china

  1. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Sababu ya Chama cha Kikomunisti cha China kinafanikiwa kupitia kikao kimoja

    Hivi karibuni, wajumbe kutoka vyama vya siasa vya vya nchi mbalimbali walifanya ziara hapa Beijing, ambapo walitembelea majumba ya makumbusho ya historia ya Chama cha Kikomunisti cha China. Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Nepal, Madhav Kumar Nepal, amesema falsafa ya rais wa China Xi Jinping kuhusu...
  2. N

    JamiiForums Tanzania UN VETO ABSTENTION: Kwanini Russia na China walimtenga Gaddafi?? Hawakuwa na maslahi naye (Super Powers Politics??

    NB: Nina Akili Ndogo Sana. Swali langu mimi ni hilo tu. Zingatia sana jina langu.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Tunakurahisishia kufanya malipo kwa Supplier wako China

    Usihangaike na malipo ya supplier wako nchini China! Tupo kukurahisishia kufanya malipo kwa urahisi, haraka na kwa utaratibu unaoeleweka. Malipo ya supplier China kwa urahisi Huduma ya kuaminika na yenye weledi Mawasiliano ya wazi katika kila hatua Tunakusaidia kufanya biashara bila usumbufu...
  4. Think2

    JamiiForums Tanzania China kuanzisha sheria mpya ya taraka

    China inampango wa kuanzisha sheria mpya ya talaka ambayo hakutakuwa na mgawanyo wa mali kwa 50/50 bali kila mtu atachukua alichokitafuta mwenyewe. In africa girls bring their nyashi and wants to get mansion,car wachina wako mbele ya muda
  5. Whackiest

    JamiiForums Tanzania China scholarship

    Wakuu kwema kwa tunaohitaji kwenda kula shule nje karibuni tujiunge huku kiunganishi hili hapa Scholarship china
  6. Fascinating

    JamiiForums Tanzania China sasa ndiyo mbabe mpya wa mafuta duniani

    Sahau kuhusu OPEC; Chama cha Kikomunisti cha China (CCP) ndicho kinapanga Sera za Mafuta. Tanzania tumeanza kuiga lakini vikwazo ni vingi. VITA ya Iran imesababisha mtikisiko mkubwa zaidi wa upatikanaji wa nishati ya mafuta katika historia. Hata hivyo, hata wakati mapigano yalipokuwa makali...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Daktari wa China amsaidia mwanafunzi wa Zanzibar, kupona na kurejea shuleni

    Ashfaina Omari Ali, mwenye umri wa miaka tisa na nusu, aliingia katika Shule ya Msingi Sebleni kwenye kisiwa cha Unguja, Zanzibar, akiwa anajiamini upya. Kwa Ashfaina, kurejea shuleni ilikuwa zaidi ya kuanza kwa siku nyingine ya masomo. Ilikuwa ishara kwamba maisha yalikuwa yakirejea katika...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Kenya wakumbatia Sikukuu ya Mwezi ya China huku uhusiano wa kitamaduni ukikua

    Akiitwa jukwaani katika asubuhi ya baridi, John Mark, kijana mwenye umri wa miaka 19 anayesoma lugha ya Kichina kama somo la ziada, aliwavutia sana waliohudhuria kwenye Sikukuu ya Mwezi iliyoandaliwa na Taasisi ya Confucius katika Chuo Kikuu cha Kenyatta. Uwezo wake mkubwa wa kutawala jukwaa...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Miradi ya miundombinu ya China yachochea maendeleo ya kiuchumi magharibi mwa Kenya

    Katika vilima virefu na vya kijani vya Kaunti ya Kisii magharibi mwa Kenya, barabara mpya zinabadilisha maisha na kuchochea biashara ya eneo hilo. Malori yaliyojaa ndizi, maparachichi, miwa, na mawe ya kuchongwa sasa huondoka alfajiri, na kuwaingizia mapato ya haraka kulima wa eneo hilo. Kabla...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Miradi ya miundombinu ya China yachochea maendeleo ya kiuchumi magharibi mwa Kenya

    Katika vilima virefu na vya kijani vya Kaunti ya Kisii magharibi mwa Kenya, barabara mpya zinabadilisha maisha na kuchochea biashara ya eneo hilo. Malori yaliyojaa ndizi, maparachichi, miwa, na mawe ya kuchongwa sasa huondoka alfajiri, na kuwaingizia mapato ya haraka kulima wa eneo hilo. Kabla...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Ujuzi wa ufugaji nyuki kutoka China wafungua fursa mpya kwa wanawake wa Kenya

