Dunia na jamii ya leo Inahitaji Kujua nini Kinachoendelea, Sio nini Kilichotokea

Dunia na jamii ya leo Inahitaji Kujua nini Kinachoendelea, Sio nini Kilichotokea

New Designer

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2025
Posts
551
Reaction score
879

Dunia Inahitaji Kujua Kinachoendelea, Sio Kilichotokea​


Katika ulimwengu wa teknolojia ya sasa, upatikanaji wa taarifa za moja kwa moja (live) na kwa wakati halisi bado ni changamoto. kutokana na uhaba wa teknolojia hiyo imechangia.

Matukio mengi yanayoripotiwa kwa jamii kupitia vyombo vya habari ni ya kizamani hutumia picha au video zilizorekodiwa muda uliopita mfano siku zilizopita. Hii inafanya jamii kujua zaidi kilichotokea kuliko kinachoendelea sasa. inaweza kuathiri jamii iahindwe kufanya maamuzi sahihi kwa wakati.

Dunia ya sasa inahitaji taarifa kwa wakati halisi ili kuwawezesha watu kuelewa kinachoendelea, kufuatilia matukio yanapotekea na kufanya maamuzi sahihi kwa wakati.

JamiiClub inalenga kubadilisha mtazamo huo kupitia teknolojia ya kisasa ya livestream inayowezeshwa na AI, ikilenga kuwa jukwaa la kwanza la livestream la Kiswahili duniani linalowezesha jamii kupata na kufuatilia taarifa moja kwa moja hii itaiwezesha jamii kufanya maamuzi sahihi kwa wakati kutokana na aina ya tukio husika linalo endelea.

Lengo si kusubiri tukio limalizike ndipo taarifa ifike kwa jamii. Lengo ni kuifanya jamii iwe sehemu ya tukio linapoendelea.

Kwa sababu dunia haihitaji tu kujua nini kilitokea jana au juzi — inahitaji kujua nini kinaendelea sasa.

Kwa mtizamo wa kitaalamu

Screenshot_20260823-112434_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom