Wateja wangu karibuni mjipatie simu kwa bei ya jumla na rejareja pia ukiagiza kutoka China kupitia sisi utapata kwa bei za viwandani kwa watakao agiza pisi nyingi.
Tupo Kariakoo pia wateja wa mikoani na nje ya nchi tunawahudumia.
Call or WhatsApp +255713861567
Maneno ya rafiki yangu mkinga .
Kama mnavofahamu , mchakato wa kusimama kibiashara ni mgumu sana , serikali wao wanawaza kukusanya tu Kwa sera zao mbovu.
Hakuna mfanyabiashara anaweza kukataa kulipa kodi hayupo , lakini kodi iwe stahimilivu inayoweza kulinda biashara yangu na sio tozo na kodi za...
FURSA YA ASALI KWA MTAJI WA CHINI YA 200K .
Kwa kutumia laki na 70 (170,000) utapata yafatayo:-
1#. Pure Asali lita 20.
2#. Free Delivery to Magufuli stand kwa walio Dar.
3#. Free packaging kwenye chupa za lita moja moja.
Lita moja ni Tsh 8500, unaweza kuuza hata kwa elf 12 kwa lita na...
Majengo ya Biashara ubalozini ni aina ya upigaji hakuna kitu hapo, ni watu wanagawana 10% maisha yanaendelea.
Tuulizane Mataifa mengine yanashindwa kujenga majengo ya Vitega uchumi kwenye balozi zao?; Uwezo wanao ila hawafanyi hivyo kwa sababu sio malengo yao. Malengo yao ni kusaidia Raia wao...
Nina kiasi flani naombeni ushauri nifanye biashara gani
Kwa kiasi flani naweza kufanya biashara gani
Nimeachiwa urithi kiasi kadhaa nifanye biasara ipi
Hayo ni baadhi ya maswali yanayoonyesha wazi kwamba mtu hana uzoefu wala connection ya kufanya biashara, watu wengi wa aina hii biashara zao...
Habari wakuu
Mimi ni kijana wa kiume age 29
baada ya michongo kwenda vibaya
nikashauriwa kuvungua duka la mangi kwa mtaji wangu milion 4
nikatafuta frame ya mtaani nikapata
ila issue ni kwamba kila
nikikaa na kuwaza naona kama sina mapenzi kabisa na hii biashara na kodi nshalipa , nishaurini...
Kwema wakuu,
Kuna mtu kanifata anahitaji ushauri, anataka kujilipua kwenda kariakoo kufanya biashara.... Kwanini Kariakoo? Anaamini Kariakoo ndo hub ya biashara hapa Tanzania.... Mzunguko wa kariakoo si rahisi kuupata mahali pengine popote hata kama unapata faida ndogo
Amekua akifanya...
Katika Vitu vinapoteza watu wengi kwenye biashara ni MTAJI WA KUTOSHA.
kuna watu nawambia wana mitaji mikubwa sana ya kufungua biashara yoyote na popote pale lakini hawaangaliii wala kuwaza yatakayojiri kwenye hizo biashara mambo yakigeuka.
Kuna
Uwezo kipesa na
Kuna Ujuzi Wa kitu
Katika...
Tanzania tuitakayo Selikari ianzishe Application inayo husiana na masuala ya afya ya akili vijana wengi wanaona ni aibu kwenda kuelezea matatizo yanayo wakabili wakiamini Depression ni magonjwa ya kizungu lakini app moja ikianzishwa inayo deal na maswala ya msaada wa afya ya akili ikatoa...
1: UWAKALA WA MITANDAO YA CM
M-pesa
Tigopesa
Airtel money
Halopesa
2: Duka la maziwa fresh+mtindi + juice fresh
3: Banda la chipsi + vinywaji
ANGALAU KWA MWEZI NIINGIZE 300,000 TU
(300,000)
Wakuu, nipo hapa napambania kujikwamua kwenye umaskini, nipo nachakata mawazo kwa ajili ya kufanya harakati, wengi walianzia chini sana na wakafanikiwa kupata pesa nyingi.
Mawazo yangu niliyonayo ni Nafaka, vifaa vya simu pamoja na umeme, mwisho ni hardware.
Nafaka nilitaka nideal na maharage...
Kwa hapa Dar, je naweza kufungua butcher la samaki wabichi sato, sangara n.K kutoka Mwanza ? Kwa mtaji wa 2 milioni.
Kwa wazoefu na soko la SAMAKI na usafiri pia
Kutoka MWANZA to Dar hiyo pesa inatosha ??
Naomba mnielekeze
Tangu UVCCM hii ya 2000's ipambe moto kudahili vijana mashuleni, vyuoni na mitaani hakuna kijana mwenye ajira ya uhakika (permanent & attractive salary) amejiunga na UVCCM na kujishughulisha nayo.
Vijana waliosota na ukosefu wa ajira uliosababishwa na CCM ndio hukimbilia UVCCM wakisubiria...
Katika moja ya tafiti zilizofanyika nchini Marekani, ilibainika kuwa mafanikio ya mtu kikazi yanategemea:
1. Ufanisi katika taaluma aliyo nayo asilimia 15
2. Ufundi wa kuzungumza asilimia themanini na tano.
Hii inamaanisha, mtu mwenye ufaulu wa "first class" lakini si fundi wa kuongea anaweza...
Kuna video ya mahojiano na aliyekuwa waziri na pia Mwakilishi wa Tanzania UN Mheshimiwa Amina Salim Ali inayotembea kwenye mitandao ya kijamii akielezea kuwa Zanzibar ndiyo iliyotoa mtaji wa kuanzisha BOT kule kwenye East Africa Currency Board.
Na pia katika makubaliana ya muungano pia kuna...
Habari zenu wadau
Leo nimekuja hapa nataka niwashirikishe sababu zinazofanya biashara nyingi kushindwa kukua na Nini cha kufanya ili biashara yako ikue
Nipo kwenye biashara kwa muda mrefu Kuna mengi nimejifunza kipindi naanza biashara nilikuwa nayumbisha sana mtaji mtaji kushindwa kukua Kuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.