50m mtaji kwenda china au nifungue biashara Gani dar au mkoa wowote?

malembeka18

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2018
Posts
3,913
Reaction score
4,695
Habar wakuu nafanya biashara ya duka la vyakula la jumla Sasa mtaji umepungua kulingana na ushindani mkali sana na biashara haitoki kama mwanzo,nafikiria biashara either kwenda china au biashara nyingine yoyote mkoa wowote wakuu nipeni mawazo yenu nitoboe
 
Mkuu, kwa mtaji wa 50M ningekushauri usikimbilie China kabla hujajua bidhaa gani ina soko la uhakika hapa nchini. Tayari una uzoefu wa biashara, hivyo huo ni mtaji mkubwa wa kuanzia upya.

Kwanza ningefanya utafiti wa soko, kisha ningechagua biashara yenye mzunguko mzuri wa fedha na wateja wa kurudia. Unaweza kuangalia vifaa vya ujenzi, vipuri vya magari na pikipiki, au bidhaa za matumizi ya kila siku kwa jumla.

Kuhusu China, inaweza kuwa fursa nzuri ikiwa utakuwa na bidhaa maalumu, supplier anayeaminika na hesabu sahihi ya gharama zote za kuagiza. Usinunue mzigo kwa sababu tu bei ni ndogo.

Muhimu zaidi, usiweke 50M yote kwenye biashara mpya mara moja. Tenga akiba ya dharura, anza kwa kiwango kinachopimika, kisha panua baada ya kuona matokeo.

Swali langu kwako mkuu: Kwa biashara yako ya sasa, ni bidhaa gani zilizokuwa zinatoka kwa kasi kabla ushindani haujaongezeka? Hapo ndipo tunaweza kupata mwanga wa fursa yenye faida kuliko kuanza kubahatisha biashara nyingine.
 
Hivi mtu mzima na akili zako una pesa zote hizo unashindwa kujua ufanye nini? Mbona mnapenda kujikweza na masifa ya kutaka tujue mna pesa? Wewe hii sio mara ya KWANZA unatoa mada za namna hii, hua unatoa mada za namna hii mara nyingi mara milioni 100 mara milioni ngapi, naona unatafuta sifa humu, ili tujue una hela, haiwezekani mtu mzima kama kweli mtu mzima mwenye mapumbu uwe na pesa zote hizo usijue Cha kufanya , umekuja kutuinjoi tu hapa, watu hatuna hata elfu kumi, unatujia na mada eti Nina milioni 70 sijui nifanyie nini, kumanyoko, msisumbue watu bwana, tafuta consultancy uwalipe wamejaa kibao hawana kazi, wape kazi, wakutengenezee business plan, acha kusumbua watu ********...Mimi hapa sijanywa hata chai, nakuta mtu ana milioni 70 eti hajui afanye biashara Gani, shenzi
By the way SIMBA BINGWA.
Mkuu ni kama ulikuwa unasubiri pa kutolea stress tu na umepapata🤣
 
Seran Sina hata elfu kumi hapa, unafungua simu ujiliwaze unakutana na mada za ******* kama hizi..kmmke.
Pole mkuu🤣 ungejifanya hata unafanya consultation akulipe umuandalie business plan tu😁

Ukiwa na pesa unaziona fursa bila kuambiwa! Kuna bishara za spair, real estate, nafaka na nyingine kibao tu hajataka kupambania huyu anawaza china at first place..
 
China hauendi kisa una mtaji. Unaenda ukiwa na soko. Ukileta hizo bidhaa utamuuzia nani kama soko hauna?

Unaweza leta mzigo wa 35M, ukatumia nyingine kwenye ofisi, marketing, wafanyakazi, vibali na mengine ukaanza kusubiri wateja. Na hapo biashara ndio inakuwa inaanza.

Ni watu wengi wenye hela na hawajui waifanyie nini. Tatizo ni soko na uhitaji. Sio mtu ulaze hela kwenye inventory na movement ya mauzo usiione.
 
Hivi mtu mzima na akili zako una pesa zote hizo unashindwa kujua ufanye nini? Mbona mnapenda kujikweza na masifa ya kutaka tujue mna pesa? Wewe hii sio mara ya KWANZA unatoa mada za namna hii, hua unatoa mada za namna hii mara nyingi mara milioni 100 mara milioni ngapi, naona unatafuta sifa humu, ili tujue una hela, haiwezekani mtu mzima kama kweli mtu mzima mwenye mapumbu uwe na pesa zote hizo usijue Cha kufanya , umekuja kutuinjoi tu hapa, watu hatuna hata elfu kumi, unatujia na mada eti Nina milioni 70 sijui nifanyie nini, kumanyoko, msisumbue watu bwana, tafuta consultancy uwalipe wamejaa kibao hawana kazi, wape kazi, wakutengenezee business plan, acha kusumbua watu ********...Mimi hapa sijanywa hata chai, nakuta mtu ana milioni 70 eti hajui afanye biashara Gani, shenzi
By the way SIMBA BINGWA.
Wewe ni fala
 
