mtaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jamaa Fulani Mjuaji

    Shule zinazosemekana kukarabatiwa ni zipi haswa, au ni mtaji wa kisiasa?

    Hii nimekuwa nikijiuliza sana, ukimsikiliza kiongozi yeyote hasa Mawaziri wa TAMISEMI wanajinasibu kuwa shule zote zimepokea pesa ya ukarabati na wanajinasibu kwa kudai kuwa hakuna shule ambayo haijapata pesa za kujenga madarasa mapya au kukarabati yaliyopo lakini kuna shule kongwe hazijawahi...
  2. MEGATRONE

    Naomba wazo la namna ya kuingiza faida ya 30,000 na kuendelea kwa mtaji wa million 3

    Habarini members wenzangu, Nilikuwa naomba wazo la biashara ambayo inaweza kuingiza faida 20,000 na kuendelea kwa mtaji wa Million 3! Nakaribisha mawazo yenu!
  3. peno hasegawa

    Mwenyekiti wa UWT Taifa Mary Chatanda, UWT inakufanya mtaji kuwa omba omba ziara ya mkoa wa Kilimanjaro

    Ujio wako mkoa wa Kilimanjaro fedha zinaombwa kila mahali, na huna Habari fedha zinakusanywa tena Kwa fedhea kubwa. Ulipanga safari bila kuwa na Bajeti ya safari zako mkoani Kilimanjaro? Kama utakuwa unaokota fedha Za kuomba omba Kwa watu , bora ujikalie huko uliko! Ukitaka kuja jitegemee au...
  4. F

    Kama wewe unajua kuuza. Biashara ya U MC wa Harusi ndie biashara nyepesi kukupa faida ya milioni 20 kwa mwezi. Kwa mtaji wa mdomo wako tu na suti

    Habari wadau. Kwenye jukwaa la biashara leo tuongelee kuhusu biashara ya ku sherehesha sherehe. Ni biashara ambayo watu wengi hawaiwazi. Ila inaingiza hela nyingi sana kama faida. Unapaswa kuwa mjanja kuelewa biashara yao wanavyoifanya na cost wanazotumia. Hiyo biashara imejigawa pande...
  5. Kizibo

    Mtaji wa biashara yangu umeanza kukua, sasa naomba mnisaidie jambo hili

    Heshima kwenu wakuu. Mimi ni mfanyabiashara mdogo wa duka, Ukerewe . Kuanzia mwezi wa 6 kurudi nyuma, nilikuwa mtu wa kuhemea mzigo kwenye maduka ya jumla hapa hapa Nansio kwa pesa taslim laki 4 na kushuka. Yaani uwezo wangu ulikuwa wa kununua mzigo wa bidhaa kwa laki 2, laki 2.5, laki 3-4...
  6. Kizibo

    Mtaji wa biashara zangu umeanza kukua, sasa naombeni mnisaidie jambo hili

    Heshima kwenu wakuu. Mimi ni mfanyabiashara mdogo wa duka, Ukerewe . Kuanzia mwezi wa 6 kurudi nyuma, nilikuwa mtu wa kuhemea mzigo kwenye maduka ya jumla hapa hapa Nansio kwa pesa taslim laki 4 na kushuka. Yaani uwezo wangu ulikuwa wa kununua mzigo wa bidhaa kwa laki 2, laki 2.5, laki 3-4...
  7. Masokotz

    Je Una Mtaji Wewe?

    Habari za Wakati huu; Mwaka 2014 Nilikuwa katika harakati za kutaka kuanzisha shule ya biashara(Business School).NIlilenga iwe shule ya Biashara ambayo inapokea mwanafunzi yeyote,kwa kozi yoyote na ambayo ingatumia mfumo wa kujifunza ambo unazingatia zaidi matakwa na malengo ya mwanafunzi badala...
  8. S

    Nitajieni biashara nyingine inayotoa faida kama mikopo ya kausha damu!

    Kausha damu: Unawekeza mtaji wa shilingi 1,000,000, unavuna faida ya shilingi 300,000 mpaka 400,000 kwa mwezi. Nitajieni biashara nyingine kama hii. Tunaposema hii mikopo ni kausha damu na initia watu umasikini, basi hicho ndicho kinachofanyika. Hivi leo hii ukipewa mtaji wa shilingi 1000,000...
  9. P

    Kwa mtaji wa Tsh. Milioni 1.5 unaweza kufanya biashara gani ambayo kwa siku unaweza kuingiza faida ya Tsh. 20,000/-?

