Serikali ya tanzania ya CCM mtaji wao ni kukuona maskini ili wazidi kudumu kukufariji,Pitia hapa.

Serikali ya tanzania ya CCM mtaji wao ni kukuona maskini ili wazidi kudumu kukufariji,Pitia hapa.

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Hivi mnajua kila kitu kingefanyika kwa wakati tokea kupata uhuru mpaka leo pale bungeni usingesikia habari za kuzungumzia magovi.

Kuna mambo ambayo ukipeleka serikalini ya ccm wanakwambia haya haya takiwi kwa sasa na masoud kipanya alishaeleza sana.

Mfano mmoja ambao nitakupa maana hii mingine tutajaza JF.lili kuja shirika la ndege fast jet na bei zao ila walipoona haya wakafanya figisu.
South africa kupanda ndege ni bei rahisi sana kwa tanzania kima cha chini kina anzia laki moja.

Tuje kwenye magari hapa tanzania.IST japan unaipata mpaka usd 800 used hapo na zungumzia mtaani.
Ila mikodi na ushuru wa tanzania ni kwamba kuna mambo serikali ya tanzania inataka kuwatumia kama mwamposa
 
Back
Top Bottom