china

  1. Jackson News

    Wazee wa kubring bring kuna hii bidhaa check kutoka china

    🌟 Timeless Elegance Meets Affordability: PT950 Platinum Ring 💍 HomeJewelry 🌟 Timeless Elegance Meets Affordability: PT950 Platinum Ring 💍 The on Original PT950 Platinum Ring AliExpress combines luxury, quality, and affordability, making it a must-have for any jewelry enthusiast. At just 💵...
  2. Minjingu Jingu

    Urusi yaingia Mgogoro/ vita ya Kibiashara na China

    Katika hali ambayo inaonesha kuwa ni kudhibiti bidhaa za China nchini Russia. Serikali ya Putin imeongeza kodi ya bidhaa za China ili kulinda bidhaa zake. Jambo ambalo limeshtua kidogo watu wengine kutokana na ukaribu ambao mataifa haya yamekuwa yakijaribu kujenga dhidi ya NATO. PATA HABARI...
  3. Jackson News

    INAUZWA Nunua Bidhaa online kutoka china aliexpress TZ

    Top On Sale Product Recommendations! New Summer Girls Sandals Breathable Children Shoe Outdoor Non Slip Open Toe Beach Sandals Price Now: TZS 37842.17 (Original price: TZS 105113.66, 64% off) 🔗Click & Buy: Here on Aliexpress Tanzania From China #Aliexpress #Amazon #Christmas #shopping...
  4. L

    Jengo jipya la Bunge la Cameroon ni alama ya ushuhuda wa urafiki wa kunufaishana kati ya China na Cameroon

    Hivi karibuni, China imekabidhi funguo za jengo jipya la Bunge la Cameroon kwa Spika wa Bunge hilo, Cavaye Yeguie Djibril katika hafla iliyohudhuriwa na maofisa wa serikali, wanadiplomasia, na wageni wengine waalikwa. Spika Cavaye amesema, jengo hilo ni kubwa zaidi, zuri zaidi na lenye kuvutia...
  5. Sir John Roberts

    China yaweka vikwazo kwa makampuni 13 ya kijeshi ya Marekani kwa kuiuzia silaha Taiwan

    Makampuni 13 ya Marekani yanayo jihusisha na uuzaji wa silaha yamekumbana na rungu la China kwa kuiuzia silaha Taiwan. == China imewekea vikwazo kwa kampuni zaidi ya kumi na tatu (13) za ulinzi za Marekani pamoja na maafisa wa sekta ya ulinzi wa Marekani Alhamisi hii (Disemba 5), ikiwa ni...
  6. winnerian

    Sisi Tanzania na mataifa mengi ya Afrika tunakabiliwa na hatari ya kuwa watumwa wa kiuchumi na kidiplomasia kwa China miaka siyo mingi

    Fikiria hili: unapomtegemea mtu kwa kila jambo bila kufanya juhudi za kujitegemea, ipo siku utakuta umegeuka mtumwa wake. Hali hii inadhihirika wazi kupitia uhusiano wetu na China, ambapo nchi yetu na nyingine nyingi za Afrika zimewekwa katika hali ya utegemezi mkubwa. Sekta zetu muhimu kama...
  7. S

    China wamjibu Trump kwa vitendo yapiga marufuku usafirishaji wa gallium, germanium kwenda Marekani

    China imezuia uuzaji wa madini muhimu ya gallium, germanium na antimony kwenda Marekani. Madini hayo yanatumika katika utengenezaji wa vifaa vya kielekroniki pamoja na silaha. Katika taarifa yake kuhusu zuio hilo,wizara ya biashara ya China imesema China imeamua kufanya hivyo kwa sababu za...
  8. L

    Mamlaka za China zaweka mazingira maalum kwa ajili ya maisha ajili ya wazee

    Takwimu za mwaka 2022 kutoka Wizara ya Mambo ya Kiraia ya China zinaonesha kuwa idadi ya wazee nchini China, yaani watu wenye umri wa miaka 60 na zaidi, imefika zaidi ya milioni 208.04, ikiwa ni karibu asilimia 20 ya wachina wote. Kutokana na maendeleo ya kiuchumi, kisayansi na teknolojia, umri...
  9. Melubo Letema

    Mwanariadha Magdalena Shauri Ashinda medali ya Dhahabu Shenzhen Marathon, China

    Mwanariadha wa kimaraifa Magdalena Crispin Shauri ameshinda medali ya DHAHABU 🥇 kwenye mbio za Shenzhen Marathon 2024 kwa muda wa saa mbili, dakika ishirini na tisa na sekunde thelathini (2:29:30) huko China leo 01/12/2024. Magdalena ni mwanariadha kutoka jeshi la JWTZ na ni wiki moja tu...
  10. Crocodiletooth

    Kwa nchi ambazo zilishakuwa na uhusiano wa kidugu na China, Korea na Russia, Democracy ya kweli haiwezi kuwepo

