Tochuku
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 5,322
- 8,412
Kuchoshana tu bwana...🚮 Yeye hapo si ana kondoo zake, kila kondoo akitoa hata buku kila siku si tayar hapo uhakika...
Mimi ujumbe wangu na nmeungwa mkono na wengi hapa, kua tuache kusanifiana, mtu mzima una manyonyo mwanamke eti Nina milioni 100 sijui nifanye biashara Gani, au janaume zima na mapumbu manene nina milioni 100 nifanye nini...aisee aisee aisee tuache huu usenge aiseee