Salaam,
Watawala wana yao moyoni.. Hawatosheki na wanachopata.
Wizi wa kura, kuenguliwa wagombea, Waggombea kunyimwa fomu za kuomba kuchaguliwa, wagombea kunyanyaswa na Polisi, Mauaji na Utekaji kwa Wagombea wenza wa vyama mbadala mfano CHADEMA
Matumizi ya Bunduki dhidi ya wagombea...