    Huo ndiyo ukweli wenyewe, hatuwezi kupractice demokrasia ya kutelewa kwa kulazimishwa, hata siku moja, Tukumbuke demokrasia hii ililetwa kwa bakora hapa barani kwetu Africa, bakora iliyotumika kwa wakati huo ni usipokubali kuipokea basi hutapata misaada popote katika nchi za kibeberu, mnyonge...
  11. Yoyo Zhou

    Kutoka kwa kufuta “orodha hasi” hadi “ushuru sifuri”, China yafungua mlango zaidi kwa dunia nzima

    Kuanzia tarehe mosi Desemba, China itasamehe ushuru wa forodha kwa bidhaa zote za nchi zilizoko nyuma kimaendeleo zaidi duniani ambazo zimeanzisha uhusiano wa kibalozi na China. Hapo awali, China imetekeleza orodha mpya hasi kwa uwekezaji wa kigeni katika sekta za utengenezaji kuanzia tarehe...
  12. Wakusoma 12

    Mwenyekiti wa zamani wa benki ya China ahukumiwa kifo

    Mwenyekiti wa zamani wa Benki ya China, Liu Liange amehukumiwa kifo kwa kupokea hongo ya dola milioni 16.8 (TZS bilioni 44.4) pamoja na makosa mengine ya ufisadi na utoaji wa mikopo kinyume cha sheria. Mahakama ya China imeamuru mali zote binafsi za Liu zitaifishwe na mapato yake yote...
  13. Mi mi

    Ni kwa namna gani Taiwan ataweza kukabiliana na China ki vita kama ambavyo Ukrainein?

    Katika muendelezo wa vita vya wenyewe kwa wenyewe vilivyo simama kwa sasa baina ya hizi serikali mbili moja iliyopo Beijing na nyengine ilipo katika kisiwa cha Taiwan. Siku vita hivi vikizuka kwa mara nyingine tena kwa ukubwa wa vita kamili ukiondoa hizi choko choko za sasa. Je, ni kwa namna...
  14. Mi mi

    Kwanini India imepitwa mbali kabisa na China kiuchumi wakati walikuwa mbele kuliko China?

    Mwaka 1987 India ilikuwa na ukuaji mkubwa kiuchumi kuliko China. In 1987, China's GDP was $272.97 billion, while India's GDP was $279.03 billion: China GDP $272.97 billion India GDP $279.03 billion Lakini 2024 China inakuaji mkubwa wa kiuchumi kuliko India. China GDP $18.2 T India GDP $3.8...
  15. Mad Max

    Top 10 ya magari yaliyouzwa sana Duniani 2024 (hadi sasa Nov), China ameingiza makampuni mawili!

    Speed ya China kwenye sekta ya magari inazidi kutishia ulimwengu. Pamoja na vikwazo vingi alivyowekewa nchi za magharibi na Marekani, bado jamaa anaendelea kutusua, na sasa ameingiza makampuni mawili kwenye top 10. Kuanzia BYD, ambayo imeshika nafasi ya 6 na inazidi kupanda kwa kasi ya ajabu...
  16. Yoyo Zhou

    Mabaki haya ya kiutamduni yapaswa kurejeshwa kwa China

    Vyombo vya habari vya Uingereza hivi karibuni vimeripoti kwamba Mfuko wa David ambao ni jumba binafsi la makumbusho la nchini Uingereza, utatoa takriban kauri 1,700 za kale za Kichina kwa Jumba la Makumbusho la Uingereza. Kauri hizo zenye thamani ya paundi bilioni moja za Kiingereza zina...
  17. Mi mi

    Kazi ngumu aliyonayo Marekani kwa sasa ni kupambana kwa kila hali na China

    Moja ya kazi ngumu inayomkabili marekani sasa ni kupambana kila awezavyo ili kumdhibiti China. Hii ni kazi ngumu sana kwa sababu inahusu maeneo mengi yakiwemo - Ushindani wa kiuchumi, marekani anahitaji kufanya kila namna kudhibiti ukuaji wa uchumi wa kwa miaka mingi ijayo ili isizidi kuwa...
  18. jmushi1

    US Admiral: Kutoa silaha kwa Ukraine na Israel, kunapunguza uwezo wa kupambana na China!

    Admiral anasema silaha zinatolewa nyingi kiasi kwamba watashindwa kukabiliana na Mchina… Adm. Sam Paparo ana wasiwasi kwamba Marekani inatoa na kumaliza ulinzi muhimu unaohitajika kukabiliana na China. "Sasa inakula katika hifadhi," alisema Jumanne ya usafirishaji wa silaha za hali ya juu...
  19. X

    Baada ya China kujenga bandari kubwa na ya kisasa nchini Peru nayo Marekani yajibu. Kwa sasa China ndiyo taifa lenye ushawishi mkubwa Amerika Kusini

    Chancay port ni bandari ya kisasa iliyojengwa na kampuni ya China COSCO kama project ya BRI. Imezinduliwa 17th Nov 2024 na Xi na raisi wa Peru Ni smart port au full automated port kila kitu kinafanywa na mitambo au mashine na ndio smart port pekee barani humo. Robotic megaport that operates...
Back
Top Bottom