Technology ya ndege ni ngumu Sana. Mataifa mengi duniani Yameshindwa kuunda ndege.
Mataifa kama Japan, Korea, Russia, UK tulitegemea wangekuwa wanatengeneza ndege lakini wapi
Cha ajabu Brazil wanatengeneza ndege za embrear. Hii ikoje. Kwanini Wamefanikiwa kuunda ndege zao from the scratch
Habari wadau.
Binafsi nimeshangaa sana leo hii watu walovyomjia juuu Niffer kuchangisha pesa.
Miaka yote niffer anachangisha pesa na hakuna kesi ya kuvunja sheria yoyote kwake.
Niffer toka nimeanza kumsikia ni anafanya biashara inayohusisha kuchangisha watu pesa.
Biashara yake kuu...
Kwanini China nchi yenye udikteta wa chama kimoja ina maendeleo makubwa kwenye nyanza mbalimbali kuliko nchi za kidemokrasia za vyama vingi kama Kenya na Zambia?
Biashara inayokua kati ya nchi za Afrika na China katika miaka 15 iliyopita imetumika kama kichocheo cha ajira na kuinua kiwango cha maisha katika bara la Afrika.
Katika mahojiano na Shirika la Habari la China Xinhua, Profesa Xn iraki wa Chuo Kikuu cha Nairobi nchini Kenya amesisitiza nafasi...
Kwenye maonyesho ya Kimataifa ya Aviation & Aerospace huko China, almaarufu Zhuai Air Show jamaa wamefanya yao.
Wametuletea fighter wanaiita Baidi kwa lugha nyepesi “White Emperor” ambayo inaaminiwa kua ni 6th gen yao ya kwanza katika ulimwengu wa Fighters.
Chuma ina uwezo wa kwenda...
Habari Wanajamii,
Natafuta kampuni nzuri nataka kusafirisha kiparcel changu kije Tanzania nataka kampuni iliyonyooka isiyo na longolongo, maana Kuna kampuni mbili nlikwishatumia zilinilet down vibaya mno.
Ambaye ashasafirishiwa na ana experience nzuri pls recommend
Asante
"Kusema ukweli, ni kwamba watu ambao hawaendi China mara nyingi hufikiria kuwa wako nyuma, lakini unapoenda huko unavutiwa na wanachofanya katika teknolojia."
–Brad Smith (Raisi wa Microsoft)
Nchi za Magharibi hazipaswi kudhani kuwa China iko nyuma ya Marekani na Ulaya kwenye maendeleo ya...
Hebu tuchambue vipi "MADE IN CHINA" imeleta taharuki na dhana potofu hadi watu wanahangaika bila sababu na kupoteza pesa Nyingi. 🤔
1. Mfano mzuri ni ving’amuzi vya Azam TV! Ving’amuzi vya Azam vina lebo ya “Made in China,” lakini ukifika China hutavikuta madukani hata ukahangaika vipi, na...
Wakenya watalazimika kulipa zaidi ya KSh 1.7 Bilioni kama faini kwa kuchelewesha kulipa mkopo wa reli ya SGR kutoka kwa Benki ya Exim ya China katika mwaka wa fedha wa 2023/24.
Hii ni kutokana na mkopo wa KSh 167.5 Bilioni ambao Shirika la Kenya Railways limeshindwa kulipa, ukichukua asilimia...
Hawa Wajerumani sijui wamepaniki na speed ya Mchina kwenye EV?
Ili week Audi wamezundua brand specifically kwa EV uko China inaitwa AUDI, kwa herufi kubwa na bila zile rings za siku zote.
Brand hii ni muungano wa Wajerumani Audi na Mchina SAIC, na kuanza wameanza na kutoa gari lao la AUDI E...
Kuna watu nikiwemo na mimi wameagiza mizigo yao toka July hadi sasa hivi November hawajapokea na matumaini kama watapokea au imepotea haijulikani, huduma kwa wateja hawapokei simu au majibu wanayotoa ni ya uongo.
Kabla hatujatapeliwa wengi bora tutoe tahadhari na kama wamo humu waje watoe...
GEOGRAPHICALLY
North Korea atamvamia South Korea ili kutengeneza Korea ya Mamlaka yao
China itazichukua Taiwan na Hong Kong kwa asilimia 100.
Russia atamchukua Ukraine, Georgia na vinchi vidogo vidogo vya ulaya vile ambavyo vilikuwa chini ya USSR.
Iran atamtoa muisrael huku akitengeneza nchi...
Maonesho ya biashara ya Utalii (COTTM) yamemalizika hivi karibuni mjini Beijing, China.
Maonesho haya yaliyofunguliwa tarehe 16 na kuendelea hadi tarehe 18 mwezi wa 10, yalitoa jukwaa muhimu la kufanya biashara ya utalii nje ya China kwa kutoa fursa za uwezekezaji na soko la watalii wa China...
Usipoteze mtaji wako, ukuze kwanza, Milioni 10 Haitoshi kabisa kuja China na kutengeneza faida kwenye biashara yako.
Hapa ni makadirio ya gharama kama unakuja china.
Ata uwe na connection Passport na Visa ni zaidi ya laki tatu... ( 300,000)
Nauli ya ndege kuja na kurudi 2.5 _3M ( kutegemea na...
Ni kutoka China tena.
Kampuni ya magari kutoka China ya Roewe wamevunja record ya Dunia kwa kutembeza gari lao la D7 zaidi ya Kilometa 2,200 bila kujaza mafuta wala kuchaji.
Ni Plug-in Hybrid inayokuja na engine ya 1.5 L petrol inayotoa 110 hp na electrical motor inayotoa 200hp, na ikiwa na...
Habari zenu,
Chinese Government Scholarships zimefunguliwa kwa sasa.
Ni full funded kwa undergraduate, masters na PhD
Ukitaka hatua zote za application zipo kwa website Yao, nenda google alafu search csc scholarships, utakuta maelezo yote pale.
Kama utakwama sehemu wakati wa application...
Israel is now China's second-largest foreign supplier of arms after Russia with China having purchased a wide array of military equipment and technology, including communications satellites China is a vital market for Israel's aerospace and defense industry.
Wavaa kobazi kabla ya kujiuliza...
Maonyesho ya 7 ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa ya China (CIIE) yatafanyika hivi karibuni mjini Shanghai. Ili kutekeleza kihalisi hatua za ushirikiano zilizofikiwa kwenye Mkutano wa Kilele wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) wa mwaka 2024, eneo maalum la kuonesha bidhaa za...
Miaka michache iliyopita ilikuwa huwezi kuzungumzia vita kati ya Uchina na Marekani lakini hivi sasa tayari hilo halipo na kinachozungumzwa ni vita kati ya mataifa mawili makubwa zaidi duniani kiuchumi na kijeshi kwa maana ya Marekani na China.
Mapema mwezi huu (Oktoba) wanajeshi 864 wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.