    Grace Cheserem, mwenyekiti wa kikundi cha wanawake cha Lelkolo katika Kaunti ya Baringo nchini Kenya, bado anakumbuka mavuno yake ya kwanza ya asali mwaka 2022. Katika jamii za eneo hilo, kwa muda mrefu ufugaji nyuki ulionekana kuwa ni kazi ya wanaume, mizinga ya asili iliwekwa juu kabisa kwenye...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa kilimo wa Rwanda wapata maarifa mapya kutoka mradi wa mafunzo wa China

    Ndani ya chumba cha mafunzo katika mji mkuu wa Rwanda, Kigali, mjadala kuhusu chakula, kilimo na teknolojia unaendelea wakati washiriki wakisikiliza, kuuliza maswali, na kubadilishana uzoefu na wataalamu wa China. Kwa wataalamu wa Rwanda wanaohudhuria kozi hiyo ya Teknolojia ya Uchakataji na...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Barabara zilizojengwa na China magharibi mwa Kenya zaleta mageuzi kwenye eneo hilo la kilimo

    Kwa miongo kadhaa, maisha katika Kaunti ya Uasin Gishu, kitovu cha kilimo magharibi mwa Kenya, yalitambuliwa kwa maziwa na mahindi, na wakati mashamba yake yakilisha taifa la Kenya, wakulima wa huko walikabiliwa na changamoto ya kila mara ya kusubiri malipo ya kupakia mahindi, na hii ilitokana...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Viwanda vilivyowekezwa na China vyaongeza ujuzi na uzalishaji barani Afrika

    Wakati Nuhu Peter Changawa alipojiunga na Twyford Tanzania mwaka 2017, alikuwa ni mtaalamu wa ghala mwenye ujuzi mdogo wa usimamizi wa maghala ya kisasa. Hii leo, anasimamia operesheni za ghala katika kiwanda cha kusindika glasi, akipanda cheo kutoka mtaalamu hadi msimamizi na meneja wa ghala...
  15. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Malipo ya moja kwa moja kwa RMB kurahisisha Biashara kati ya China na Afrika

    Tangu mwezi Mei mwaka huu, China imetekeleza sera ya ushuru sifuri kwa nchi 53 za Afrika ambazo zina uhusiano wa kibalozi nayo, na kuondoa kabisa kizuizi cha ushuru kwa bidhaa za Afrika zinazoingia katika soko la China. Matokeo ya sera hii yalionekana mara moja. Katika miezi ya Mei na Juni...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Moyo wa Safari Ndefu haumo China pekee, pia unatoa hamasa kwa nchi za Afrika kujiendeleza kwa uhuru

    Mwaka 2026 ni mwaka wa 105 wa kuzaliwa kwa Chama cha Kikomunisti cha China CPC, na pia mwaka wa 90 wa ushindi wa Safari Ndefu “Long March”. Safari hii ngumu iliweka msingi wa ushindi wa mapinduzi ya China, na kuacha hazina ya moyo unaovuka mipaka ya nchi. Tovuti ya Capital FM ya Kenya hivi...
  17. Yesha

    JamiiForums Tanzania Zimbabwe Targets Debt Arrears Clearance by March 2027

    Zimbabwe hopes to clear its arrears with international lenders by March next year, Finance Minister Mthuli Ncube says.The country owes US$21.7bn, including US$11.7bn to foreign creditors. Arrears and penalties account for US$8.3bn.Government is seeking bridge financing. This is a temporary loan...
  18. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Siku za mapumziko ya Siku ya Taifa zaonesha uhai wa China

    Siku za mapumziko za Siku ya Taifa la China inajulikana kama “Wiki ya Dhahabu” nchini China. Wiki hiyo iliyomalizika hivi karibuni ilikuwa tena fursa muhimu kwa dunia kuielewa China. Vyombo vya habari vya kimataifa ikiwemo Reuters, Yahoo Finance, na Forbes vimefuatilia ongezeko kubwa la matumizi...
  19. M

    JamiiForums Tanzania 50m mtaji kwenda china au nifungue biashara Gani dar au mkoa wowote?

    Habar wakuu nafanya biashara ya duka la vyakula la jumla Sasa mtaji umepungua kulingana na ushindani mkali sana na biashara haitoki kama mwanzo,nafikiria biashara either kwenda china au biashara nyingine yoyote mkoa wowote wakuu nipeni mawazo yenu nitoboe
  20. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Uvumbuzi wa China waleta fursa duniani

    Hivi karibuni, chapa za China katika sekta ya vifaa vya kielektroniki zimeendelea kuvutia duniani kote. Kutoka roboti zenye umbo la binadamu zinazoanza kutumika katika maisha ya kawaida, na mifumo ya akili bandia nyumbani, hadi uzinduzi wa kimataifa wa simu za mkononi zinazoweza kukunjwa kutoka...
Back
Top Bottom