Ufaransa inahitaji kiongozi aina ya Benyamini Netanyau wasipokuwa makini itamezwa na magaid

Dennis Robert Shughuru

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2024
Posts
5,559
Reaction score
8,747
Ukiangali kinachoendelea ufaransa lazima utakubaliana na mimi wanahitaji kiongozi aina ya benyamini Nentanyau

Kwanini nasema hivi diaspora kutoka algeria, morocco, na tunisia ndo wanaongoza kuiharibu nchi

Psg ikishinda wanachoma nchi, morocco ikifungwa nchi inachomwa, watu wakiandaa maandamano ya amani wana-hijack na kuanza kuchoma nchi

Liberal policy zimefeli europe ni wakati wa conservative na hardliner mfano wa Netanyau wote sisi ni mashahidi netanyau anafanya kaz nzuri sana ya kuilinda nchi yake angekuwa dhaifu leo hii wananchi wote wa israel wangekuwa wamechinjwa sasa france inahitaji kiongozi aina ya Netanyau ili kuclean mess na kudeal na magaid wa ndani nchi ambayo wanatamani kuona nchi inapotea

Watu wanachoma nchi huku wanapeperusha bendera za palestina, algeria na morocco yaani mtu amezaliwa ufaransa ila anaipenda sana morocco, algeria au tunisia ukiwaambia waende hawataki
french wanafeli sana wanapowachekea

Marekani na nchi za ulaya hazijawahi kuishambulia morocco, algeria au tunisia nchi ambazo zimepeleka watu wengi france kwa hiyo hakuna sababu ya kuichoma nchi ambayo umezaliwa
 
Ukiangali kinachoendelea ufaransa lazima utakubaliana na mimi wanahitaji kiongozi aina ya benyamini Nentanyau

Kwanini nasema hivi diaspora kutoka algeria, morocco, na tunisia ndo wanaongoza kuiharibu nchi

Psg ikishinda wanachoma nchi, morocco ikifungwa nchi inachomwa, watu wakiandaa maandamano ya amani wana-hijack na kuanza kuchoma nchi

Liberal policy zimefeli europe ni wakati wa conservative na hardliner mfano wa Netanyau wote sisi ni mashahidi netanyau anafanya kaz nzuri sana ya kuilinda nchi yake angekuwa dhaifu leo hii wananchi wote wa israel wangekuwa wamechinjwa sasa france inahitaji kiongozi aina ya Netanyau ili kuclean mess na kudeal na magaid wa ndani nchi ambayo wanatamani kuona nchi inapotea

Watu wanachoma nchi huku wanapeperusha bendera za palestina, algeria na morocco french wanafeli sana
Mbali na hayo ya itikadi paris machinga wamekuwa wengi sana wanaharibu ustaarabu wa mji huo
 
Ukiangali kinachoendelea ufaransa lazima utakubaliana na mimi wanahitaji kiongozi aina ya benyamini Nentanyau

Kwanini nasema hivi diaspora kutoka algeria, morocco, na tunisia ndo wanaongoza kuiharibu nchi

Psg ikishinda wanachoma nchi, morocco ikifungwa nchi inachomwa, watu wakiandaa maandamano ya amani wana-hijack na kuanza kuchoma nchi

Liberal policy zimefeli europe ni wakati wa conservative na hardliner mfano wa Netanyau wote sisi ni mashahidi netanyau anafanya kaz nzuri sana ya kuilinda nchi yake angekuwa dhaifu leo hii wananchi wote wa israel wangekuwa wamechinjwa sasa france inahitaji kiongozi aina ya Netanyau ili kuclean mess na kudeal na magaid wa ndani nchi ambayo wanatamani kuona nchi inapotea

Watu wanachoma nchi huku wanapeperusha bendera za palestina, algeria na morocco french wanafeli sana
Netanyahu anapigana na magaidi gani? yule yuko interested na madaraka tu. Ndio maana alipoambiwa Hamas watashambulia oktoba 7 akajikausha kabisa ili apate sababu ya kubaki madarakani.

Na taarifa za sasa zinasema alikataa hata dili la kurudishiwa mateka mapema kabisa maana alijua haitamsaidia kisiasa kuliko vita isiyoisha.

Ni wajinga kama wewe ndio mnaamini Netanyahu anapambana na ugaidi. In fact alimsaidia gaidi wa Al Qaeda kushika madaraka huko Syria na kusaidia wapiganaji wa ISIS waliokuwa wanatandikwa na Iran/Russia. Sasa mtu anayepambana na magaidi anaweza fadhili magaidi?

Empty head
 
Wahuni gani? Yaani unasifia mtu kuua watoto na wamama? Yaani dini zimefanya watu tunaona werevu kuwa ni vil.aza tu.

Netanyahu ni muuaji na ana kesi ya ICC. Aisee nyie jamaa dawa yenu alikua Hitler tu na Martin Luther.
Kwa maana hiyo Hamas waliolianzisha ni watu wema? Sisi hatujali, mnatabia ya kupiga halafu mnakimbilia kujificha msikitini na kwenye shule za watoto, hukohuko netanyahu anapiga makombora.
 
Back
Top Bottom