chapati mbili na chai
Member
- Jun 1, 2026
- 99
- 189
Mtaji wangu ni afya naombeni shughuli ya kufanya
Dar es salaam Ilala municipalUpo mkoa gani?
Oooh upo mjini,Dar es salaam Ilala municipal
Hata nje ya mji nakuja mkuu kama ni uhakikaOooh upo mjini,
Kila la kheri kijana
chapati mbili na chai chai ya rangi andazi chapati mbili na chai Chapati nyingii Chapati Tatu
Mbali sana,hiyo nauli Bora ufanye mtaji wa kuuza maji.Hata nje ya mji nakuja mkuu kama ni uhakika
Njoo huku shamba, punda hawajasoma ila hawakosi kazi.Dar es salaam Ilala municipal
InshallahAkufanyie wepesi
Wapi huko mkuuNjoo huku shamba, punda hawajasoma ila hawakosi kazi.
Sawa mkuuKila la kheri kijana
chapati mbili na chai chai ya rangi andazi chapati mbili na chai Chapati nyingii Chapati Tatu
Jinsia mwanaume napatikana Dar es salaam nimefanya kazi nyingi ambazo hazihitaji Elimu ya darasaniHata kujieleza huwezi nani atakupa hiyo kazi ?
Una fani gani ?
Umri ?
Jinsia ?
Unapatikana wapi ?
Ulishawahi kufanya kazi gani ?
Wadhamini n.k
Wapi huko mkuuMbali sana,hiyo nauli Bora ufanye mtaji wa kuuza maji.
Uza chapati, ilala kuna waswahili ukipata mpishi mzuri.Dar es salaam Ilala municipal