Ufaransa inahitaji kiongozi aina ya Benyamini Netanyau wasipokuwa makini itamezwa na magaid

Kwa maana hiyo Hamas waliolianzisha ni watu wema? Sisi hatujali, mnatabia ya kupiga halafu mnakimbilia kujificha msikitini na kwenye shule za watoto, hukohuko netanyahu anapiga makombora.
Kwani hamas ndio raia? Maana kwenye Vifo elfu 80 plus hao hamas hata vifo elfu 5 hawafiki ndio maana vita imeisha ila bado Hamas wapo maana yake Israel ilikua inaua raia inaacha askari.

Na sio mimi, amesema waziri wa Israel Itamar Ben Gvir kuwa wao walikua wamejiwekea malengo ya kuua RAIA wa palestina kila siku wala sio Hamas.

Ni sawa na Kenya baada ya kushambuliwa na Al Shabaab basi wangeenda tu Mogadishu na kuanza kuua msomali yoyote mbele yao kwani wangeshindwa?
 
Netanyahu anapigana na magaidi gani? yule yuko interested na madaraka tu. Ndio maana alipoambiwa Hamas watashambulia oktoba 7 akajikausha kabisa ili apate sababu ya kubaki madarakani.

Na taarifa za sasa zinasema alikataa hata dili la kurudishiwa mateka mapema kabisa maana alijua haitamsaidia kisiasa kuliko vita isiyoisha.

Ni wajinga kama wewe ndio mnaamini Netanyahu anapambana na ugaidi. In fact alimsaidia gaidi wa Al Qaeda kushika madaraka huko Syria na kusaidia wapiganaji wa ISIS waliokuwa wanatandikwa na Iran/Russia. Sasa mtu anayepambana na magaidi anaweza fadhili magaidi?

Empty head
Israel ndo only democratic country in middle east
Ndo maana kuna wakati netanyau alishindwa na akakubali na akaja kichaguliwa tena nchi zote zilizobaki hata uchaguzi hamna na nyingine ni za kidikteta israel unaweza mpinga netanyau na usifanye chochote nenda saud arabia na mping mohammed bin salman uone kitakachokutokea

Wewe unaakili ila hiyo dini yako ya kislamu inakutoa ufahamu inakufanya kuwa mjinga

Ufaransa PSG inashinda watu wako na bendera za palestina, algeria wanachoma nchi alafu unaona ni sawa,

Timu ya taifa ya Morocco anafungwa watu wamebeba bendera za morocco wanachoma nchi ya ufaransa alafu unaona ni sawa
 
Kwani hamas ndio raia? Maana kwenye Vifo elfu 80 plus hao hamas hata vifo elfu 5 hawafiki ndio maana vita imeisha ila bado Hamas wapo maana yake Israel ilikua inaua raia inaacha askari.

Na sio mimi, amesema waziri wa Israel Itamar Ben Gvir kuwa wao walikua wamejiwekea malengo ya kuua RAIA wa palestina kila siku wala sio Hamas.

Ni sawa na Kenya baada ya kushambuliwa na Al Shabaab basi wangeenda tu Mogadishu na kuanza kuua msomali yoyote mbele yao kwani wangeshindwa?
Kama israel ingekuwa ni wabaya kama unavyotaka kuaminisha watu wasingeruhusu waislamu million 2 kuishi nchi yao
 
Israel ameruhusu waislamu kuishi katika nchi yao? Wewe kweli zwazwa.

Wale waislamu unaowaona pale Israel ni wazawa wa nchi ile wala sio wahamiaji kama hujui.

Uislamu ni dini ya pili kwa ukubwa pale Israel ikitanguliwa na dini ya Uyahudi.
 
Ndo maana kuna wakati netanyau alishindwa na akakubali na akaja kichaguliwa tena
Ni lini Netanyahu amewahi pigiwa kura na wananchi? Au sijaelewa demokrasia hapo inakuaje?
nchi zote zilizobaki hata uchaguzi hamna na nyingine ni za kidikteta israel unaweza mpinga netanyau na usifanye chochote nenda saud arabia na mping mohammed bin salman uone kitakachokutokea
Sio kweli aliyevujisha video za wanajeshi wa Israel wakilawiti wapalestina alitishiwa maisha akajiuzulu u-major jenerali.

