fact only
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 2,481
- 4,014
Habari wana JF.
Kwa wale wote wanao hitaji kufanya biashara/kuwekeza Kariakoo. Naomba msiogope hivi sasa ndiyo wakati mzuri sana wa kuwekeza/kufanya Biashara Kariakoo Majengo mapya yanajegwa kila siku. Na bei za fremu ni nzuri sana(affordable hata kwa mtu mwenye mtaji mdogo).
Zipo fremu kuanzia 100,000 mpaka 2,500,000.
Kwa maana hiyo basi kwa wale wote wanao hitaji fremu za kuuzia nguo, viatu, urembo, vyombo, huduma za kifedha kama M-PESA , MIXX BY YAS zamani TIGO PESA, AIRTEL MONEY, HALO PESA, CRDB wakala, NMB wakala, NBC wakala n.k, kuuza simu, kuuza underwear(boxer,chupi,soksi,taiti n.k), kuuza vinywaji kama soda, maji, juisi n.k, kuuza vifaa vya simu, kuuza vyakula, kuuza mifuko kwa jumla, kuuza t shirt, kuuza vifaa vya ujenzi, fremu za pharmacy, stoo za mizigo, kuuza vifaa vya saloon, kuuza computer, kuuza nguo za michezo, stationary n.k karibuni fremu zipo nyingi sana.
Usiogope kuanza from the scratch, usiogope kuwekeza kwenye mawazo yako usiogope kuwekeza katika kile unacho kiamini.
YOU WIN WE WIN.