Kwa mtaji wa afya na nguvu naombeni shughuli ya kufanya niingize kipato

Uza chapati, ilala kuna waswahili ukipata mpishi mzuri.
Sina hela mkuu hapa nahitaji kama 250k ambapo nimeshanunua vyombo, sahani, vijiko, sufuria na vyombo vidogo vidogo.
Kuna sehemu nahitaji kuanza kuuza Supu japo siyo hapa Ilala.
Ni nje kidogo ya mji sehemu yenye mafundi wengi. Mtu anaweza kuona napost nyuzi nyingi hapa JF akaona kama nazingua, kumbe mioangonipo ipa bado ufanikishaji sehemu ndogo tu.

Pamoja na yote nashukuru Kwa michango yenu
 
Sawa, kwenye 250 ukipata kiasi niambie nitakuongezea, ukiniona kwenye comment popote nishtue.

Ila lazima upate kiasi mi nitaongeza.
 
Asante sana mkuu Kwa msaada wako.
NAOMBA USINIELEWE VIBAYA, NAHESHIMU MAONI NA MOYO WAKO WA KUSAIDIA.
Ila nahitaji kazi au mchongo ambapo nitapata hiyo hela, nisingependa unipe pesa bila kuifanyia kazi,, naona kama siyo haki, japo nisamehe mkuu Sina nia mbaya.
Kama una kazi yoyote unaweza kunipa, siyo kwamba hiyo kazi inaendana na malipo unayonipa, hapana Ili na mimi walau nafsi yangu ilizike kwamba umenisaidia ila na mimi Kwa kiasi nimefanya kazi.
USINIELEWE VIBAYA mkuu, naheshimu msaada wako
 
Perfect nimekuelewa kabisa na wewe ni mtu bora.

Kwa aina ya msaada unayohitaji, mikono yangu ni mifupi. I hope wadau wataona watakusaidia.
 
Sawa, kwenye 250 ukipata kiasi niambie nitakuongezea, ukiniona kwenye comment popote nishtue.

Ila lazima upate kiasi mi nitaongeza.
Jirani, ebu njoo hapa Pizzeria uniongezee chochote...😋
 
Back
Top Bottom