Biashara yako inahitaji mtaji wa kukua? SmartBusiness imekurahisishia!

Biashara yako inahitaji mtaji wa kukua? SmartBusiness imekurahisishia!

herman3

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2015
Posts
597
Reaction score
792
Habari njema kwa wajasiriamali na wafanyabiashara! 🎉

Sasa kupitia SmartBusiness, unaweza kuomba mkopo wa biashara kwa urahisi, moja kwa moja ndani ya app. Hakuna safari ndefu wala mchakato mgumu.

💼 Unaweza kutumia mkopo kwa:
✅ Kuongeza bidhaa dukani
✅ Kuongeza mtaji wa biashara
✅ Kuboresha mzunguko wa fedha
✅ Kukidhi mahitaji ya biashara kwa wakati

Kinachokufanya ustahiki mkopo ni namna unavyotumia SmartBusiness kurekodi mapato, matumizi na shughuli za biashara yako. Kadri biashara yako inavyokuwa na taarifa sahihi, ndivyo inavyokuwa rahisi kutathminiwa.

Ikiwa bado hujatumia SmartBusiness, huu ndio wakati wa kuanza kuweka kumbukumbu za biashara yako kidijitali na kujenga historia itakayokusaidia kupata fursa za kifedha.
 
Bora kwenda benki
Hi ni kwa wafanya biashara wadogo bank hawana dhamana zinazowafanya wakopesheke bank. Wanaposimamia biashara zao kwa kutumia SmartBusiness, data zao zinatumika kupima uwezo wa biashara zao kukopesheka.
 
Back
Top Bottom