mtaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dr. Zaganza

    Kwa Takribani miaka 40 Sasa Nimegundua Ukiwa na MTAJI au UZOEFU, Utaishi Uchumi wakati au wa juu

    Habari zenu woote Naamini niko jukwa sahihi kushare uzoefu wangu kwenye biashara. Sasa leo napenda kushare nanyi uzoefu wangu kwa kuangalia circle yangu, nimegundua ngazi 3 kiuchumi: 1. Uchumi wa chini: Kundi bila Mtaji Wala Uzoefu. Hawa wanastrugle kila iitwayo leo kufanya kazi apate pesa ya...
  2. Almalik mokiwa

    Changamoto ya maji wilaya ya Handeni mkoani Tanga ulikuwa mtaji wa kisiasa. Mradi wa htm ni taa ya giza la muda mrefu

    Anaandika Almaliki Mokiwa Februari 28, 2024. Wilaya ya Handeni Mkoani Tanga ni eneo lenye 6,534 km² lililopakana na Wilaya ya Kilindi upande wa Magharibi, Wilaya ya Korogwe na mkoa wa Kilimanjaro kwa upande wa Kaskazini huku likipakana na wilaya ya Pangani kwa Upande wa Mashariki na Mkoa wa...
  3. Z

    Vijana tuacheni kubeti, kindege (aviator) kimenimaliza milioni 7 yote ya mtaji

    Nashindwa kuwaambia jinsi nilivyojikatia tamaa kiasi cha kuwa kichaa. Ila ninachoweza kuwaambia tu vijana wenzangu tuacheni kubeti kwa malengo kwamba tunapata pesa huko haraka haraka. Fikiria nimefanya kazi ya kuajiriwa kwa miaka 8, nikafukuzwa kazi nikaenda NSSF nikachukua milion 7.5...
  4. Mjanja M1

    Madaraka Nyerere: Matusi niliyotukanwa yangekuwa mtaji ningeanzisha benki

    Inaonekana kuwa mtoto wa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ametukanwa na watu wengi baada ya kuzinduliwa Sanamu la hayati Nyerere huko Ethiopia, Makao Makuu ya Umoja wa Afrika AU. Kupitia ukurasa wake wa "X" Madaraka amesema, "Matusi niliyotukanwa yangekuwa mtaji...
  5. jah bless xon

    Mke amwomba mme alale na mtu mwingine ili wapate mtaji

    Habari Iko hivi, kuna ndugu yangu mmoja, tuseme ni classmate wangu ana MKE na WATOTO watatu. Sasa Kuna lizee limoja lilikuwa linamtongoza huyo MKE wa jamaa. Katika harakati zakutongozana mzee akamwambia atampa na mtaji wabiashara kama 2M hivi akikubali kulala nae. Demu kikawa kinamuwazisha sana...
  6. Ngongo

    Mazishi ya Lowassa ni mtaji mzuri wa uchaguzi!

    Heshima sana wanajamvi, Nimefuatilia mienendo ya msiba wa Mzee Lowassa kwa kiasi fulani na kubaini yafuatayo. Mosi, watawala baada ya kugundua wameshindwa kuwapatia wananchi umeme wa uhakika, wameamua kuhamisha magoli makusudi kutuaminisha kwamba walimpenda, wanampenda na wataendelea kumpenda...
  7. The bump

    Business partner mwenye mtaji usio chini ya milioni 10

    Binafsi ni mfanyabiashara ninaetafuta msaidizi tutakaesaidia a hii biashara ninayoifanya. Ni biashara Ndogo lakini inafanywa kwa ukubwa hivyo inahitaji Mtaji lakini zaidi usimamizi wa Jicho kwa Jicho. Partner ninae mtaka tutashirikiana katika Biashara. Faida Tutagawana Half Half Usimamizi wa...
  8. L

    Kuwa na Kiongozi mzuri kama Rais Samia na kutumia jina lake kama brand ni mtaji wa kisiasa

    Hili ndilo linalohalalisha uwepo wa madarakani - kwani kila kitu kinasemwa kimefanywa na Rais Dr. Samia. Ikitokea mkawa na Rais asiyejali watu, anayetisha tisha watu, watu wanapotea, analinda maslahi yake na watu wake tu, haleti maendeleo kwa watu wake, hajali bei za bidhaa zinaongezeka, yaani...
  9. Ritz

    Pre GE2025 Chadema, pesa za mafuta ya bodaboda na posho kwenye maandamano mngewapa mtaji Bavicha

    Wanaukumbi. Chadema wanapoelekea kwa sasa itakuwa kama UMD kinakufa taratibu, leo hii Chadema wanaandaa Maandamano wanakusanya Bodaboda na Bajaji zaidi ya 200 wajaze Maandamano wanamdanganya nani kama raia wamekaa maandamano yako wanawaonyesha UN ili iweje. Nani analipa hizo pesa za mafuta...
  10. P

    Unakumbuka mtaji wa biashara yako uliupata wapi?

    Hellow lovers, Unakumbuka mtaji wa biashara yako ulipata wapi? Ilikuaje? Tuambie tujifunze.
  11. AnoldAngelz

    Ni mambo gani muhimu ya kuzingatia ili kufungua banda la juice? Na linahitaji mtaji kiasi gani?

