china

  1. GoldDhahabu

    Kama China na Dubai zingesimamisha uzalishaji, ni wapi pangekuwa kimbilio la wafanyabiashara wa Tanzania?

    Nalenga kupanua wigo wa kufikiri! Ni wapi bidhaa za bei rahisi zinapatikana tofauti na China & Dubai? Vipi Thailand? Nasikia Pakistan nako kuna bidhaa bora na za bei rahisi hata kuzidi Dubai na China! Kuna mwenye uzoefu wa hizo nchi? 🙏🙏🙏
  2. GoldDhahabu

    Dubai, China, Uturuki, au South Africa?

    Kama unataka kufanya ziara ya kuangalia fursa za kibiashara, hasa kuangalia bidhaa za kuzileta nchini, ni nchi ipi inaweza ikawa sahihi zaidi kuitembelea? Muda wa ziara ni wiki mbili! Nchi ipi kati ya hizi? DUBAI, CHINA, UTURUKI, au SOUTH AFRICA? Kwa nini?
  3. KING MIDAS

    Mambo ya kizingatia kama unataka kwenda China kwa safari ya kibiashara

    BIASHARA CHINA INATENGEZA MATAJIRI WENGI, Tena vijana na wewe unaweza kuwa mmoja wao. . lakini pia unaweza kupoteza mtaji wako wote ikiwa kuna mambo hutoyafaham mapema. . Sasa kabla hujaenda china, hakikisha unayajua haya mapema ili safari yako iwe ya mafanikio makubwa. 1. Pata passport yako...
  4. Waufukweni

    Mlipuko mpya wa Virusi (HMPV) wazuka China, miaka 5 baada ya janga la COVID-19, Hospitali na sehemu za kuchomea maiti zazidiwa

    China inakabiliana na mlipuko mpya wa virusi vya human metapneumovirus (HMPV), vinavyoenea kwa kasi katika majimbo ya kaskazini, hasa kwa watoto wenye umri chini ya miaka 14, ikiwa ni miaka mitano baada ya janga la Covid-19. Ripoti na machapisho kwenye mitandao ya kijamii yanadokeza kuwa virusi...
  5. L

    China yaendelea kuchochea kuimarika kwa biashara ndani ya kundi la nchi za Kusini

    Wakati changamoto za uchumi duniani zikiendelea kuonekana, na wanasiasa wa mrengo wa kulia katika nchi za magharibi wakiendelea na hata kutamka maneno mbalimbali yenye viashiria vya kutatiza biashara huria duniani, takwimu zilizotolewa na Jarida la Guancha la China, zinaonesha kuwa biashara...
  6. L

    China na Marekani zinatakiwa kushirikiana ili kutafiti mwelekeo sahihi kwa nchi mbili kubwa zenye nguvu duniani

    Wakati tupo katika mwanzo wa mwaka mpya 2025, kuna haja muhimu ya kutazama uhusiano kati ya China na Marekani, ambao ni moja kati ya uhusiano muhimu sana wa pande mbili duniani kwa sasa. Kwa ujumla, mwaka jana uhusiano huo umeendelea kuwa wa utulivu. Nchi hizi mbili zimefuata mwongozo wa...
  7. L

    Uhusiano thabiti kati ya Tanzania na China wafungua milango ya ushirikiano wa kina

    Mwaka 2024 ni mwaka ambao umeshuhudia mafanikio makubwa kwenye ushirikiano na maendeleo baina ya China na Afrika, hasa China na Tanzania. Mafanikio haya yanatokana na mambo ya msingi yaliyowekwa na viongozi waasisi na kuendelezwa na viongozi wa sasa pamoja na sera nzuri ya mambo ya nje ya China...
  8. Mi mi

    China inapanga kujenga bwawa la umeme kubwa zaidi

    Serikali ya China inapanga kujenga bwawa la umeme lengine kubwa zaidi duniani mara tatu la sasa Three gorges dam lenye uwezo wa kuzalisha Megawatts 22,500 MW lilipo Yangtze River, Hubei province. Three Gorges Dam Bwawa hilo jipya litakalo jengwa Yarlung Tsangpo river ndani ya Tibet litakuwa na...
  9. Dede 01

    WIZARA YA FEDHA YA MAREKANI YADAI YA KUWA ILIDUKULIWA NA CHINA.

    Habari wakuu! Mwanzoni wa mwezi wa Desemba waziri wa fedha wa Marekani alituma barua bungeni kuarifu ya kuwa wizara yake imedukuliwa yaani (hacked) na mdukuzi anayefadhiliwa na serikali ta China. Inaripotiwa ya kuwa mdukuzi huyo aliweza kupitia nyaraka ambazo hazikuizinishwa na vituo vya kazi...
  10. X

    China yavunja rekodi tena yazindua treni ya umeme yenye kasi kubwa zaidi Duniani

    Kwa mara nyingine tena China imeonyesha ina high tech kwenye high speed train kwa kuzindua treni yenye kasi ya 450km/hr mnamo Desemba 29 Kwa sasa inashikilia rekodi ya kasi kubwa zaidi duniani. Treni hilo limepewa jina la CR 450 limezinduliwa jijini Beijing Litakuwa na safari kati ya Beijing...
  11. Mhaya

    Tanzania inazidi kudidimia katika soko la Viwanda vya Uzalishaji, China, Ulaya & Marekani wakigombea umwinyi wa Afrika

