Rafiki yangu mpendwa
Huwa kuna kichekesho kinachosema kila biashara huwa inalipa ukiwa unasimuliwa.
Lakini unapoingia ndiyo unakutana na uhalisia ambao hukusimuliwa.
Kichekesho hiki kina ukweli nusu na ukweli wenyewe ni kila biashara huwa inalipa, ila inategemea na namna ambavyo mtu...
Bidhaa unaweza toa Mwanza, Morogoro au Dar kuleta Dodoma, faida ya kila box baada ya usafiri ni 6000 kwa carton kama uko tayari nipigie nikupe maisha utanishukuru na utanifikiria cha kunipa kama shukurani baada ya shukurani.
Nipigie simu 0621604087
IKO HIVI
Kama una hela nenda Dar chukua...
Wanasema mafanikio ya mwanadamu yapo kwenye taarifa au connection Sasa wana Jf Mwenye utayari wa kuzungusha pesa yake ndani ya muda mfupi aweze kurudisha pesa yake na kuamua kuendelea au lah namuhitaji.
Ninahusika nakuingiza Bidhaa flani kutoka Kenya kuja Tanzania soko la hzo Bidhaa lipo na...
Wanajamii,
Najua zote ni best ideas:
●Hardware ya vifaa vidogo vidogo vya ujenzi
●Pharamcy ya kisasa
■LOCATION: Miji mikubwa au miji inayokuwa kwa kasi. Katika maeneo yaliyokuwa na movement kubwa za watu.
Naombeni maoni yenu kutokana na uzoefu na uelewa wenu kuhusina idea ipi yenye return...
Najua wengi wana akaunti katika mitandao ya kijamii; sasa ni wakati wa kutumia hiyo mitandao kuingiza pesa.
Anza hivi:-
No. 1
Tengeneza 'database' ya mambo yote yanayohusu ujenzi
Ingia makubaliano na hawa mafundi:-...
Hellow...
Kuna fursa katika biashara ya kukopesha watu. Kama una mtaji wa milioni 20 na upo interested na hii biashara njo inbox tuyajenge zaidi. Wateja wapo wa uhakika waliochunjwa kabisa hawana longolongo za marejesho.
Kama unaogopa risks za business tulia Tuli. Kama una tamaa ya kutajirika...
Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imesema Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) limelemewa na deni la Sh403 bilioni ilhali mtaji ilionao ni wa Sh243.
Makamu Mwenyekiti wa kamati hiyo, Japhet Hasunga amesema hayo jana Jumatano Oktoba 20, 2021 baada ya kuipitia ripoti ya Mdhibiti na...
Wewe kama mwanafunzi wa chuo, una nafasi nzuri ya kufanya biashara. Kutokana na wingi wa watu waliokuzunguka na kuwa na uwezo wa kujua mahitaji yao. Kwanza inakubidi kutambua mahitaji ya kila siku ya wanafunzi wenzako. Nikimaanisha kuwa mara nyingi mahitaji yako ya kilasiku, ndio mahitaji ya...
Kuanza biashara kunahitaji maandalizi. Nikimaanisha unahitaji kuwa na maarifa flani tofauti kulinganisha na wale uliowakuta ili ata nao pia wajifunze kutoka kwako. Ikiwezekana na wewe uendelee kujifunza kutoka kwao. Kwenye kipengele hiki tutaenda kuangalia namna ya kufungua biashara ukiwa...
Watu wengi wamekuwa wakitamani kuanza biashara lakini wanafikiri namna ya kuanza kwani mtaji wao ni mdogo sana.
Usiogope; kuwa na mtaji mdogo au kutokuwa nao kabisa sio mwisho wako wa kutimiza malengo yako.
“Usilie juu ya kile ambacho huna; tumia vizuri kile ulichonacho.”
Zipo mbinu mbalimbali...
AKILI NA UBUNIFU NI MTAJI MKUBWA KULIKO FEDHA
Habari za muda huu wanajamii forum leo katika jukwaa hili la story of change nina mada ninayoiwasilisha kwenu naombeni muipokee na ikaweze kubadilisha au kuongezea kile mlichonacho.
Kwanza kabisa nianze na hadithi fupi kisha tuendelee na mada yetu...
Habarini wanaJamiiForums
Ni imani yangu mko salama. Leo napenda kuangazia suala zima la collabo au partnership katika kutafuta mitaji. Kutokana na ugumu uliopo katika kupata mtaji wa kuanzishia biashara, hasahasa kwa wahitimu wa chuo, collabo baina ya watu wawili au zaidi inakuwa ni moja ya...
Unfortunately hii Serikali inajilisha upepo , kupoteza Fedha na hela za walipa kodi kwa ajili ya kulifuta jina linaoitwa Mbowe ni kujidanganya.
Hii ni sawa na mtu kuchota maji mtoni na kuyapeleka baharani.
Mbowe yuko na back up ya watu almost Million 30 Tz na nje.
Mimi naona hii ligi...
Haya ndiyo mengi yanayotawala katika vichwa vya watu wengi, kutokana na kila mtu anawaza kwa namna yake.
Tatizo la ajira limeifanya jamii itafute njia thabiti itakayoweza kuwakomboa watu katika janga hili la ukosefu wa ajira. Lakini swali la kujiuliza vipi litamalizika tatizo hili katika bara...
Habarini wakuu.
Najua kuna wimbi kubwa sana la vijana wasio na ajira. Hata wanaothubutu kujiajiri nao bado wanapata changamoto mbalimbali na mitaji yao inapotea pasipo kufanya jambo la maana. Hebu soma kisa changu.
Ilikuwa ni mwaka jana(2020) mwezi wa saba nilipoamua kutoka mjini na kuhamia...
Habari za Jumapili wanajamvi.
Niende Moja kwa Moja kwenye mada inayoniumiza kichwa mpaka nakosa amani ya moyo kwa muda wa week sasa.
Mimi na mke wangu tangu tufunge ndoa huu ni mwaka wa tisa. Hatukuwahi kuwa na migogoro mikubwa ingawa mikwaruzano ile midogo ilikuwepo.
Sasa katika kipindi cha...
Habari, naitwa Ephraim nikijana mdogo nimetoka VETA miaka miwili nyuma natamani nifanye biashara ya kuuza VIFAA VYA umeme Maana ndio taaluma niliyosoma kwa ngazi ya cheti Na level III.
Pia Ni fundi mzuri naweza kufunga wiring ya nyumba vizuri from the scratch mpaka finishing.
Changamoto...
✍🏿 SWALI KUU HIVI KWA NINI MO NA BAKHERSA WANAKUWA MATAJIRI WAO TU?
💧 MO na BAKHERSA ni binadamu kama sisi wana kila kitu tulicho nacho, walikuwa maskn kama sisi pengine mwanzo tuliwazidi uwezo lakin kwa nini saivi wanatuzidi?😇( hapa kichwa kinauma)
✍🏿 Ukimtizama Mo na BAKHERSA wana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.