizo zikapamba moto zaidi ktk awamu hii ya sita. Hali imekuwa mbaya zaidi hadi kufikia kushuhudiwa mauaji ya watu wengi kwenye vurugu za...
  14. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mbinu 7 makini za kulea mtoto mazingira ya mjini

    MBINU 7 MAKINI ZA KULEA MTOTO MAZINGIRA YA MJINI Malezi ya mtoto katika mazingira ya mjini yamekuwa changamoto kubwa kwa wazazi wengi. Mtoto wa Mjini anakua katika dunia yenye mchanganyiko wa tamaduni, mitazamo, teknolojia, mitandao ya kijamii na makundi mbalimbali ya watu.Hii Tofauti na zamani...
  15. fact only

    JamiiForums Tanzania Mnao ishi mabondeni na vichochoroni kuweni makini pia

    Hellow wa JF. Naona kuna taarifa nyingi zinasamba za kutunza chakula ili kujikinga na njaa wakati wa Mvua za El Niño. Naomba kuwakumbusha pia wadau mnaoishi kwenye mabonde na vichochoroni ndanindani mvua kubwa zaja wakuu. However kama unatafuta nyumba ya kupanga kipindi hiki zingatia sana...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Dorothy Temu: ACT hatuna ushirikiano wowote na dola. Hatuna mahusiano na CCM

    Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Dorothy semu, ameweka wazi kuwa chama chake hakina ushirikiano, urafiki wala mahusiano ya na Dola wala Chama Cha Mapinduzi (CCM), bali ACT inalenga kutimiza wajibu wake wa kisiasa kwa mujibu wa Katiba na sheria za nchi. Akizungumza katika mahojiano...
  17. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Kadiri mnavyoteketeza watu makini ndivyo mnavyoibua machizi na vichaa

    Hii haina comeback wala reverse! Mkiweza simamisheni sass hizi project za kupoteza, kuua kutesa na kudhalilisha watu.. Huku wengine mkiwabambikia kesi zisizo na dhamana Vijana na watu wema na makini kama kina Mzee Kibao, Kiswahili, Kipanya, Soka, Mdude na mamia wengine huwezi kuwafananisha na...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Utapeli mtandaoni, Mawakala na wateja kuweni makini, wezi wanabuni mbinu mpya kila siku

    Kuna utapeli wa aina nyingi sana kwenye miamala ya kifedha na mtandaoni, kila siku wezi wanabuni mbinu mpya. Umakini unahitajika sana, hesabu pesa na kucheki balance kila unapofanya muamala wa kupokea kwani hata mawakala nao wanatapeli wateja, kutuliza akili ni jambo la muhimu sana. Usikubali...
  19. GONGO BOY

    JamiiForums Tanzania TUNAPASWA KUWA MAKINI

    Je hii ni kweli na kam nikweli imekaaje🤔🤔
  20. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Ajali zinaua mamia ya watu tuwe makini barabarani

    Kweli kabisa. Ajali za barabarani ni tatizo kubwa linalochukua maisha ya watu wengi kila mwaka, mara nyingi kwa sababu zinazoweza kuepukika. Baadhi ya tahadhari muhimu: Vaa mkanda wa usalama (seatbelt) kila wakati. Usiongee kwa simu ukiwa unaendesha. Fuata mwendo kasi unaoruhusiwa. Usiendeshe...
Back
Top Bottom