Nenda kaangalie ndio utajua.Ushauri sio mzuri.Kwa mtaji wa 4,000,000 ni biashara gani inafaa kufanyika kisiwa cha Mafia.
Mnipe muongozo
Aendelee na hiyo hiyo Mishe uliyompa 4MUmeipataje hiyo pesa mkuu
mgao wa October 29 itakuwa kabakisha kiasiUmeipataje hiyo pesa mkuu
Nyolondo siyo nyolo kubwa80% ya wstu wa hum hawsjawah fika huko. Wakushaur nn chenye uhalisia?
Pesa inajitafuta yenyeweNiliona fursa ya kutoa kozi fupi ya kompyuta kwa vijana wanaomaliza elimu ya sekondari. Wabongo tunapenda cheti ili kutambulika kwenye kuomba ajira.
Utaratibu uko vipi wa kupata chuo kilichosajiliwa na NACTVET kutoa course ya kompyuta ili, nitumie namba yao usajili na jina lao kutoa vyeti kwa wahitimu wangu. Kuna mwenye uzoefu anipe ABC
Kusajili chuo binafsi ni vigumu kwa sabubu kuna vigezo vingi vya kufuata.
SioNyolondo siyo nyolo kubwa