Little Dreamer
Senior Member
- Sep 12, 2017
- 184
- 166
Nimekuwa nikifatilia matangazo ya magari kwenye platforms mbalimbali na kuna jambo ambalo linahitaji mabadiliko makubwa.
wauza magari hawatoi taarifa muhimu za magari, kwenye tangazo wanaongea maneno mengi ambayo hayana umuhimu, na kwenye muda wote wanaoongea vitu vya muhimu kuhusu hilo gari hawajavitaja, na huenda hata wao pia hawajui.
Unakuta gari inatangazwa tangazo la dakika mbili, maneno unayoyasikia ni "gari ni kali sana, gari imenyooka sana, gari ni maini, chuma ni kali" na maneno yanakuwa ni ya kujirudia rudia lakini kwa muda wote huo hata hujasikia gari ni ya mwaka gani au inatumia injini gani na vitu vingine vya muhimu kuhusu hilo gari.
Biashara haifanyiki kwa kuzingatia prpfessionalism bali imebase kwenye ujanja ujanja yaani kumshawishi mteja kwa picha na maneno bila kumpa mteja taarifa muhimu ili anunue kitu ambacho anakihitaji.
Ni kitu gani kingine ambacho unahisi huwa ni kero kwenye biashara ya magari used hapa Tanzania?