Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 14,421
- 40,936
Muulize mzazi nini unataka kuwaachia watoto wako utakapoondoka hapa duniani. Mara nyingi majibu huwa sio mageni, nyumba, biashara, ardhi, akiba ya pesa n.k
Tunatumia muda mwingi kufikiria kukusanya assets kwa ajiri ya vizazi vyetu vijavyo. Lakini swali la msingi ambalo huwa hatujiulizi. Vipi kama tukiwaachia watoto wetu hizo mali bila kuwachia ujuzi wa kuzitumia kwa ufasaha.
Utajiri unaweza kupotea ndani ya generations mbili tu, biashara inaweza kuanguka, nyumba inaweza kuuzwa, akiba ya pesa benki inaweza kuisha. Urithi uliowaandalia wanao kwa miongo hata mitano unaweza kutoweka kwa haraka tu, kwa sababu kudumu kwa urithi sio suala la umeachiwa nini, ni suala la unajua kufanya nini kwa hicho ulichonacho.
Ujuzi mkubwa zaidi ambao mzazi unaweza kumwachia mwanao sio jinsi ya kutengeneza pesa, ila ni jinsi ya kutumia mtaji. Mtaji ni kitu kikubwa zaidi ya hela. Wengi wetu tukisikia mtaji tunajua ni pesa zilizopo benki. Pesa ni aina moja wapo tu ya mtaji. Mtaji ni resources yoyote unayomiliki ambayo unaweza ukaitumia kutengeneza, kupata, kulinda na kuzidisha thamani.
Pesa na mali ni aina moja wapo ya mtaji lakini kila binadamu anazaliwa akiwa na aina 8 zingine za mtaji wa bure kabisa:
1. Uhai na muda.
Huu ni mtaji wako wa kwanza ambao upo kwenye mstari unaosogea mbele yaani muda au uhai ukishenda hauwezi kuurudisha.
2. Umakini
Uwezo wa kuzingatia jambo
3. Akili
Uwezo wa kutafuta na kupata majibu ya changamoto zinazokuzunguka
4. Sifa njema.
Hii ni credibility, integrity na trust yako kwenye macho ya wengine
5. Mahusiano na mtandao.
Ukubwa wa namna umeifikia jamii unayodhamiria ku-associate nayo
6. Eneo na mazingira.
Sehemu ambayo utachagua kuishi kwa kuzingatia fursa gani za kiuchumi umezilenga
7. Uhamaji
Uhuru wa kuweza kuamisha mali zako au mawazo yako nje ya mipaka ya eneo au nchi yako.
8. Afya
Uimara wako wa kimwili na akili
Matumizi ya mtaji ni nidhamu yako ya namna utazitumia hizo resources 9 hapo juu, yaani pesa na mali, uhai na muda, umakini, akili, sifa njema, mahusiano na mtandao, eneo na mazingira, uhamaji na afya.
Utahitajika ujuzi na umakini katika kutumia hizo resources ili uweze kuendelea kuwa competitive na kuikuza thamani yako kwa muda mrefu. Hapa ndipo watu wengi huwa wanafanya makosa
Hili ndio somo ambalo kila mzazi anapaswa kumfundisha mtoto wake. Usimlee mtoto wako aishie kuwa consumer tu, mlee awe allocator.
1. Mtoto akiwa na hela ndogo mfundishe kwamba yeye sio masikini. Bado ana muda, umakini, mahusiano na watu, mtandao, akili, nguvu n.k hizo zote pia ni assets.
2. Mfundishe mtoto jinsi ya kubadilisha aina moja ya mtaji kwenda aina nyingine
3. Muhimu kabisa mfundishe jinsi ya kujilinda na mambo ambayo yanaweza kumwangusha
Asiweke afya yake kwenye risk kwa ajiri ya pesa ambayo haihitaji
The ultimate inheritance is not only an asset. House can be sold, business can fail, money can disappear, land can be divided, market can collapse. But a person who understands how to evaluate, protect, convert and allocate capital can rebuild
That's why i believe the greatest legacy a parent can leaves is not only a balance sheet but it's a way of thinking. Teach your children to understand capital, to pretect it, to allocate it, to make it compound. Because eventually the inheritance will be spent but the ability to create, preserve and multiply value can last for generations.
Teach your children how to allocate capital

- Wanatumia miaka yao bora kufanya vitu vya mpito tu
- Wanaweka hatarini afya zao kwa ajiri ya kupata kipato
- Wanapoteza umakini kwa sababu ya burudani ya muda mfupi
- Wanaweka hatarini reputations zao kwa sababu ya malengo ya muda mfupi
- Wanaaribu mahusiano mazuri kwa sababu ya pesa
- Wanatumia pesa nyingi kwa ajiri depreciate things.
Hili ndio somo ambalo kila mzazi anapaswa kumfundisha mtoto wake. Usimlee mtoto wako aishie kuwa consumer tu, mlee awe allocator.
1. Mtoto akiwa na hela ndogo mfundishe kwamba yeye sio masikini. Bado ana muda, umakini, mahusiano na watu, mtandao, akili, nguvu n.k hizo zote pia ni assets.
2. Mfundishe mtoto jinsi ya kubadilisha aina moja ya mtaji kwenda aina nyingine
- Muda kwenda maarifa
- Maarifa kwenda uwezo
- Uwezo kwenda reputation
- Reputation kwenda fursa
- Fursa kwenda mali
- Mali kwenda uhuru
3. Muhimu kabisa mfundishe jinsi ya kujilinda na mambo ambayo yanaweza kumwangusha
Asiweke afya yake kwenye risk kwa ajiri ya pesa ambayo haihitaji
- Asi-risk reputation yake kwa ajiri ya short term opportunity
- Asi-risk mahusiano ya maana kwa ajiri ya temporary advantage
- Teach your children that, don't spend your future to satisfy your present. Look for decision where the downside is limited but the upside can compound for years