mtaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Biashara ya Barbershop kwa mtaji wa milion 20 inalipa sana

    Huu ndo mchanganuo kwa wanaotaka kufanya barbershop kwa mtaji wa miti 20(2M) 👉Utengenezaji wa frame ndani na nje (unakuta labda furniture tu mule ndani kama miti 5 hivi (5M), tuseme labda (decoration ya jengo Mti NNE(4M) hujanunua madryer labda (2M na vifaa vingine Miti 2(2M),hujaweka bhango...
  2. Acehood

    Mfuko upi wa UTT AMIS ni bora kukuzia mtaji wakuu?

    Samahani wakuu naomba kujua ni mfuko upi naweza kutumia kukuzia mtaji ambazo kianzio chake ni kidogo zaidi?
  3. Seif Mselem

    Jinsi Richard Branson alivyoanzisha kampuni ya ndege bila kuwa na mtaji wowote ule

    Na... Jinsi Wewe Unavyoweza Kuanzisha Biashara yako pia! Moja ya Changamoto ambayo Wajasiriamali wengi wamekuwa Wakipitia ni Jinsi ya Kuanzisha Biashara bila ya kuwa Mtaji. Yaani… Je kuna Njia yoyote RAHISI ya Kuanzisha Biashara bila kuwa na Mtaji? Ukweli ni Kwamba… HIYO NJIA IPO NA...
  4. Bodhichitta

    Nimeamua kuanzisha biashara na 10% ya mtaji wangu

    Aslaam, Baada ya kujikusanya kwenye mtaji na kujiuliza nifanye biashara gani, nimeamua kuchukua 10% ya mtaji WANGU kwenda kuanza biashara. Kiukweli hakuna kitu kigum kwenye biashara kama kuamua ni biashara gani yakufanya ambayo itakidhi mahitaji yako na kukuletea faida itakayokuwezesha kukuza...
  5. Hamduni

    LGE2024 Tuna mtaji wa imani ya Watanzania: Dkt. Nchimbi

    TUNA MTAJI WA IMANI YA WATANZANIA: NCHIMBI Azindua kampeni Mwanza akitamba na takwimu za kura za uhakika Awasihi wanaCCM kila mmoja kutafuta kura 10 kwa ajili ya ushindi wa kishindo Ahamasisha kampeni za nyumba kwa nyumba na mtu kwa mtu, isiachwe kura hata moja, wakiwemo wapinzani Awataka...
  6. Political Jurist

    LGE2024 Emmanuel Nchimbi: Tuna Mtaji wa Imani ya Watanzania

    TUNA MTAJI WA IMANI YA WATANZANIA: NCHIMBI Azindua kampeni Mwanza akitamba na takwimu za kura za uhakika Awasihi wanaCCM kila mmoja kutafuta kura 10 kwa ajili ya ushindi wa kishindo Ahamasisha kampeni za nyumba kwa nyumba na mtu kwa mtu, isiachwe kura hata moja, wakiwemo wapinzani Awataka...
  7. K

    Tatizo Sio business idea, tatizo ni mtaji mdogo, biashara zipo NYINGI Ila limit ni mtaji mdogo.

    Biashara zipo kila Kona biashara yoyote ukiinvest Hela hata biashara ya makopo inaweza kukutajirisha. Ila tatizo linakuja kwenye mtaji how to get capital malegend AU tips Gani hutumika kukuza small Business mpaka iwe huge
  8. L

    Biashara ya kufanya mtaji 30 milioni

    Juzi nimeomba ushauri kuhusu biashara ya kufungua pharmacy kwa mtaji wa 30m nitafute mwanamke mwenye diploma ya pharmacy nimuoe aje akae kwenye hio biashara. Ila comment na ushauri mwingi kutoka kwa waja walishauri nisije karibu kufungua biashara na kumuweka mke. Kwakweli Mimi kwaupande wangu...
  9. Bodhichitta

    Kama una ndoto za kuanzisha biashara anza kwanza kutafuta wazo la biashara kabla ya mtaji au tafuta vyote kwa wakati mmoja

    Aslaam, Kutokana na changamoto za Maisha ambazo hutufanya kawaza kutafuta ridhiki kila kukicha, wengi tumejikuta kujikita Mawazo yetu kwenye kufanya biashara ili tuweze kujikwamua katika mambo mbalimbali ya kimaisha hasa kwenye Nyanja za maendeleo. Imekuwa kawaida yetu mtu anapowaza kujiajiri...
  10. VINICIOUS JR

    Najiuliza huu ujumbe nimeletewa na nani; kuna sauti imeniambia ndotoni ulime, ukizingatia mimi ni fresh graduate sina mtaji wala shamba

    Kwema ndugu zangu. Kama mada inavojieleza, leo nikiwa nimelala kunasauti inanijia kwenye njozi ulime. Kusema kweli ni saut ambayo inaukweli ndani yake but kinacho niumiza kihisia ni kwamba sina mtaji wa kwenda nao farm kwa sasa, Nawasilishaa.
  11. Y

    Ombi la Ushauri wa Kuongeza Mtaji kwa Biashara ya Vifaa vya Simu

    Wakuu, habari za kazi? Samahani kwa usumbufu. Nina biashara ndogo ya vifaa vya simu (phone accessories), lakini ninahitaji kuongeza mtaji ili niweze kuagiza mzigo mwenyewe kutoka China na kuuza kwa jumla. Naomba msaada kwa mwenye uzoefu katika hili tafadhali. Asante.
  12. Don Dacxh

    Ushindani Mdogo, Faida Kubwa: Mwongozo wa Biashara kwa Wenye Mtaji Tanzania!

