Nina kituo Cha mafuta ila Sina pesa ya kununulia mafuta, nifanyaje?

Nina kituo Cha mafuta ila Sina pesa ya kununulia mafuta, nifanyaje?

malembeka18

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2018
Posts
3,913
Reaction score
4,695
Wakuu ninamiliki kituo cha mafuta kutokana na changamota nilizopata kimaisha nimejikuta Sina pesa ya kununulia mafuta kwa ajili yakuendesha kituo, nifanyaje ili niweze kupata mtaji pesa yakununulia mafuta?

Mkopo wa riba naogopa ntapozeta asset yangu, na je mkopo wa Tsh. 120m riba yake ni kiasi gani kwa mwaka?

Msaada wenu wa mawazo mliowahi kumiliki vituo vya mafuta au kusimamia vituo, wadau deepod, agripoduct njooni humu
 
Mauzo yako yapoje hapo?
Je umefikiria kuwa na partnership hapo?

Siwezi kuuliza mtaji umeenda wapi kama unamiliki kituo cha mafuta
Ila nauliza Je uliachiwa urithi ?

120m inaweza kupatikana na ipo mfuko wa shati
Haya weka anuani ya hiyo biashara
 
Wakuu ninamiliki kituo Cha mafuta kutokana na changamota nlizopata kimaisha nimejikuta Sina pesa ya kununulia mafuta kwa ajili yakuendesha kituo,nifanyaje ili niweze kupata mtaji pesa yakununulia mafuta ,
Mkopo wa riba naogopa ntapozeta asset yangu,na je mkopo wa 120m riba yake nikiasi Gani kwa mwaka
Msaada wenu wa mawazo mliowahi kumiliki vituo vya mafuta au kusimamia vituo ,wadau deepod,agripoduct njooni humu
mkuu nakuomba usiogope kuchukua mkopo. naomba ukae na halmashauri yako ya ndani ya nafsi kisha mkubaliane nidhamu ya hali ya juu jinsi ya kurejesha huo mkopo kwa sababu biashara ya kiwese kama stesheni yako iko eneo la kimkakati ni biashara ya uhakika nakutakia kila la kheri.
 
Elezea zaidi ueleweke, Kiko wapi, majengo, ushindani wa Biashara, Kuna vituo vingi kila mahali vinaota nyasi, sasa usikute ni kimoja wapo, na Kuna sababu Kwa Nini kinaota nyasi
Kuota nyasi unamaanisha ni
 
Kama upo serious weka wazi Kila kitu kuanzia location ya kitua ikibidi picha Watu wafanye partnership chap.
 
Nenda tu kwa makampuni ya wauza mafuta mtakubaliana waendeshe kwa muda gani wakati huo wewe unakula % yako na pia kwenye makubaliano wakuajiri hivyo utakula mshahara na %
 
Wakuu ninamiliki kituo cha mafuta kutokana na changamota nilizopata kimaisha nimejikuta Sina pesa ya kununulia mafuta kwa ajili yakuendesha kituo, nifanyaje ili niweze kupata mtaji pesa yakununulia mafuta?

Mkopo wa riba naogopa ntapozeta asset yangu, na je mkopo wa Tsh. 120m riba yake ni kiasi gani kwa mwaka?

Msaada wenu wa mawazo mliowahi kumiliki vituo vya mafuta au kusimamia vituo, wadau deepod, agripoduct njooni humu
Andaa andiko la Biashara, then nenda benki kachukue mkopo. Kama huna utaalamu wa kuandaa Andiko Bishara njoo inbox
 
Wakuu ninamiliki kituo cha mafuta kutokana na changamota nilizopata kimaisha nimejikuta Sina pesa ya kununulia mafuta kwa ajili yakuendesha kituo, nifanyaje ili niweze kupata mtaji pesa yakununulia mafuta?

Mkopo wa riba naogopa ntapozeta asset yangu, na je mkopo wa Tsh. 120m riba yake ni kiasi gani kwa mwaka?

Msaada wenu wa mawazo mliowahi kumiliki vituo vya mafuta au kusimamia vituo, wadau deepod, agripoduct njooni humu
Mafuta unaweza pata kwa mkopo,
 
Back
Top Bottom