mtaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. kindikinyer leborosier

    Ushauri nifanye biashara gani kwa mtaji wa Milioni 3?

    Asalaam wanajamii wenzangu! Mimi ni mhitimu wa chuo, nimehitimu miaka kadhaa iliyopita, kwa hali zetu kwa sasa ni ngumu kupata ajira, nimejipiga sana nikasave sh. Mil 3 kwenye harakati za mtaani! Nawaza kwa mtaji wangu huu nifanye biashara gani? nipo mwanza kaa utafutaji! asante!!
  2. Kulupango

    Je, mtaji wa hisa Ulioidhinishwa huhesabiwaje wakati wa kufungua kampuni?

    Msaada ndugu Mtaji wa hisa Ulioidhinishwa huhesabiwaje wakati wa kufungua kampuni? How is Authorised share capital calculated?
  3. BLUE BALAA

    Natafuta mtu wa kuwekeza mtaji kwenye biashara ya utalii

    Mimi ni mfanya biashara wa mambo ya utalii katika malazi na ushauri wa biashara katika mambo yanayo husiana na uwekezaji katika biashara ya utalii. Nina uzoefu mkubwa katika biashara hii na ni msomi wa ngazi ya stashahada na shahada ya utalii na utawala wa biashara. Nimeyumba katika biashara...
  4. M

    Kilimo cha mpunga nahitaji kuwa na mtaji wa shilingi ngapi?

    WADAU napenda mwaka huu nianze kilimo cha Mpungu huku IFARAKA kwenye mwezi wa 12. Mnishauri ni Sh ngapi inahtajka kwa heka 20 na kila heka inaweza kunipa sh ngapi. Wenye uzoefu kama Masanja Mkandamizaji naona kufahamu kiundani zaidi kabla sijadumbukiza hela zangu huko
  5. Ofisho mlinzi

    Ili niweze kuonesha michezo inahitajika mtaji wa Tsh ngapi?

    Naona ni fursa ya kujiajiri kupitia kutoa huduma ya kuonyesha mpira, masumbwi, tamthilia pamoja na michezo mingine pia hata matukio mbalimbali, Je mchanganuo wa mtaji wake upoje?
  6. CONTROLA

    Ukitaka kufanya biashara, Anzia kuifanya Kichwani mwako na si usubiri ukiwa na Mtaji mkononi

    Huwa nasikitika sana ninapotoa ushauri kwa watu wenye mitaji mikononi,hasa wale wanaotoa na kuandika thread kuwa wana kiasi "flani cha pesa" Je wafanyie nini? Ukweli ni kwamba kila mtu hapo alipo ktk chochote anachofanya kumuingizia kipato anajua hela anayoitafuta anataka kuifanyia kitu...
  7. Demimi

    Kama unatamani kufanya Biashara za Sketi za watoto za mtumba na huna Mtaji nafasi yako hii

    KIJANA MTAFUTAJI: Kama unatamani kufanya Biashara za Sketi za mtumba na hauna mtaji njoo ofisini. WEKA NAMBA YAKO YA WHAT'S AAP INBOX YANGU, UWE DAR ES SALAAM Ila kwa wateja wa mikoani tunauza moja kwa moja. Utapewa Skert nzuri kwa Bei ya 1900 kwa kukopeshwa .. nawewe utauza mpaka 4500...
  8. Mozz_Elly

    Msaada wazo la Biashara, mtaji Tsh 50,000/=

    Kama kichwa cha habari hapo juu naomba msaada. Nawazo la biashara nina mtaji wa 50,000.
  9. M

    Ualimu umenipa mtaji,

    Nilimaliza sheria 2012 , then nilisota mtaani hadi mwaka 2015 nilipopata ajira za ualimu wa serikali,sikuona umuhimu wa kwenda law school kwa sababu sikuwa na connection na watu mjini, nilibahatika kuajiriwa kwetu(wilaya niliyozaliwa), soon baada ya kuajiriwa , nilijibana sana nikanununua...
  10. Masokotz

    Jinsi ya Kutengeneza Connection za Kibiashara

    Habari za wakati huu; Ndugu zangu hapa jukwaani nimekuwa nikiona watu wengi wakihangaika juu ya kukosa wateja wa bidhaa au huduma zao na wengine wakilalamika juu ya kukosa connection. Connection au mtandao nini?Connection au mtandao ni orodha ya watu ambao wana uwezo wa "kukuwezesha".Iko hivi...
  11. Y

    Mtaji wa 4.5m unatosha kuanzisha sehemu ya kuchezesha playstation games?

