Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
Umeshatembelea bank ngapi?
malembeka18 hapa kuna hojaMauzo yako yapoje hapo?
Je umefikiria kuwa na partnership hapo?
Siwezi kuuliza mtaji umeenda wapi kama unamiliki kituo cha mafuta
Ila nauliza Je uliachiwa urithi ?
Unisaidie tu baadae kujibumalembeka18 hapa kuna hoja
bas apo chief huitaj msada wa kuendeleza iko ktuoKuendesha kituo wao hapana labda kula hiyo percent
Nikikodisha ntapata Hela kidogo sana tofauti nakukiendesha mwenyeweKikodishe
Mkuu percent wanayotoa nikidogo sana tofaut na ukikiendesha we mwenyewebas apo chief huitaj msada wa kuendeleza iko ktuo
Kumbe uliingia kwenye biashara usiyojua ABC zake au mmegawana urithi mali za marehemu wewe ukapewa/ukafosi hicho kituo?Kuendesha kituo wao hapana labda kula hiyo percent
Utaendeshaje mwenyewe ukapata faida wakati huna mtaji,elimu ya hiyo biashara na mbaya zaidi hata ushauri hutaki.Nikikodisha ntapata Hela kidogo sana tofauti nakukiendesha mwenyewe
Mkuu nikituo kipya, Cha pili Sasa mtaji ulipungua baada ya kujenga Cha pili so chakwanza uwezo wakukiendesha ukapungua sanaamalembeka18 hapa kuna hoja
Kama uko serious nichek nikuunge na bulk supplier ninaofanya nao kaz ila kina margin utanipa kwa kila litaWakuu ninamiliki kituo cha mafuta kutokana na changamota nilizopata kimaisha nimejikuta Sina pesa ya kununulia mafuta kwa ajili yakuendesha kituo, nifanyaje ili niweze kupata mtaji pesa yakununulia mafuta?
Mkopo wa riba naogopa ntapozeta asset yangu, na je mkopo wa Tsh. 120m riba yake ni kiasi gani kwa mwaka?
Msaada wenu wa mawazo mliowahi kumiliki vituo vya mafuta au kusimamia vituo, wadau deepod, agripoduct njooni humu
Mkuu biashara naijua vizur sana,Kumbe uliingia kwenye biashara usiyojua ABC zake au mmegawana urithi mali za marehemu wewe ukapewa/ukafosi hicho kituo?
Margin ya kiasi ganiKama uko serious nichek nikuunge na bulk supplier ninaofanya nao kaz ila kina margin utanipa kwa kila lita
nenda inboxMargin ya kiasi gani
Ingia ubia na makampuni ya mafuta, au kikodishe, baada ya miaka miwili utapata mtaji WA kuuza mafutaWakuu ninamiliki kituo cha mafuta kutokana na changamota nilizopata kimaisha nimejikuta Sina pesa ya kununulia mafuta kwa ajili yakuendesha kituo, nifanyaje ili niweze kupata mtaji pesa yakununulia mafuta?
Mkopo wa riba naogopa ntapozeta asset yangu, na je mkopo wa Tsh. 120m riba yake ni kiasi gani kwa mwaka?
Msaada wenu wa mawazo mliowahi kumiliki vituo vya mafuta au kusimamia vituo, wadau deepod, agripoduct njooni humu
Heri moja Shika nenda, kuliko kumi nenda uje. Unataka percent kubwa wakati hauna mtaji?.Mkuu percent wanayotoa nikidogo sana tofaut na ukikiendesha we mwenyewe
Si ndio unaweka nembo Yao?!Kuendesha kituo wao hapana labda kula hiyo percent
Ali kujibu?Unisaidie tu baadae kujibu
Ule msemo wetuAli kujibu?