Kengele ilipolia katika Skuli ya Sekondari ya Simai iliyopo Pemba visiwani Zanzibar, wanafunzi darasani walichangamka wakiwa na hamu kubwa. Wataalamu wa China kutoka timu ya mradi wa kuzuia kichocho walikuwa wamefika kutoa mafunzo maalumu ya afya kuhusu kuzuia kichocho, ugonjwa unaodhoofisha wa...
Akiwa na umri wa miaka 70, Tuma Saidi Hamadi kutoka kisiwa cha Pemba, Zanzibar alikuwa katika hatihati ya kupata upofu, lakini maisha yake yalibadilika ghafla baada ya kikundi cha 34 cha timu ya madaktari wa China kumfanyia upasuaji wa mtoto wa jicho na kurejesha uwezo wake wa kuona.
Safari ya...
Machozi ya furaha yalitiririka mashavuni bila kujizuia baada ya Husna Shabaan Kingwande alipofahamu kwamba upasuaji wa moyo wa mtoto wake Ikram mwenye umri wa miaka mitatu ulifanyika kwa mafanikio.
Upasuaji huo uliofanyika katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) iliyojengwa na Wachina...
Inaitwa China International Development Cooperation Agency (CIDCA). Imegawa msaada wa chakula kwa Zimbabwe, tusiwachukulie poa Wachina, kumbe wanalisha Africa pia tofauti na kuwa soko la lao la bidhaa na sehemu ya kuvuna rasilimali!
Ilitegemewa kutokana na urafiki mkubwa na ujirani uliopo kati ya China na Russia basi raia Wachina wangejaa kwa wingi zaidi Russia kuliko sehemu nyingine ila hali ni tofauti kabisa.
Kuna raia takribani milioni tano na nusu wa China nchini Marekani wanoishi na kufanya kazi huko wakati kuna raia...
"Moja ya mikutano ya kwanza ninayotaka kufanya ni pamoja na Rais Xi wa China, Rais Putin wa Urusi, na ninataka kusema, tupunguze nusu ya bajeti zetu ya kijeshi na nadhani tutaweza kufanya hivyo."
– Trump
Huu ndio utamu wa kwenda naye kibabe Marekani. Marekani ni superpower kwa mataifa dhaifu...
Kikao hicho kinatazamiwa kufanyika jumatatu ya wiki ijayo.
Xi to chair symposium attended by Jack Ma and other Chinese business leaders, sources say
By Reuters
February 14, 202512:25 PM GMT+3Updated a day ago
Summary
Companies
Symposium is likely to be held on Monday, sources say
Attendance by...
Huyu tajiri Elon na tajiri mwenzake Trump waliovamia siasa na kuziendesha vile watakavyo wao sioni kama watakuwa na mwisho bora.
Kwa siasa za China Trump asingefika hata hapa alipofika tena huyu chawa wake Elon muda huu nina uhahika angekuwa Jack Ma wakimarekani.
Nakumbuka Jack Ma naye alianza...
Huyu kanali wa US anatoa siri kuwa US kupitia CIA waliwatumia wa Uyghurs katika jimbo la Xinjiang ili kuiharibu China kwa ndani utokee mvurugano ili waweze kuidhibiti China.
Pia anasema wanatumia military power kuharibu mpango wa China wa B.R.I pia kagusia suala la US kupeleka majeshi...
India ina mgogoro wa mpaka na China. Sasa ilikuwa imeeweka oda ya drone 400 kwenye makampuni yake ya ndani kwa ajili ya usafirishaji wa vifaa kwa majeshi yaliyo mpakani. Sasa imekuja kugundua hizo drone zina vifaa kutoka China.
Inadaiwa uchunguzi wao ulianza hapo awali baada ya drone zao za...
Pato la China la mtu mmoja mmoja ni USD 12,614 kwa mwaka.
Hiyo ni sawa na Tsh 32,333,075 kwa mwaka. Pato la mchina kwa mwezi ni Tsh 2,694,422.
Tunaweza kusema pato la asilimia kubwa la wachina kwa mtu mmoja mmoja ni Millioni 2.69 ambapo kila siku pato lake ni Tsh 89,814.
Ukipiga hesabu za...
Wanaukumbi.
Hong Kong
CNN
—
Beijing announced a broad package of economic measures targeting the United States on Tuesday, hitting back after US President Donald Trump imposed 10% tariffs on Chinese imports.
The fresh duties, announced by China’s Ministry of Finance, levy a 15% tax on certain...
Takwimu zilizotolewa na Mamlaka ya Filamu ya China zinaonesha kuwa hadi kufikia Februari 3, mauzo ya tiketi za filamu katika kipindi cha sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China wa 2025 yamefikia yuan bilioni 8.02 na kuweka rekodi mpya ya kihistoria.
Kwa mujibu wa takwimu hizo, filamu ya katuni...
Katibu Mkuu wa Jumuiya wa Watanzania Waishio Nchini China, Alawi Abdallah, ameeleza azimio la jumuiya hiyo kumuunga mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu.
Soma Pia: Wajumbe Mkutano Mkuu CCM wapitisha Rais Samia, Dkt. Mwinyi kugombea Urais 2025
Alawi ameeleza kutoa tamko...
Marekani iliwafungia China katika kila kona ili kuibana na kuzuia kwa hofu ya kupitwa … kiuchumi, siasa hata Teknolojia lakini hadi sasa marekani haiamini kilicho tokea China Imegeuza meza …!
…….kivipi ?
Pause …. Naitwa Mkisi mtaalamu wa teknolojia na vifaa vya kidigitali. Tupo Kariakoo...
Mange yupo sawa kwa hili
https://youtu.be/wMER57zVsfg?si=ZIhQ0ZUpmoGYodnJ
Miradi ya treni yote na barabara badala ya kutoa kwa kampuni za Tanzania badala yake wanatoa kwa China
Uongozi wa Kampuni ya China Tanzania Security umetoa ufafanuzi kuhusu madai ya Mwanachana wa JamiiForums.com aliyeandika kuwa wafanyakazi wa ofisi hiyo ambao ni Walinzi wanaosimamia Vituo kadhaa vya Usafiri wa Mabasi ya Mwendokasi hawajalipwa mishahara kwa muda wa miezi mitatu na kuwa wakidai...
Trump amekuwa akituonea sana Waafrika akidhani hatuwezi kumpangia masharti, tunauwezo wa kumnyima malighafi tuamue kuwapa Japan, China au Germany
Trump amekuwa akituchukulia Waafrika kama wajinga flani hivi akidhani sisi ni dhaifu sana anaweza kutunyanyasa anavyotaka yeye na tusiweze kufurukuta...
Guys me sielewi kabisa hii statement
Wale wajuzi wa mambo ya uchumi mjeni hapa kwenye comment
Wekeni nondo hizo na sisi ambao hatujui tuzijue
Tusije tukawa tunalishwa matango pori. Kwa china nayoona ile sehem kama Shanghai Beijing 🔥 lakini kuna watu wanasema ni DEVELOPING duh ni atare
Ok...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.