Habar wana JF
Mimi ni graduator wa chuo kimojawapo jijini Mbeya mwaka wa jana, kutokana na tatizo la ajira niliamua kutafuta mtaji kwa kufanya kazi vibarua na nimefanikiwa kukusanya kiasi cha tshs 380000.
Hivyo naombeni ushauri nifanye biashara gani ambayo itanipa...
Ni matumaini yangu kuwa nyote ni wazima wa afya,
Ndugu zangu ninaomba kujuzwa kwa wale wazoefu wa biashara ya kwenda Mombasa kufuata vijora ni taratibu zipi natakiwa kuzifuata na mtaji ama kianzio cha biashara na tax pia wanatozaje, naombeni michango yenu na nataguliza shukrani za dhati kwenu...
Shalom,
Hatimaye nimefika Iringa baada ya kuamua kuondoka nyumbani na bado sijapata kazi wakuu. Ninachoshukuru kwa sasa angalau nimepata hifadhi japo sina uhakika kama ni ya kudumu.
Pamoja na hayo, nina akiba yangu ya pesa kama Tsh. 60,000/= ambayo nimeona ni vyema niiwekeze katika biashara...
Habari wadau!
Nawasalimu kwa jina la Bwana na Allah.
Hivi mpaka lini serikali itaendelea kufanya siasa kwenye maswala ya msingi kama Afya?
Kila siku wanajinasibu kwamba matibabu ni bure kwa wajawazito na watoto, ila ukweli swala hili nilipingana sana na wife baada ya kuniaminisha kwamba...
Leo nataka nigusie eneo tata na ambalo ni moja kati ya kitu kinatamkwa sana na vijana na watu wengine wanapotaka kufanya Biashara nalo ni ukosefu wa MTAJI.
Mtaji ni nini? Ni uwekezaji wa mmiliki katika biashara yake,yaani ni kile ambacho wewe mmiliki wa biashara unaingiza katika biashara...
Akichambua ripoti ya CAG, Zitto amesema taarifa ya CAG imeibaini MSD inaidai Serikali zaidi ya sh bilioni 300 na MSD ili ijiendeshe inahitaji sh bilioni 500 fedha ambayo inalingana na gharama ilotumika kununua ndege moja.
Baada ya ishu ya CAG nikasema niingie mitandaoni nione reaction ya wananchi juu ya serikali ya JPM.
Twitter na JF kama kawaida ni matusi tu na kejeli kwa mwendazake, ila awa ni wachache na tumeshawazoea hawanaga madhala.
Nikasema niingie kwa majority ya wananchi huko Facebook na Instagram...
Habari wanajamvi naomba ushauri, nina pesa kidogo kiasi cha laki nane naomba ushauri kwa wazoefu na biashara.
Ni biashara gani ninaweza kufanya na ikaniletea faida ijapo pesa ya kula.
Naombeni ushauri kwa wazoefu wa biashara nawasilisha[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Zaidi...
Wadau mambo Vipi mko poa? Nina wazo ila sina mtaji wa kuanzia nikipata wa kunishika mkono ntashukuru.
Ok. Plan yangu ipo hivi wazo langu ni kuwa nikiwa na kama sh 50,000 hizo zinatosha kabisa naenda kwenye duka la jumla linalouza nguo, za kiume/ kike za jumla mi plan yangu ni kuchukua zile nguo...
Huwa nakaa nafikiri hivi hii shule tunayosoma na tunaosomesha hivi ina umuhimu saaana? Sipo kuharibu fikra ya mtu ila ngoja niseme yangu na ku-comment chochote ruksa ila sio povu ok.
Kiupande wangu, wasomi ni wengi miaka hii halafu miaka ya kukaa shule ni mirefu mno tofauti na nchi za mbele...
Tatizo la kukosa mtaji limekuwa kubwa mno, watu wengi wanandoto za kufanya biashara ili kujikwamua kiuchumi, kila mtu anatamani walau afanye kitu kwaajili ya kupata rizki ila wanashindwa namna ya kuanza kufanya yote kwasababu ya kukosa fedha.
Hizi apa njia kazaa ambazo unaweza tumia ili kupata...
Wapi unaweza pata usaidizi wa mtaji just kwa kuwasilisha unachotaka kukifanya?
Nazungumzia 40,000 mpaka 70,000 maana ndio pesa nayoweza kukopa.
Nina mradi wangu unahitaji pesa.
Wana JF, hii kasumba ya wanasiasa wa upinzani kuwa wanasubiri majanga au kadhia flani itokee alafu wao wanufaike kisiasa ni kukosa busara za kisiasa.
Sasa hivi kila mwanasiasa wa upinzani amekomaa kuikosoa serikali ya Ccm bila hata kuwa na hoja zenye mashiko.
Mfano Mkuu wa nchi anaesema...
Habari ya leo wakuu,
Vijana tunapitia changamoto sana katika kupata support ya kiuchumi hasa tukiwa na wazo la kuanza biashara naamini mtaji wa kwanza ni wazo la biashara then pesa ina fuata baada ya hilo wazo.
Changamoto unaweza kuwa na wazo zuri lenye faida na uka jaribu kuanza lakini Kuna...
Ndugu zanguni mawazo ndio benki kuu kabisa ya kila wazo unalotaka kufanya, basi kwa uzoefu wa waliopitia changamoto fulani za kiuchumi na kijasiriamali ni vyema mngetushirikisha biashara ndogo ambazo mlizibuni na maeneo mlikofanyia hizo shughuli zenu hadi mkafikia hatua ya mafanikio mliyo nayo...
Wadau
Natafuta mtu wa kusimamia biashara ninayotaka kuanzisha ( bidhaa ndogo ndogo) , awe na sifa zifuatazo;
1. Awe na uzoefu na upeo wa kufanya biashara hasa za bidhaa ndogo ndogo
2. Awe na uzoefu katika mambo ya kutafuta masoko
3 .Awe na elimu ya kawaida lakini ambayo imempa upeo...
Leo nimekumbuka hii ngoma ilivuma Sana enzi zile wakati bado blackberry na apple ni matunda hayajawa simu.
Title ya wimbo ilitokana namsemu wa aliyekuwa raisi wa JMT awamu ya 3 Bwana Ben Mkapa kuwa anapenda kusema "mtaji wa masikini ni nguvu zake mwenyewe."
Pia ukanikumbusha uncle yangu...
Wakubwa nina mtaji wa shilingi milioni mbili na nataka nifanye biashara.
Je, biashara gani ninaweza kufanya kulingana na pesa hiyo?
Nimetafakari sana ila nakosa kujua kwa usahihi biashara gani inanifaa.
===========
SIMILAR CASES:
===========
May 18, 2012:
May 10, 2014:
May 16, 2014...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.