Kwa mtaji wa 4,000,000 biashara gani inafaa Mafia

Kwa mtaji wa 4,000,000 biashara gani inafaa Mafia

Juani Island
Chole Island
Jibondo Island
Bwejuu Island
Shungumbili Island
Barakuni Island
Miewi Island
Niororo Island
Mafia/
Katika hivi kipi kimechangamka?
Hivi vyote ni visiwa vyetu sisi wabara...
 
Kwa mtaji wa 4,000,000 ni biashara gani inafaa kufanyika kisiwa cha Mafia.

Mnipe muongozo
Niliwahi kukaa pale Mafia, mwaka 1½, biashara za kufanya ili upige pesa.
1. Guest
2. Bar,
3. Uvivu ( mtaji 45 million - 250 million)
 
Back
Top Bottom