    Habari wana JF, sitotaka kufanya uzi huu uwe mrefu sana; najaribu kufupisha ili nisikuchoshe wewe utakaechukua muda wako kusoma. Hakuna biashara utakayoanza leo ambayo haijawahi kufanywa; naamini hilo linahusu sekta zote. Swali muhimu ni, umejiandaa vipi kushindana na wale walioanza mapema? Ni...
  13. chiembe

    LGE2024 Tafsiri yangu uchaguzi serikali za mitaa: Huo wingi wa watu wanaogombea kuwapigia kura wana CCM ni ishara nzuri kwa 2025. Mtaji huo utunzwe!

    Hii ni ishara tosha kwamba CCM ni maisha yetu, sawa na maji. Watu wako tayari kukesha, hata kuchapana makonde ili waipigie kura CCM. Nadhani makao makuu au ofisi za mikoa na wilaya, zitupie jicho la karibu chaguzi hizi ili anayeshinda au kushidwa, yeye na wafuasi wake wabaki CCM ili 2025 mtu...
  14. music mimi

    Biashara ya stationery ya mtaji mdogo iliyoongezewa thamani

    Wakuu naomba mawazo yenu. Nina mpango wa kuanzisha stationery ya mtaji mdogo around mil 5 yani umo kila kitu mpaka fremu. Naomba ushauri zaidi ya kuprint na kutoa copy pamoja na vifaa kama bahasha, rimu, kalamu, etc Naweza vipi kuongeza thamani kwenye stationery kwa gharama ndogo lakini niwe...
  15. Imole

    Vijana changamoto mtaji

    Habari jf, Kwa level niliyofikia kwenye biashara naweza sema bado few steps nifikie lengo, kichwa kinaniuma nawaza nitapata wapi mtaji. Eneo nalofanyia biashara ni moja ya masoko makubwa na nalijua nje ndani maana nilishafanya kazi kwenye biashara za watu kama wawili tofauti, so wafanya...
  16. BLACK MOVEMENT

    Kinachoniuma ni kwamba Bunge la Tanzania halina hata mamlka ya kumuhoji mkuu wa wilaya

    Bunge la Tanzania halina mamlaka hata ya kumuita na kumujoji mkuu wa wilaya na wakimuita haendi na hawana cha kumfanya. Hili ni bunge la wapiga makofi na wakitoka hapo zile Posho zao wananunua Bati na mifuko ya cement wanaenda kuhadaa wajinga jimboni mwao. Sasa angalia ni tunahitaji miaka...
  17. Sisa Og

    Kwa mtaji wa million 1 nifanye biashara gani?

    Habari zenu wana JF? Matumaini yangu hamjambo Kabisa. Mimi naomba ushauri wenu. Nina mtaji wa millioni moja. Nipo Dar es Salaam. Ni biashara gani inafaa kwa mtaji huo. Kichwani, nilikuwa nawaza kufungua movie library mtaani ila nikasema ngoja nisikie mawazo ya wengine. Asanteni, nishaurini...
  18. G

    Profit ni kitu muhimu sana kwenye kuamua biashara ya kufanya, ukiwa na mtaji mdogo epukana na biashara zenye faida chini ya 10%

    Hii inawhusu zaidi ambao huiga biashara bila kutafakari kwa kina, Ni muhimu sana kufuatilia asilimia ya profitability Huwezi kuwa na mtaji wa milioni 1 uanze kufanya biashara yenye faida ya 5% Utachelewa sana
  19. Mr No fair

    Je unajua mtaji wa Milioni 10 utatosha kufanya biashara gani mwaka 2025? Nimekuelezea

    Mtaji wa milioni 10 ni mzuri sana kuanzisha biashara kadhaa zenye faida mwaka 2025. Chaguo bora litategemea sana maslahi yako, ujuzi wako, na soko linalokuzunguka. Hapa kuna baadhi ya mawazo ya biashara unaweza kuzingatia kwa mtaji huo: ### Sekta ya Uchakataji Chakula Utengenezaji wa vyakula...
  20. Down To Earth

    Mwezi ujao naanza project maalum ya kusaka mtaji wa Tsh laki 5

    Ni kupitia Apps za mikopo mtandaoni. Nimekuja na strategies maalum sana kwa hizi kausha damu za Online Mbinu nitakazotumia 1. Nimesajili Simcard Ya Vodacom maalum kwa ajili ya kukopea tu. 2. Nimetumia hio Simcard kuwasiliana na watu maalum ambao hawanifahamu, na nimesev majina yao.. hapo ni...
Back
Top Bottom