Bila kumung'unya maneno naanza moja kwa moja kuwaasa wananchi wa Tanzania kulinda afya zenu wenyewe , hii ni kwa sababu usalama wa maisha yako ni HAKI YA KIKATIBA , mtu mdogo kama Meya wa Manispaa yoyote ile aliyetokana na udiwani wa kata hana mamlaka yoyote ya kisheria ya kuamuru mtu yeyote...
Wakuu nimebangaiza nimefanikiwa kuweka Milioni 35 nataka kuingia katika biashara Kariakoo, nifanye biashara gani?
Michango ya wadau
Zaidi soma>>Baadhi ya njia unazoweza kutumia kupata wazo bora la biashara (Business Idea)
Asee Christmas kwangu imekuwa ya hovyo balaa, naona kama imekuja niumbua.
Kwanza kabisa mimi ni kijana wa miaka 33 ni degree holder lakini mpaka sasa sina kazi ya kueleweka, jambo ambalo limefanya nishindwe kuwa na familia.
Maisha Dar yalinitandika haswa ikabidi nirudi kwa mama ndio mpaka sasa...
Naombeni mawazo yenu wadau kuhusu biashara ya viatu vya kike kwa jiji la Mwanza sehemu ya kununulia mzigo na namna nzuri ya kuuza kwa wepesi mtaji wangu ni laki Saba (700000) siishi nyumbani nimepanga.
Ushauri naomba ndugu; mtaji ni 1.6m nimefikiria kuanza uwakala wa gas naomba ushauri labda nini tofauti na uwakala wa gas naeza fanya kwa maeneo ya Kigamboni.
Wakuu habari za wakati huu, i hope mko wazima wa afya na mlio dhaifu basi Mungu awatie nguvu.
Niende direct kwenye hoja yangu. Nimekua very broke kwa kipindi cha miezi michache tangu kibarua changu kipeperushwe na issue ya Corona, sasa nimepata kamtaji ka laki moja ninako hapa. Nahitajo...
Siasa Ni mkakati, siasa ni kujua mapungufu ya mpinzani wako, siasa safi nikuweka wananchi mbele nakuzika matamanio binafsi kwa mgongo wa itikadi.
Tangu chadema watoe tamko lakuwafukuza viongozi na wanachama 19 mashambulizi toka ACT na CCM yamekuwa mengi sana.
Hakuna linalofanywa bila kuitaja...
Niaje wadau, ni wapi Dar panafaa kwa biashara ya ufundi tajwa hapo juu kwa mtu anaenza na hana mtaji wa kukodi frem sehemu zilizochangamka kama Kariakoo na zinginezo?
Yaani namaanisha sehemu yenye idadi kubwa ya watu na bei ya frem iwe chini sana angalau isizidi elfu 50 kwa mwezi, msaada mimi...
Tusipotoshwe kua Korona haikua na athari, huende sisi tuliadhirika zaidi kuliko mataifa menginge ni kwa vile hatukua na takwimu za walipoteza maisha walizificha. Ni kweli tulimpoteza ndugu zetu wengi sana kwa gonjwa hili na kwa sababu haikuwekwa wazi basi wanaendelea kutotuambia ukweli.
Sasa...
CCM wamekuwa wakitumia kasoro ndogondogo miongoni mwa wapiga kura kama mtaji wa kisiasa.
Kwa miaka na chaguzi kadha, imekuwa ikiaminika kuwa vyama vya upinzani vinapendwa na kujaza vijana katika mikutano yao lakini vijana hawa hawapigi kura pale muda wa kufanya hivyo unapowadia.
Dhana hii...
Niliwah kushiriki kwenye kamati ya harusi ya mtu Wang wa karibu, ilikua ni Mara ya kwanza kwangu kushiriki ktk kamati ya maandalizi ya harusi nilijifunza Mambo mengi lakin kitu kilichoniacha mdomo wazi ni gharama ya harusi kwa Zama hizi, budget ya harusi ilikua km hivi:
*Mapambo mil 1
*Picha...
Habari za uzima ndugu zangu.
Naomba mkipata muda mtaniambia ni hoja ipi kati ya zifuatazo inaukweli ndani yake :
1.Inasemekana wanawake wengi wamepewa uwezo mkubwa na Mungu wa kutunza fedha kuliko wanaume ,
2.Hali ngumu za kimaisha zimewafanya watu wengi wasiabudu
3.Inasemekana kwamba...
Wajameni eeh,
Nimebahatika "kupata" mahala ka mtaji. Ni kiasi cha Shs. milioni kumi tu, (10,000,000/=) za Kitanzania.
Nipeni mapendekezo nizi invest wapi, kivipi na matarajio ya faida (i.e biashara gani inalipa (plus location), kwa muda gani, na SWOT analysis zake).
=======
Kwenu maharusi watarajiwa watia nia na hasa wale wa urais. Kuna maeneo nyeti ya nchi hii kwa hakika yatawabeba sana watia nia. Katika picha hii ni hali ya leo katika barabara hii kuu pande za wilaya ya Biharamulo na Ngara.
Kwa hakika pana mtaji wa kura za kutosha huko. Si kwa wenyeji tu bali...
MAWAZO YA BIASHARA NDOGO NDOGO,
KUANZIA MTAJI WA ELFU 10-50
1,DAGAA WA BUKOBA
Dagaa hawa wanapatikana masoko mengi, hawa wanakua hawana mchanga kabisa, wanauzwa kg moja elfu nane huwa inashuka had elfu tano, hawa unanunua vifuko unapack unauza mtaani kifuko buku
Kwenye kilo moja unaweza toa...
Salaam wakuu,
Maneno yangu ni machache sana kwa chama kikuu cha upinzani CHADEMA kuwa waachane haraka na mpango wao wa maandamano ya amani/ sherehe ya mapokezi ya mh Tundu A. Lissu siku ya jumatatu ya 27 jul 2020.
Ndugu zangu huu ni mtego ambao umejitokeza kwa bahati mbaya kwenye njia ya...
KUMKATA MAKONDA SI MAAMUZI YENYE AKILI
Na, Robert Heriel
Ikiwa CCM itaamua kumkata Mhe. Paul Makonda itakuwa imefanya maamuzi yasiyo na busara. Yatakuwa ni maamuzi yasiyo na akili. Makonda ni moja vijana wachache muhimu kwa zama hizi katika taifa hili. Taifa la Tanzania linahitaji vijana mia...
Leo nitajaribu kuandika katika namna ambayo nitakayoyandika yatakuwa yanatawaliwa kwa kiasi kikubwa na nadharia ya uwekezaji kwenye raslimali watu kwa sababu ya umuhimu wake hasa wakati huu ambapo ndiyo kwanza tumeanza kuelekea kwenye shauku ya Taifa letu yaani kukua kiuchumi na kufikia hatua ya...
Mada: Ni mradi upi ungerudisha mtaji wa uwekezaji kwa TPDC kwa haraka zaidi
Habari za leo wa kuu,
Mimi ni kijana wenu, leo nimekuja na mada hii yenye tija kwa taifa.
Taifa letu linayo gesi asilia ambayo, ina matumizi mengi
1. Gesi asilia inatumika kupikia majumbani
2. Gesi asilia inatumika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.