    Wasalam wanajukwaa. Mimi ni muajiriwa nimejichanga nikapata huo mtaji, nilikuwa naomba ushauri na namna ya kuanzisha biashara husiku hasa kwa Dar. Asanteni
  12. M

    Ufafanuzi na Mchanganuo Kuhusu Biashara ya Vipodozi na Urembo

    Wana JF naombeni ushauri wenu zikiwemo changamoto zake. WADAU WENGINE WANAOHITAJI KUELEWA BIASHARA HII MICHANGO YA WADAU KUHUSU BIASHARA HII
  13. B

    Nina mtaji wa Milioni 4 natafuta banda/frame ya uwakala

    Kama kichwa cha mada mie mdau nimebangaiza kitaa nina 4m hapa nataka nifanye biashara ya uwakala wa pesa kwa simu na mabank, natafuta frame ya kufanyia biashara hiyo iliyopo maeneo yalochangamka iwe Kinondoni, Mwananyamala, Kigogo nk. Nikiipata nianze kufuatilia lines za miamala na leseni ya...
  14. A

    Usichukulie poa, nyumba ni choo

    UPDATES: ===== Moderator: Hii thread Imefungwa kwa sababu Sheria za Tanzania na Kanuni Mpya za Maudhui 2020, haziruhusu Mijadala kama hii. Asante Hii thread ni vyura kwenda mbele tu wazee kina Behaviourist, Mrangi na TIASSA tukutane hapa. Tujitahidini iwe clean no nudity!
  15. Jemima Mrembo

    INAUZWA Nauza external hard disc 2TB nikuze mtaji wa biashara

    Wapendwa. Siko hapa kwa ajili ya ku expose shida zangu, ila naomba msaada kwenu ndugu zangu. Ninauza hard disk ya 2TB ninahitaji sh. 200,000/- tu ili nilipie fremu ya biashara. Kudanga siwezi, wala sio hulka yangu, ndio nimeingia rasmi kwenye ujasiriamali. Call +255 755 233 968
  16. G.Man

    Sera ya Elimu Bure ni mtaji wa kisiasa unaopunguza uwajibikaji kwa wananchi

    Mambo vipi, Moja kwa moja kwenye mada. Juzi nikiwa kwenye daladala nikasikia watu wakilaumu Serikali kwamba ''Heri Magufuli alivyo kuwepo, saivi watoto wametakiwa kulipa michango ya kama 22k shuleni'', sikuweza kuchangia neno lakin niliwaza sana, Seriously! mchango kama huo kwa mwaka kwaajili...
  17. Ofsa Kidali

    Natafuta muwekezaji

    Habari za muda huu wana JF, hongereni kwa mapambano ya kila siku kuifanya dunia kuwa bora na salama. Mimi ni kijana wa kitanzania mkazi wa Dar es Salaam elimu yangu ni kidato cha sita. Awali kabisa napenda ieleweke kwamba dhumuni ni kukuza na kuiboresha biashara (sitasema biashara yenyewe hapa...
  18. Zanaco

    Biashara gani naweza kufanya nikaingiza pesa nyingi kwa siku bila mtaji?

    Habari wadau, Biashara gani naweza kufanya bila mtaji nikapata pesa nyingi, mwenye kujua nisaidie mawazo.
  19. Idugunde

    CHADEMA mmepoteza matumaini ya kisiasa mnahaha kama mbweha msituni, hamjui mtaji gani wa kisiasa utawatoa. Mmebaki kuomba dua la kuku.

    Mtaji gani wa kisiasa utawatoa mrithi sasa hivi? Ufisadi? Maana mlizoea kusema CcM ni mafisadi. Mmebaki kudandia hoja ya uchaguzi wa Spika na mnashadidia kuliko hata wanaCCM wenye mandate ya kuteua na kuchagua spika. Kesi ya ya ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake itawapa mtaji na kupata...
  20. S

    Ndugu yangu amenipa sharti la kuacha kazi ya kuajiriwa ili anipe mtaji wa Tshs 200M nianze shughuli yangu mwenyewe lakini sijui nifanye shughuli gani!

    Mara nyingi nimetetea uraia pacha ili wana Diaspora wapewe nafasi za kuwekeza nchini. Sababu kubwa ya kufanya hivyo ni kwamba nina ndugu yangu huko nje alichukua uraia wa huko, na sasa anasema inakuwa vigumu kuwekeza Tanzania kwa kuwa yeye sio raia tena wa Tanzania. Sasa juzi hapa kanishauri...
Back
Top Bottom