Pia nchi kibao tu zina uchaguzi Lebanon, iran, Iraq zote hizo zina uchaguzi na rais/chama tawala huchaguliwa kidemokrasia. So sio kweli kuwa Israel ni demokrasia pekee kwa kigezo cha uchaguzi.
Ufaransa PSG inashinda watu wako na bendera za palestina, algeria wanachoma nchi alafu unaona ni sawa,
Tatizo la crime sio la uhamiaji, marekani, Mexico, Colombia, South Africa, Brazil n.k hayo ni baadhi ya maeneo ambayo kuna mauaji zaidi (homicide) kuliko popote duniani ila yanatekelezwa na wenyeji sio wahamiaji, je kuja waislam huko au waarabu??

Marekani pekee tu ina zaidi ya raia million 20 wapo gerezani yaani ndio nchi inayoongoza kuwa na wafungwa wengi zaidi duniani ila kwakuwa ni wazungu/wakristo hamna kelele.
Timu ya taifa ya Morocco anafungwa watu wamebeba bendera za morocco wanachoma nchi ya ufaransa alafu unaona ni sawa
Sasa watu elfu 1 kufanya vurugu ndio igeuzwe kosa la wahamiaji? Au ulitaka ufaransa wawahasi hao waarabu kama ambavyo Israel imewapiga sindano waafrika waliohamia Israel hadi wamekua mahanithi?

Mnapenda sana ukatili wa wayahudi mpaka mmeona ni kitu cha kawaida.
 
Magufuli huyu alieipenda ccm kuliko nchi
kwa kuwa ccm ndio iliompa urais. Huu sio uzalendo, alimsema Pasco ni njaa lakini yeye alikuwa na utapiamlo wa fikra.
Mkewe alikuwa mwalimu na hakutaka mumewe awe rais kwa kuwa aliujua udhaifu wake. Pia huyu sa100 wote ni walewale ovyo tu.
 
Kama israel ingekuwa ni wabaya kama unavyotaka kuaminisha watu wasingeruhusu waislamu million 2 kuishi nchi yao
Unajua condition ya hao waislam milion 2? Ndio watu wenye hali duni zaidi na hata hawapewi ulinzi dhidi ya makombora ya Hamas/Iran yaani kombora likielekezwa huko hakuna interceptor inarushwa wala hakuna mahandaki wamejengewa. Pia wanabomolewa misikiti yao kila siku.

Hao wayahudi in fact wanaishi sehemu kibao tu mashariki ya kati, imagine mpaka Tehran kuna wayahudi na kuna sinagogi la wao kusali. Pia wana viti maalum bungeni kwa ajili ya minorities kama wayahudi, wakristo n.k
 
Haiwezekani inafikia hatua timu ya mpira inashinda kombe watu wanaenda kuchoma nchi ni mambo ya ajabu sana
Kuna radical liberals ndio wanaoharibu nchi za Magharibi, na kwa kweli zinaenda kuangalia, Hawa wanadai kuzuia uhamiaji ni kinyume na haki za binadamu, wanadai mwanaume kujiita mwanamke (transgender) ni haki za binadamu, wanadai watu kuchoma nchi ni haki yake ili kuonyesha hasira, wanadai polisi hawatakiwi kuwepo ni chombo kandamizi
 
Unajua condition ya hao waislam milion 2? Ndio watu wenye hali duni zaidi na hata hawapewi ulinzi dhidi ya makombora ya Hamas/Iran yaani kombora likielekezwa huko hakuna interceptor inarushwa wala hakuna mahandaki wamejengewa. Pia wanabomolewa misikiti yao kila siku.

Hao wayahudi in fact wanaishi sehemu kibao tu mashariki ya kati, imagine mpaka Tehran kuna wayahudi na kuna sinagogi la wao kusali. Pia wana viti maalum bungeni kwa ajili ya minorities kama wayahudi, wakristo n.k
October 7 wayahudi kibao wameuliwa mpaka watanzania acha uongo
 
Ni lini Netanyahu amewahi pigiwa kura na wananchi? Au sijaelewa demokrasia hapo inakuaje?

Sio kweli aliyevujisha video za wanajeshi wa Israel wakilawiti wapalestina alitishiwa maisha akajiuzulu u-major jenerali.

Pia nchi kibao tu zina uchaguzi Lebanon, iran, Iraq zote hizo zina uchaguzi na rais/chama tawala huchaguliwa kidemokrasia. So sio kweli kuwa Israel ni demokrasia pekee kwa kigezo cha uchaguzi.