    Zamani tulishuhudia Afrika ikiwa kwenye Makwapa ya mataifa ya Ulaya na Amerika Leo China imeongeza kwapa lake . Tanzania na Afrika imejisalimisha Rasmi na imekubali nguvu zake za uchumi ikabidhi kwa Wachina, YeboYebo na makobazi yanayouzwa kama njugu barabarani hayatengenezwi Dar es Salaam...
  12. X

    China imeufunga huu mwaka kwa kishindo kikubwa imekuwa nightmare kwa watengeneza silaha wa Marekani na dalali wao Pentagon

    Mwisho wa mwaka huu haujawa mzuri kwa Pentagon na defense contractors wake, kwa ujumla unaweza kuwaita U.S MIC (U.S Military Industrial Complex) Mapema mwezi Novemba kwenye Zhuhai Air show China walionyesha toleo jipya na la pili la 5th generation fighter jet J-35 ambayo imekuja kuichallange...
  13. L

    Awamu nyingine ya urais wa Trump itakuwa na matokeo gani kwa ushirikiano kati ya China na Afrika?

    Mara ya kwanza wakati Donald Trump alipogombea urais wa Marekani dhidi ya Hilary Clinton, wanadiplomasia wengi na wataalam wengi wa mambo ya uchumi, waliweka karata yao kwa Hilary Clinton, wakiamini kuwa Hilary alikuwa na uelewa wa kina kuhusu Afrika, na kama Trump angeshinda basi Afrika...
  14. L

    Uwekezaji wa moja kwa moja wa China barani Afrika umekuwa na mchango mkubwa kwa maendeleo barani Afrika

    Uwekezaji wa moja kwa moja kutoka China barani Afrika, umekuwa ni sehemu ya mtindo mpya ya ushirikiano wa kiuchumi kati ya China na nchi za Afrika, ambao tangu mwaka 2000 umekuwa ukiongezeka kwa kiwango cha zaidi ya asilimia 25 kwa mwaka, na kupungua kiasi kutokana na changamoto za janga la...
  15. X

    Nissan na Honda kuungana kufuatia ushindani mkubwa kutoka China katika utengenezaji wa magari

    Kampuni namba 2 na namba 3 kwa utengenezaji wa magari nchini Japan baada ya Toyota, Honda na Nissan zinafikiria kuunganisha mitaji yao ili kuziunganisha na kuwa kampuni moja. Lengo ni kuwasaidia kushindana dhidi ya watengenezaji wa magari ya umeme (EV), hasa nchini China. Huu utakuwa...
  16. L

    Tanzania yajipanga kuvutia zaidi uwekezaji kutoka China

    Kwa muda wa miongo miwili sasa China imeendelea kuwa mmoja wa wawekezaji wakubwa nchini Tanzania, na takwimu za hivi karibuni zinaonesha kuwa mwaka 2023 peke yake uwekezaji wa moja kwa moja (FDI) kutoka China kwenda Tanzania ulifikia dola za Marekani milioni 60.15, ambao uliongezeka kutoka...
  17. MAKA Jr

    NJIA PEKEE YA KUJITENGA (AU KUWA SAWA) NA WANYONYAJI KUTOKA ULAYA NA MAREKANI NI KUFUATA NYAYO ZA CHINA NA URUSI

    Baada ya Shirika la ndege la Tanzania (ATCL) kupigwa marufuku kukanyaga anga la Ulaya, mimi binafsi nimefurahishwa na hoja nzuri za kizalendo zilizotolewa na Watanzania wengi. Wengi wao wanalaani na kulaumu njia za kinyonyaji za Umoja wa Ulaya (EU) pamoja n washirika wake. LAKINI mimi naona...
  18. MAKA Jr

    Njia pekee ya kujitenga (au kuwa sawa) na Wanyonyaji kutoka Ulaya na Marekani ni kufuata nyayo za China au Urusi

    Baada ya Shirika la ndege la Tanzania (ATCL) kupigwa marufuku kukanyaga anga la Ulaya, mimi binafsi nimefurahishwa na hoja nzuri za kizalendo zilizotolewa na Watanzania wengi. Wengi wao wanalaani na kulaumu njia za kinyonyaji za Umoja wa Ulaya (EU) pamoja n washirika wake. LAKINI mimi naona...
  19. Mi mi

    Wapiganaji wa Kiuyghur waliopo Syria waapa kuja kuishambulia China katika hatua inayo fuata

    Jump to content UK News Website of the Year 2024 Log in See all News Uyghur fighters in Syria vow to come for China next The Turkistan Islamic Party says its main mission to ‘liberate the Muslims of East Turkistan from the Chinese occupation’ 226 The Turkistan Islamic Party propaganda The...
  20. Mad Max

    Tesla Cybertruck imeonekana katika kiwanda cha magari cha BYD China. Wachina wanataka kufanya reverse engineering nini?

    Kuna maneno mengi yanasemwa kwamba Cybertruck kutoka Tesla imefeli sokoni, lakini wote tunaona ndio best selling EV truck hadi sasa. Na pia hii EV haiuzwi officially China, lakini week iliopita imeonekekana kiwanda cha Magari cha BYD. Ilianza kwa kupark nje ya parking ya kiwanda na kua...
Back
Top Bottom