    Wakuu, Biashara gani ambayo inaweza kukuingizia faida ya Tsh. 20,000/- per day kwa hapa Dar es Salaam kwa mtaji wa 1.5mil? Binafsi nilifikiria nisajili laini za uwakala nifanye miamala ya simu but sijafahamu changamoto na faida zake.
  10. Crocodiletooth

    Ally Hapi, kiongozi kijana wa mfano aliyefanikiwa kupata mtaji akajiongeza

    A man is my role model, kama kiongozi aliyeshikilia nyadhifa mbalimbali za kiuteuzi na kufanikiwa kupata mtaji wa uhakika, ambao amefanikiwa kuutumia vyema katika kuendeleza mashamba makubwa ya ki setlers, tofauti na viongozi wengine ambao baada ya kuenguliwa katika posts huanza kulia lia, na...
  11. Makonde plateu

    Ushauri: Nina mtaji wa milioni 200 nataka kufanya biashara ya kuuza magari

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza naombeni wataalamu mnipe ushauri biashara ya kuuza magari kwa sababu nataka kujipanua zaidi kibiashara baada ya biashara ya madini,kilimo na real estate kuifanya kiusahihi kabisa nataka kufanya biashara nyingine na biashara niliyoichagua ni biashara ya...
  12. Y

    Biashara ya mtaji mdogo kati ya Dar au Mikoani

    Eti Wakuu wapi ni bora kati ya Dar au Mikoani kuanza na biashara yenye mtaji mdogo mfano 2M
  13. TheChoji

    Ulichoma mtaji mara ngapi mpaka kuja kutoboa kibiashara?

    Mtu akikuona leo hii unavyokula bata, maisha mazuri, usafiri mkali na biashara kubwa mjini, anaweza kudhani umefika hapo ulipo kirahisi rahisi tuu. Mimi mwenyewe nilikuwa nadhani hivyo! Cha ajabu ni kwamba kila ninapojaribu kutia mguu kwenye biashara nachezea za uso mbaya kabisa najikuta natoka...
  14. A

    Nina mtaji wa milioni 7 msaada nifanye biashara gani

    Mimi ni mwajiriwa niko maeneo ya Kijijini Nina kahela nmesave sh milioni 7 nataka nizungushe kanipatie faida Biashara gani itanifaa maana huku nilipo mzunguko wa hela ni mdogo. Napata wakati mgumu
  15. T

    Biashara gani naweza kufanya kwa mtaji wa laki nane katika mji wa Kahama?

    Wakuu habari, Natumai kuna wajuzi na wenye uzoefu na mji wa kahama kwenye eneo la ujasiriamali hapa, nina ichi kiasi cha laki nane ambacho natamani kisikae kizalishe chochote kitu ili nitanue wigo wa mapato yangu ata kwa kidogo. Naomba mawazo yenu wakuu. Asante
  16. C

    Mtaji wa kufungua mini restaurant

    Ni usiku wa saa nane ila Bado Sina usingizi. Nimekaa nikaandika business plan ya mean restaurant jijini Dar es salaam, hasa pale uwanja wa Taifa. Nime-analyse kila kitu. Gharama ya kuanzia inahitaji kiasi Cha 20,800,000/=. Estimated profit ni 3,000,000/= Kwa wafanyakazi wanne. Mmoja mtendaji na...
  17. covid 19

    "Kampuni yetu ya Teknolojia tunatafuta Mwekezaji wa kuongeza nguvu ya mtaji na Ufanisi kwenye kazi "

    Jambo, Tunatafuta mwekezaji mwenye nia ya kuwekeza katika kampuni yetu ya teknolojia inayojihusisha na kuuza vifaa vya usalama wa elektroniki na shughuli zingine za teknolojia. Tunaamini kuwa uwekezaji wako utatusaidia kuongeza ufanisi wetu na kufikia wateja wengi zaidi. Kuhusu kampuni yetu ni...
  18. B

    Biashara ya dhahabu kwa mtaji wa 25M

    Habari, Naomba msaada wa kujua namna nzuri ya kufanya hii biashara ya dhahabu (Based in chunya) kwa mtaji mdogo wa 25M
  19. M

    Wazo la biashara mtaji kwa milioni 5 kwa Mwanza

    Hello wanajamvi Mimi nikijana wa miaka 23 nimetokea Songea baada ya kumaliza chuo mwaka huu nikaona bora nijiajiri Mimi mwenyewe kutokana na saving niliyopata kwenye boom Natatanguliza shukrani zangu kwa wakazi wa Mwanza. Naomba mnisaidie
  20. Hakuna anayejali

    Afya ni mtaji lakini katika mazingira machafu pesa inakuwa mtaji wa kutafutia afya

    Serikali imekuwa mstari wa mbele kuhamasisha wananchi wawe na vyoo bora, lakini wao kwenye ofisi zao binafsi ni chafu, sink limefubaa hata mhudumiwa anastaajabu. Lakini leo, hiki ni choo cha Ofisi ya Kata Mshangano. Tazama picha hapa ndani, chooni na ofisi ipo pembeni. Serikali chukueni hatua.
Back
Top Bottom