Tatizo la crime sio la uhamiaji, marekani, Mexico, Colombia, South Africa, Brazil n.k hayo ni baadhi ya maeneo ambayo kuna mauaji zaidi (homicide) kuliko popote duniani ila yanatekelezwa na wenyeji sio wahamiaji, je kuja waislam huko au waarabu??

Marekani pekee tu ina zaidi ya raia million 20 wapo gerezani yaani ndio nchi inayoongoza kuwa na wafungwa wengi zaidi duniani ila kwakuwa ni wazungu/wakristo hamna kelele.

Sasa watu elfu 1 kufanya vurugu ndio igeuzwe kosa la wahamiaji? Au ulitaka ufaransa wawahasi hao waarabu kama ambavyo Israel imewapiga sindano waafrika waliohamia Israel hadi wamekua mahanithi?

Mnapenda sana ukatili wa wayahudi mpaka mmeona ni kitu cha kawaida.
Inamaana hujui israel wanafuata mfumo wa prime minister kwamba chama chenye wabunge wengi ndo kinaunda serikali na hili hujui ni aina ya demokrasia
Aisee umenidissapoint sana

Iran mgombea wa urais mpaka ayatollah akupitishe kama unabifu naye hurusiwi nayo unayoita demokrasia

Iran mwenye nguvu ni ayatallah anaweza muondo waziri ambaye Rais amemchagua nayo unaiita demokrasia
 
Ukiangali kinachoendelea ufaransa lazima utakubaliana na mimi wanahitaji kiongozi aina ya benyamini Nentanyau

Kwanini nasema hivi diaspora kutoka algeria, morocco, na tunisia ndo wanaongoza kuiharibu nchi

Psg ikishinda wanachoma nchi, morocco ikifungwa nchi inachomwa, watu wakiandaa maandamano ya amani wana-hijack na kuanza kuchoma nchi

Liberal policy zimefeli europe ni wakati wa conservative na hardliner mfano wa Netanyau wote sisi ni mashahidi netanyau anafanya kaz nzuri sana ya kuilinda nchi yake angekuwa dhaifu leo hii wananchi wote wa israel wangekuwa wamechinjwa sasa france inahitaji kiongozi aina ya Netanyau ili kuclean mess na kudeal na magaid wa ndani nchi ambayo wanatamani kuona nchi inapotea

Watu wanachoma nchi huku wanapeperusha bendera za palestina, algeria na morocco french wanafeli sana

Kabisa wana Rais kilaza haijawahi tokea. Rais bwege sana na dhaifu. Sasa kwake watamwashia moto si muda mrefu
 
Ni lini Netanyahu amewahi pigiwa kura na wananchi? Au sijaelewa demokrasia hapo inakuaje?

Sio kweli aliyevujisha video za wanajeshi wa Israel wakilawiti wapalestina alitishiwa maisha akajiuzulu u-major jenerali.

Pia nchi kibao tu zina uchaguzi Lebanon, iran, Iraq zote hizo zina uchaguzi na rais/chama tawala huchaguliwa kidemokrasia. So sio kweli kuwa Israel ni demokrasia pekee kwa kigezo cha uchaguzi.

Tatizo la crime sio la uhamiaji, marekani, Mexico, Colombia, South Africa, Brazil n.k hayo ni baadhi ya maeneo ambayo kuna mauaji zaidi (homicide) kuliko popote duniani ila yanatekelezwa na wenyeji sio wahamiaji, je kuja waislam huko au waarabu??

Marekani pekee tu ina zaidi ya raia million 20 wapo gerezani yaani ndio nchi inayoongoza kuwa na wafungwa wengi zaidi duniani ila kwakuwa ni wazungu/wakristo hamna kelele.

Sasa watu elfu 1 kufanya vurugu ndio igeuzwe kosa la wahamiaji? Au ulitaka ufaransa wawahasi hao waarabu kama ambavyo Israel imewapiga sindano waafrika waliohamia Israel hadi wamekua mahanithi?

