Unayo elimu/Taaluma ya vet au unahisi ni Kama kufungua kibanda Cha UGIMBI.??Wanajamvi kama kichwa kinavyosomeka, natamani kujua biashara yenye mzunguko na faida nzuri kati ya agrovet na hardware kwa maeneo ya Mbeya.
Kwa faida yangu na ya wengine naomba wazoefu na watalaamu mtupe dondoo kidogo hapa.
Natanguliza shukrani
NIsingetaka kujua kama sina taaluma au kuhua mahitaji ya ufunguaji wa hizo venture.Unayo elimu/Taaluma ya vet au unahisi ni Kama kufungua kibanda Cha UGIMBI.??