    Ni mambo gani muhimu ya kuzingatia ili kufungua banda la juice? Na linahitaji mtaji kiasi gani? Samahanini wakuu, naombeni mchango wenu on regard of heading above
  12. JanguKamaJangu

    SIMIYU: Watu zaidi ya 22 wapoteza Maisha kwa kufukiwa na kifusi baada ya Mgodi kutitia Wilayani Bariadi

    Ndugu zangu kuna taarifa nimezipata kuwa inadaiwa kuna Mgodi umetitia kutokana na mvua zinazoendelea Wilayani Bariadi Mkoani Simiyu na Watu kadhaa kufukiwa. Mgodi upo Kijiji kinaitwa Ikinabushu, details za jina na kilichotokea zaidi bado sijazipata. Mliopo karibu na Bariadi tupeni taarifa...
  13. Venus Star

    Pre GE2025 Freeman Mbowe kuona ni kuamini, achana na siasa za mkia wa mbuzi, jeuri na kiburi sio mtaji kuelekea uchaguzi 2024/2025

    Na; Hamis Abeid Baruani UDASA, UDSM. Kwa masikitiko makubwa leo Mbowe ameushangaza umma kwa kuongea mambo mawili ambayo hadi sasa yamepingwa kila kona ya nchi. 1. Katangaza kususia maridhiano 2. Kaitisha anayoyaita maandamano ya amani. a) Mhe. Mbowe kabla ya kususia MARIDHIANO unakumbuka...
  14. Next Elon Musk

    Biashara ya mtaji wa 1,500,000

    Habari wanajamii, mimi ni kijana niko chuoni Nina laptop yangu yenye thamani ya 1,500,000 natumia ina best specifications nilinunua kwa kazi za graphics na chuo masomo ya IT sasa nilawa siingizi kiasi nilichokua nataraji as watu wengi wanataka kazi kwa bei nafuu mno sasa laptop ikawa haini...
  15. 6

    Idea ipi ya biashara mtaji 1,500,000

    Habari wanajamii, Mimi ni kijana niko chuoni Nina laptop yangu yenye thamani ya 1,500,000 natumia ina best specifications nilinunua kwa kazi za graphics na chuo masomo ya IT sasa nilawa siingizi kiasi nilichokua nataraji as watu wengi wanataka kazi kwa bei nafuu mno sasa laptop ikawa haini...
  16. U

    TAHLISO yageuka genge la mtaji wa fedha kwa viongozi wa TAHLISO

    UTANGULIZI TAHLISO ni Jumuiya ya Wanafunzi wa elimu ya Juu (Vyuo na Vyuo Vikuu) Tanzania. Ilisajiliwa mwaka 2004 ili kuwa sehemu ya kuziunganisha serikali hizi/wanafunzi hawa kwa ajili ya kuwasilisha changamoto, maoni na mapendekezo yanayogusa maslahi ya wanafunzi wote wa Elimu ya Tanzania...
  17. Bigmaaan

    Namna bora ya kumsaidia Bwana Mdogo mtaji wa Biashara

    Mwaka 2014 kuna bwana mdogo, alikataa shule akiwa form two, akidai kuwa hapandishi, ni kweli hakuwa akifanya vizuri darasani. Akawa ni mtu wa kwenda minadani tu. Mwaka 2018, aliomba msaada wa sh 210,000 ambapo alidai anaenda nunua mbuzi kwa ajili ya kuanza kuuza. Sikua na mawasiliano naye ya...
  18. sky soldier

    Ndugu unaempa mtaji ajitegemee anaanza upya kukuomba pesa hana mshipa wa aibu?

    Ni ndugu yangu mwenye miaka 26, kamaliza chuo mwaka juzi. Hapo zamani mara kwa mara alikuwa akiniomba pesa za kutatua shida zake, hizi elfu 20 nimemtumia sana. Nikaona isiwe taabu, kitu anachoomba ni kama samaki naowavua basi nayeye nimpe ndoano awe anajivulia, Tulikaa chini pamoja nikamuuliza...
  19. M

    Biashara ni mtaji na location vingine mbwembwe tu

    Ukiwa n'a uwezo WA kufata bidhaa zinapotengenzwa 90%umewin kwenye biashara Tayar Mfano kama Una uwezo WA kuchukua mzigo WA nguo kutoka china ,uturuki , Thailand n.k biashara yako itasimama Sababu. mzigo ukishafika Tanzania unakua n'a wateja WA uhakika ,hakuna kubagein, unauza mzigo mkubwa...
  20. Mkongwe Mzoefu

    CCM mmetuaibisha Katesh kwa kutumia vifo na madhara yetu kama mtaji wa siasa

    Mimi na wenzangu raia wa Mkoa wa Manyara hakika mmetuaibisha sana sisi wakazi wa Kateshi kwa kutumia shida na machungu yetu kama mtaji wenu CCM katika harakati zenu za siasa kuelekea uchaguzi wa mitaa 2024 na ule mkuu 2025. Nini hasa kimepelekea nyie mjivishe jukumu la nani aje atupe pole na...
Back
Top Bottom