Nina Akili Ndogo Sana
JF-Expert Member
- Jun 2, 2026
- 865
- 1,125
NB: Nina Akili Ndogo Sana.
Swali langu mimi ni hilo tu.
Zingatia sana jina langu.
Swali langu mimi ni hilo tu.
Zingatia sana jina langu.
Not radicalism (sponsoring terrorism)??Nadhani alikosea kuwakopesha pesa mataifa ya ulaya kama ufaransa na mengineyo pesa za uchaguzi na kuingilia maswala ya Israel hayo mataifa hivyo vita hawaingilii kabisa
Not radicalism (sponsoring terrorism)??
But Islam as a very sacred religion isn't for terrorist. Islam is a religion of peace.Hiyo sidhani saana labda kwa Chad ila kingine alikuwa ana jenga misikiti sana Africa na kutaka Bara la Africa liwe la kiislam na alikuwa anatoa pesa nyingi Waislam wa ulaya kununua misikiti