Mnapenda sana ukatili wa wayahudi mpaka mmeona ni kitu cha kawaida.
Inamaana hujui israel anafuata mfumo wa prime minister kwamba chama chenye wabunge wengi ndo kinaunda serikali na hili hulijui ni aina ya demokrasia
Inashangaza sana
 
Inamaana hujui israel wanafuata mfumo wa prime minister kwamba chama chenye wabunge wengi ndo kinaunda serikali na hili hujui ni aina ya demokrasia
Aisee umenidissapoint sana
Ndio hoja yangu hiyo kwamba Netanyahu hajawahi chaguliwa na wananchi miaka yote chama chake hakijawahi fikisha hata 40% ya kura ila huwa janja janja ya kuhonga tu wabunge na kuunga tu vyama anapewa uwaziri mkuu so HAJAWAHI chaguliwa wala kupewa mandate na wananchi, sasa hiyo demokrasia unayoongelea iko wapi?

Na sio mimi niliyesema ila Democracy index ya EIU ambayo hupima demokrasia ya nchi inaitambua Israel kama FLAWED democracy na yaani demokrasia ya mashaka. Sasa nikuamini wewe au experts wa EIU iliyojaa wayahudi?
Iran mgombea wa urais mpaka ayatollah akupitishe kama unabifu naye hurusiwi nayo unayoita demokrasia
Ndiyo lakini mwisho wa siku wananchi ndio huamua nani awe Rais hawalazimishiwi mtu kama Israel ambapo Netanyahu hajawahi chaguliwa ila anaunga unga vyama vidogo kwenye Knesset mpaka anaunda serikali.
Iran mwenye nguvu ni ayatallah anaweza muondo waziri ambaye Rais amemchagua nayo unaiita demokrasia
Ndio hata uingereza, malkia anaweza mfukuza waziri mkuu akitaka na sio wa uingereza tu hadi Canada na Australia ila bado nchi zote hizo tatu znahesabika ni nchi yenye demokrasia kubwa sana kuliko hata US na Israel zako.

Kajifunze kwanza misingi 11 ya demokrasia ili uelewe tunaposema demokrasia ni nini tunaangalia.
 
Hao wahamiaji ni matokeo ya kazi chafu zinazofanywa na mataifa ya Ulaya na Marekani.
Vita zote - naam zote unazozisikia - zimechangiwa/kuchochewa na US, na wenzaje.

Kama ni mfuata upepo hauwezi elewa undani wa mambo hayo
 
Inamaana hujui israel anafuata mfumo wa prime minister kwamba chama chenye wabunge wengi ndo kinaunda serikali na hili hulijui ni aina ya demokrasia
Inashangaza sana
Nani kakwambia sijui? Najua ndio maana nimekwambia huyo Netanyahu na chama chake hawajawahi kushinda uchaguzi wowote ila huwa anakua waziri mkuu kwa janja janja.

Mfano 2022 Netanyahu na chama chake walipata 20%, je ni demokrasia gani duniani ambapo mtu aliyekataliwa na 80% ndio anakua kiongozi wa serikali?

Hii ndio unaita demokrasia? Alafu ndio unataka kuwa Rais wa Tz na vitu basic kama hivi unashindwa kuviona.
 
  • Kicheko
Reactions: Lax
Ndio hoja yangu hiyo kwamba Netanyahu hajawahi chaguliwa na wananchi miaka yote chama chake hakijawahi fikisha hata 40% ya kura ila huwa janja janja ya kuhonga tu wabunge na kuunga tu vyama anapewa uwaziri mkuu so HAJAWAHI chaguliwa wala kupewa mandate na wananchi, sasa hiyo demokrasia unayoongelea iko wapi?

Na sio mimi niliyesema ila Democracy index ya EIU ambayo hupima demokrasia ya nchi inaitambua Israel kama FLAWED democracy na yaani demokrasia ya mashaka. Sasa nikuamini wewe au experts wa EIU iliyojaa wayahudi?

Ndiyo lakini mwisho wa siku wananchi ndio huamua nani awe Rais hawalazimishiwi mtu kama Israel ambapo Netanyahu hajawahi chaguliwa ila anaunga unga vyama vidogo kwenye Knesset mpaka anaunda serikali.

Ndio hata uingereza, malkia anaweza mfukuza waziri mkuu akitaka na sio wa uingereza tu hadi Canada na Australia ila bado nchi zote hizo tatu znahesabika ni nchi yenye demokrasia kubwa sana kuliko hata US na Israel zako.

Kajifunze kwanza misingi 11 ya demokrasia ili uelewe tunaposema demokrasia ni nini tunaangalia.
Hujui hata maana ya demokraisa hili ni tatizo lako kubwa
 
Back
Top Bottom