Picha na mtandao
Usuli
Biashara ni kitendo cha kubadilishana huduma au mali kwa fedha au huduma kwa huduma. Kwa kawaida kumekuwa na dhana kuwa ili mtu aweze kuanzisha biashara yeyote nilazima awe na mtaji au fedha ya kuanzishia biashara hiyo. Jambo hili limekuwa gumu sana kwa watu hasa...
1 Chipsi. Mtaji ni mdogo hapa unaeza anza na ndoo moja ya viazi, mafuta lita 2 vyombo vya kupikia na vyombo vya kuuzia bila kisahau genge ama banda la kupikia na kuuzia.
2 Sambusa. Mapishi ya sambusa pia ni biashara nyingine isiyohitaji mtaji mkubwa.
3 Maandazi. Biashara ya kuuza mandazi...
Naomba leo tuzungumze namna tofauti Za kupata mtaji kwakuwa kuna changamoto Sana kwa Wau wengi wanaotaka kufanya biashara kupata fedha Za kuanzia. Napenda tuangalie namna na mbinu unazoweza kuzitumia kufikia malengo yako Ya biashara
Mbinu ya Kwanza naweza kuelezea ni ni kuhifadhi pesa hii ni...
Habari wadau,
Kwa mtaji wa Mil.30 mtu anaweza kufanya biashara ya Kuuza rangi za Nyumba akiwa Mkoani(Mwanza)?
Je, Hii ni moja kati ya Biashara nzuri kuifanya? (It pays, ina Mzunguko mzuri?) Je, kwa huo Mtaji unaweza kuuza jumla jumla?
Je, ipi njia sahihi ya kufanya biashara ya Rangi?
Kwenye...
Biashara (kuuza na kununua au kubadilishana bidhaa) imedumu duniani tangu enzi za kuumbwa kwa dunia. Kazi hii imekuwa ikifanywa na watu wa kila aina. Hapo awali biashara ilifanyika kwa kubadilishana bidhaa (barter). Mwalimu wa sayansi ya jamii (Anthropology) Prof. Chapurukha Kusimba kutoka chuo...
Habari za mchana.
Naomba msaada wa mwongozo kuhusu biashara ya nafaka. Nipo Mwanza. Mtaji wangu milioni tano. Naomba kupata dondoo zote ikiwemo changamoto na wapi nitachukua mzigo kuja kuuza
Habari wadau..!
Maisha yana majaribu sana ,jamaangu kakopa mkopo bank akafungua duka pale kariakoo na mzigo wote umeungua huku nyumba yake pale Kimara inangoja kubomolewa.
Hakika majaribu ni mtaji, Mungu ampe tu wepesi mzee Massawe😂😂😂
SERIKALI imesema itaangalia namna ya kuwapa mtaji vijana wanaohitimu mafunzo katika makambi ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) ili ujuzi wanaoupata usipotee badala yake wakautumie uraiani.
Hayo yamesemwa na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Elias Kwandika wakati akikagua mradi wa...
Wanabodi,
Lazima tuwe watu wapya, watu wapya wenye maono mapya, watu wapya wenye mtazamo mpya, watu wapya walio na hamu mpya ya usawa, haki na ujumuishaji, watu wapya wanaobeba Mwenge wa Tanzania mpya, ambayo haki na uhuru kwa wananchi unaheshimiwa na kulindwa tusikubali kuogozwa na wahuni...
Ndugu zangu kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Naomba kujua ukiwia unamtaji wako wa kiwango chochote cha pesa, unatakiwa upate kiasi gani cha faida kwa mwezi kwa mahesabu ya asilimia?
Wengine wanasema minimum angalau upate 20% ya mataji kwa mwezi, wengne wanasema 30% kwa mwezi ndio utasema...
1.Dox la viatu soko lake memorial Moshi Kilimanjaro
2.Sigara maeneo ya city center
3.Vitabu mbali mbali
4.Vitu vya watoto na urembo
5.Ma cover ya simu na protector
6.Mikoba
Mimi sasa naingia kidato cha sita but ninandoto za kuanzisha BIASHARA sasa nauliza nianzishe BIASHARA gani yenye mtaji mdogo nikimaliza shule kulingana na maeneo ninayotoka ninatokea Rorya Mara.
Habarini wana group, kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. mwishoni mwa mwezi huu nina mpango wa kuanza biashara ya NGUO, akiba yangu ni elfu 50.
Sehemu nilioiwaza ya kununua mzigo ni Karume nasikia hapo ukiwahi asubuhi saa 11 au 12 unapata nguo mzuri sana kwa bei ya elfu 5 au chini...
Wadau naombeni msaada wenu.
Ninauza kiwanja changu ili niweze kupata Mtaji maana mambo yamenibana sana. Ijapokuwa niliplani kujenga nyumba ila nimekwama na hiyo ploti ndio Inaweza kuninyanyua.
Kiwanja kimepimwa kina sqm 864 na kiko Gezaurole Kigamboni. Kiwanja kina hati hati safi isiyo na...
Habari wakuu.
NATAFUTA ENEO KWA AJILI YA MGAHAWA AU M PESA MTAJI LAKI TANO TU. Nimehangaika sana hapa Dar sasa nimepata laki tano kama mtaji wa kuanza kufanya biashara ndogo ndogo kwa sababu njaa ni kali sana.
Hivyo nimefikiria kuanza biashara za migahawa, baba/mama lishe, m pesa au kuuza nguo...
Wajuvi wa JF
Katika kufikiria namna ya kutoka kimaisha hapa mjini kujiajiri hakuepukiki maana ajira hakuna. Naombeni mnisaidie mchanganuo wa nini kinahitajika katika biashara hii.
Location nipo Dar es Salaam, mtaa ninaoishi naona bucha za nyama ya ngombe samaki na mbuzi lakini mdudu pemdwa...
Habari
Naomba wazo la biashara kwa mtaji wa milioni 5 mpaka 6. Biashara gani itakidhi kwa kiwango hiki cha pesa?
Uzoefu nilionao, katika maswala ya ICT kwa level ya kawaida na kazi za stationery.
Shukrani.
Habari za muda huu, na poleni na harakati za kimaisha.
Nikiwa na imani na members wa jukwaa hili, nina imani kubwa nitapata mchango wa mawazo ya biashara kulingana na maeneo niliyopo na vitangulizi nilivyo navyo. Kwa uzoefu wenu, naomba nisaidiwe wazo la biashara niweze kujikwamua kiuchumi...
Niko na shilingi elfu hamsini Tzs, ni biashara gani naweza fanya Dar es Salaam?
=========
Unashauriwa kusoma uzi huu kupata mawazo zaidi>>>Baadhi ya njia unazoweza kutumia kupata wazo bora la biashara (Business Idea)
Naipenda kutoa huduma ya usafi wa majumbani, ofisni.
Je, naweza kuanzaje ili nifike malengo? Kwa anayejua naomba mawazo maoni, mitazamo?
Kwenye hii biashara ya usafi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.