Ninawazo la biashara kwa dar es salaam maeneo ya mbezi, naishi mkoa wa dar es salaam, mbezi mwisho karibia...mtaji 10M kuanzia nicheki 0756704145 whatsapp, tufanye kazi
Wakuu,
Nimetunza hadi nimefikisha laki 800,000/= hadi sasa na bado najiuliza nifanye biashara gani kulingana na kipato nilicho nacho.
Kazi niliyonayo iliyonipa hiyo 800k bado niko nayo na nataka niingie kwa biashara sasa.
Leo tujadili biashara za kariakoo zilivyo sasa kutokana na ushindani wa bei kutoka kwa wazawa na wageni
Tujadili ni biashara gani kariakoo ukiwekeza mtaji wa bilioni 1 inaweza kuleta faida ya milioni 100 kwa mwezi
Hebu fikiria ni vijana wangapi wafuasi wa uwekezaji wa Sativa wanavyopiga hela za mdosi lakini baada ya siku chache wanakuwa wamemaliza mahela yote kwenye starehe.
Weee ni mkamalia, umepata mijihela yako njoo uchukue daladala yangu hii kwa bei poa.
Starting price ni 21 million, maongezi pia...
Habar wakuu nafanya biashara ya duka la vyakula la jumla Sasa mtaji umepungua kulingana na ushindani mkali sana na biashara haitoki kama mwanzo,nafikiria biashara either kwenda china au biashara nyingine yoyote mkoa wowote wakuu nipeni mawazo yenu nitoboe
Tukiwa chuo mimi na mpenzi wangu tulipanga kwamba tukimaliza akipata kazi baada ya miezi Sita anakuja kwetu kutoa mahari tunaoana. Baada ya chuo kumalizika mambo yamekuwa tofauti kwani kila akitafuta kazi hapati, na mimi nimepata kazi kabla ya mpenzi wangu ambaye bado anajitafuta na kwa sasa...
Nafaka ni eneo Pana sana na limewapa mafanikio watu wengi sana (wenye mitaji mikubwa).
Nimeona mijadala mtu anasema ana mtaji wa 3million afanyaje? Wadau wanatiririka auze nafaka, sasa kwa mtaji wa million 3 na ushindani uliopo chance ya huyu kijana kutoboa iko wapi?
Let's say amepata eneo...
Muulize mzazi nini unataka kuwaachia watoto wako utakapoondoka hapa duniani. Mara nyingi majibu huwa sio mageni, nyumba, biashara, ardhi, akiba ya pesa n.k
Tunatumia muda mwingi kufikiria kukusanya assets kwa ajiri ya vizazi vyetu vijavyo. Lakini swali la msingi ambalo huwa hatujiulizi. Vipi...
Natafuta partner nitashirikiana nae kwa ajili ya mradi wa kidigitali ambao tayari upande wa technology umekamilika 90%.
Sitaki kuweka details za biashara yenyewe public kwa sababu za kulinda concept na strategy yake.
Ninachotafuta ni partner mwenye uwezo wa kufadhili na kusimamia upande wa...
Wanajamvi kama kichwa kinavyosomeka, natamani kujua biashara yenye mzunguko na faida nzuri kati ya agrovet na hardware kwa maeneo ya Mbeya.
Kwa faida yangu na ya wengine naomba wazoefu na watalaamu mtupe dondoo kidogo hapa.
Natanguliza shukrani
Biashara ya vipodozi inaweza kuwa na faida kubwa kwa sababu bidhaa za urembo hutumiwa kila siku na wanawake, wanaume, saluni pamoja na wataalamu wa makeup. Hata hivyo, mafanikio yake yanahitaji maandalizi sahihi, bidhaa bora na uelewa mzuri wa wateja unaowalenga.
1. Tambua wateja unaowalenga...
Hivi mnajua kila kitu kingefanyika kwa wakati tokea kupata uhuru mpaka leo pale bungeni usingesikia habari za kuzungumzia magovi.
Kuna mambo ambayo ukipeleka serikalini ya ccm wanakwambia haya haya takiwi kwa sasa na masoud kipanya alishaeleza sana.
Mfano mmoja ambao nitakupa maana hii...
Tuanzie na mpango kwanza halafu tunaingia kwenye utekelezaji
Lengo kukutana na watu 1,0000 Tanzania bara yote wilaya 184 na Kila mtu akupe TSh 10,000.Jumla itakuwa ni TSh 100,000,000.
Sasa Tanzania Bara ina wilaya takribani 184. Ukigawanya watu 10,000 kwa wilaya 184 unapata wastani wa watu...
Toka oktoba 29, 2025 linapokuja suala la watu kuandamana, waandamanaji wamekuwa ni Jeshi la Polisi na Majeshi mengine katika maeneo mbalimbali ya nchi hususani mijini.
Hali ya askari kurandaranda mtaani wakiwa na silaha nzito badala ya raia walioshikilia mabango imekuwa ikiwatisha wananchi hali...
Samahani wakubwa nimeuza vitu vyangu kadhaa nimepata Shilingi elfu hamsini,
nahitaji hii Hela isipotee maana sijui nitapata lini Tena.
Naombeni wazo la shughuli ya kufanya Kwa kutumia kiasi hiki Cha Pesa na nipate faida.
Niweze kuweka akiba ya 2,500 Kila siku
Jinsia mwanaume miaka 28 Dar es...
Habari njema kwa wajasiriamali na wafanyabiashara! 🎉
Sasa kupitia SmartBusiness, unaweza kuomba mkopo wa biashara kwa urahisi, moja kwa moja ndani ya app. Hakuna safari ndefu wala mchakato mgumu.
💼 Unaweza kutumia mkopo kwa:
✅ Kuongeza bidhaa dukani
✅ Kuongeza mtaji wa biashara
✅ Kuboresha...
Habari wana JF.
Kwa wale wote wanao hitaji kufanya biashara/kuwekeza Kariakoo. Naomba msiogope hivi sasa ndiyo wakati mzuri sana wa kuwekeza/kufanya Biashara Kariakoo Majengo mapya yanajegwa kila siku. Na bei za fremu ni nzuri sana(affordable hata kwa mtu mwenye mtaji mdogo).
Zipo fremu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.