Habar wakuu nafanya biashara ya duka la vyakula la jumla Sasa mtaji umepungua kulingana na ushindani mkali sana na biashara haitoki kama mwanzo,nafikiria biashara either kwenda china au biashara nyingine yoyote mkoa wowote wakuu nipeni mawazo yenu nitoboe
Ukienda China unakwenda kuizika hiyo pesa na baadae utafirisika na kubaki mweupe kabisa maana huna uzoefu wa masoko ya kule na bado hujui ni bidhaa gani unahitaji.
Kama hiyo biashara ya sasa imefeli kabisa tafuta biashara nyingine ya kufanana na hiyo ila usiingize pesa yote tumia robo yake tu kwa ajili ya kujifunza uzoee na kujua soko limekaaje
 
Hivi mtu mzima na akili zako una pesa zote hizo unashindwa kujua ufanye nini? Mbona mnapenda kujikweza na masifa ya kutaka tujue mna pesa? Wewe hii sio mara ya KWANZA unatoa mada za namna hii, hua unatoa mada za namna hii mara nyingi mara milioni 100 mara milioni ngapi, naona unatafuta sifa humu, ili tujue una hela, haiwezekani mtu mzima kama kweli mtu mzima mwenye mapumbu uwe na pesa zote hizo usijue Cha kufanya , umekuja kutuinjoi tu hapa, watu hatuna hata elfu kumi, unatujia na mada eti Nina milioni 70 sijui nifanyie nini, kumanyoko, msisumbue watu bwana, tafuta consultancy uwalipe wamejaa kibao hawana kazi, wape kazi, wakutengenezee business plan, acha kusumbua watu ********...Mimi hapa sijanywa hata chai, nakuta mtu ana milioni 70 eti hajui afanye biashara Gani, shenzi
By the way SIMBA BINGWA.
huyu wa fimbo huyu,...
 
Mimi nakushauri Jambo moja kwa milioni hamsini na uzoefu ulionao kwenye duka la chakula la jumla sizani kama ni wazo zuri kuanza biashara mpya Tena tofauti kabisa kwanini usifatilie na kufungua Supermarket? Unawezaje nauli ya kutoka hapa Bongo hadi China ukikata ticket ya go and return ni shilingi za kitanzania Million 3 unaweza tenga na budget ya accomodations za huko then ukafanya mikataba ya kibiashara na kampuni chache za China waambie wazo lako la kibiashara sema mtaji wako alafu uombe kuuza bidhaa zao kuhu Tanzania hasa zile zinazopendwa unaweza kuwa umepunguza mtaji wa million 50 kushuka na kuwa million 45 Ila tazama faida utakayokuwa umeipata.
 
Mkuu, kwa mtaji wa 50M ningekushauri usikimbilie China kabla hujajua bidhaa gani ina soko la uhakika hapa nchini. Tayari una uzoefu wa biashara, hivyo huo ni mtaji mkubwa wa kuanzia upya.

Kwanza ningefanya utafiti wa soko, kisha ningechagua biashara yenye mzunguko mzuri wa fedha na wateja wa kurudia. Unaweza kuangalia vifaa vya ujenzi, vipuri vya magari na pikipiki, au bidhaa za matumizi ya kila siku kwa jumla.

Kuhusu China, inaweza kuwa fursa nzuri ikiwa utakuwa na bidhaa maalumu, supplier anayeaminika na hesabu sahihi ya gharama zote za kuagiza. Usinunue mzigo kwa sababu tu bei ni ndogo.

Muhimu zaidi, usiweke 50M yote kwenye biashara mpya mara moja. Tenga akiba ya dharura, anza kwa kiwango kinachopimika, kisha panua baada ya kuona matokeo.

Swali langu kwako mkuu: Kwa biashara yako ya sasa, ni bidhaa gani zilizokuwa zinatoka kwa kasi kabla ushindani haujaongezeka? Hapo ndipo tunaweza kupata mwanga wa fursa yenye faida kuliko kuanza kubahatisha biashara nyingine.

AI
 
Pole mkuu🤣 ungejifanya hata unafanya consultation akulipe umuandalie business plan tu😁

Mimi sina hiyo ela ina nina business plan za kutosha halafu mtu ana 50m anawaza! Ukiwa na pesa unaziona fursa bila kuambiwa! Kuna bishara za spair, real estate, nafaka na nyingine kibao tu hajataka kupambania huyu anawaza china at first place..
Na nikuambie kitu ambacho kitakushangaza Nina uhakika watu wa aina hio 100% hua wanataka business plan ama huduma za consultancy Bure, hawezi kutoa hata mia mbovu, na ndio mana yupo hapa kusanifu watu na kutaka ideas Bure, Kuna chabure kwa Sasa Dunia hii? Siku hizi kukalia hata BENCHI kitaa ni jero, sembuse business idea...Yan nikupe idea Bure utusue ukiwa umekalisha mapumbu huko Mimi Sina hata Jero? Huo ujinga kwa Sasa sifanyi
 
Back
Top Bottom