Plastic welding Ni Kazi nzuri Sana ukiiendesha kisasa, yaani uwe na eneo la kuhifadhia vitu/vyombo vya wateja/kalakana, uwe na umeme. Vitu vinavyohitajika Ni; Electronic gun kwa kutobolea matundu na kuyeyushia plastics, Wire mesh laini, makret yaliyopasuka kwa kuungia plastics za wateja, hivi Ni...
Habari za leo.
Naomba ushauri, nataka kufanya biashara ya juice ya miwa. Ni hivi sitaifanya mimi nitamuweka kijana afanye. Kwahiyo naomba ushauri juu ya hii biashara ikiwa itaweza kunilipa maana nachukua hela ya mkopo.
Nikiwa na maana kwamba biashara nitakayofanya naitegemea inipe rejesho...
Wakuu kama kichwa kinavyojieleza,
Nimejaribu kutafuta kazi katika fani yangu ya uwalimu, kwani nimehitimu shahada ya ualimu mwaka jana katika taasisi kubwa tu hapa nchini lakini mpaka sasa hivi bado sijapata kazi.
Nimekuja kwenu wana JF kwani hapa kuna watu tofauti tofauti, hivyo naomba mtu...
Habari wana jukwaa,
Naomba kueleweshwa: Natarajia kusajili kampuni na hivyo nimefuatilia taarifa zote za msingi kuhusu hatua za kufuata ili niweze kufikia lengo. Hatua mojawapo ni ya kulipia ada ya usajili ambayo inategemea kiwango cha mtaji nilichonacho; pasipo kujali ikiwa mtaji huo ninao in...
Disclaimer (cha kuzingatia): This is not a get rich quick scheme (hauto tajirika ghafla ndani ya masaa au siku kadhaa), imenichukua mwaka kufikia wakati ambapo naweza pata faida ya millioni moja na kadhaa ndani ya siku 3. Nimejifunza mengi hapo kati, hopefully haitokuchukua mda mwingi kama mimi...
Wakuu,
Kutokana na wadau kadhaa kuja na mijadala anuai inayoonyesha kuwa wanayo mitaji yenye kuanzia kiasi cha TZS 100,000/= hadi TZS 999,999/=, tumeona ni vema tukawa na mjadala mmoja endelevu ambao utatoa mawazo mbalimbali ya jinsi ya kutoka kimaisha ukiwa na mtaji huo.
Aidha, tunashauri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.