mabadiliko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa CUHAS waelezeni wazazi mabadiliko ya fedha ya usafiri na si kuwatwisha mzigo watoto bila wazazi kuwa na tarifa na ufafanuzi wa mabadiliko

    Nakumbuka baada ya kulipa 650,000 Tsh as administration fee, wazazi tulilipa tena 100,000 Tsh kama fedha ya usafiri. This I guess was OK! Now juzi watoto wamelipishwa tena 48,000Tsh kama fedha ya usafiri! Kulikoni? Tunaomba maelezo au ni upigaji as usual bila uongzi wa chuo kujua...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hakuna jeshi jirani litakalowaweza watutsi kufikia 2050, Tukio la mwaka jana kuwazidi mbinu Jwtz na majeshi mengine limeonyesha walivyozidi kuimarika.

    Hapo zamani, JWTZ ilikuwa na uwezo mkubwa wa kukabiliana na vikosi vya Watutsi, wakiwemo wapiganaji wa M23 wanaoungwa mkono na Rwanda pamoja na Uganda. Rwanda yupo Kagame, Uganda yupo Museveni na pia Mtutsi. Hata kama vikosi vilipokuwa vya Sadc, walipopata taarifa kuwa Tanzania ni sehemu ya...
  3. Jack Daniel

    JamiiForums Tanzania Nchi yetu inahitaji Mabadiliko kweli, lakini Nani wakuleta hayo Mabadiliko?

    Nawasalimia wanabodi. Inatia hasira, Inakera, Yaani hakuna watu nawachukia kama Wanaharakati uchwara wa hii nchi,hakuna watu nawachukia kama hawa. Mwanzo nilikuwa nawaona ni watu wa maana,lakini kwasasa nimewapuuza mpaka basi ni wajinga na ni hatari Kwa usalama wa nchi. Wengi wapo abroad...
  4. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi Babati watakiwa kuelimisha jamii kuhusu uhifadhi, mabadiliko ya tabianchi

    Babati. Wanafunzi 40 wa shule za sekondari zilizopo katika eneo la Hifadhi ya Jamii ya Wanyamapori Burunge (Burunge WMA), wilayani Babati, Mkoa wa Manyara, wametakiwa kutumia elimu waliyoipata kuhusu uhifadhi na mabadiliko ya tabianchi kuelimisha jamii za vijijini. Wanafunzi hao wametakiwa...
  5. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Yapo mambo mazito sana ya kujiuliza kama taifa nje ya masuala ya mabadiliko ya kiserekali.

    Ndugu zangu Watanzania salama? Kila ninapofuatilia mijadala ya kisiasa nchini kwetu, ninashangazwa sana na ukosefu wa hoja za msingi kuhusu namna ya kuendeleza Tanzania yetu na hatma yetu kama Taifa! Sote tunakubaliana kwamba tunahitaji kuishi ktk Taifa linalofuata misingi ya utu na haki...
  6. ShesRise_1

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya au Chama Kipya? Je, Tunataka Kubadili Mfumo au Viongozi?

    Watanzania tunahitaji mabadiliko, na wengi tunaamini kuwa Katiba mpya ni sehemu muhimu ya mabadiliko hayo Tunatarajia itasaidia kurekebisha mifumo yenye changamoto kupunguza migogoro na kuweka mipaka na uwajibikaji katika matumizi ya madaraka Lakini binafsi napokua nafatilia mijadala kuna...
  7. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Ni wakati muafaka sasa kwa Serikali kama mlezi, kuchukua hatua za makusudi na kuharakisha mabadiliko ya uongozi TLS.

    Ni wazi, na sote ni mashuhuda wa ombwe la uongozi linaloonekana wazi kabisa kwenye taasisi hiyo ya kitaalamu Tanzania. TLS imeacha misingi na malengo ya kuanzishwa kwake na kutumbukia kwenye mikono ya uongozi wa vibaka wa kisiasa na wanasiasa uchwara, ambao haijulikani wanafanya makusudi au...
  8. thegreat1510

    JamiiForums Tanzania Ushindi wa Jihan unaonyesha watanzania wanaweza kuungana kwa pamoja kufanya jambo. Wanashindwa nini kutumia sauti hio kubwa kudai mabadiliko.

    Watanzania ni moja ya watu walio active sana mitandaoni Africa, Ushindi wa Jihan hauathiri maisha yao lakini wamepush hadi kimataifa. Nguvu kama hii ikitumika kumpazia Sauti hata Tundu Lisu tu anaweza achiwa mara moja. Kwa umoja huu wanaweza kudai mabadiliko kuanzia kila kona. Lakini...
  9. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Katiba na Sheria za Nchi hii zikibadilishwa/kufanyiwa mabadiliko msitegemee familia za wana ccm kua Tanzania.

    Kama na wewe hua ni wale wanaosema kua lema kaficha familia yake Canada, mara watoto wa Lissu wapo Marekani... Unataka kuandamana utakufa wenzio familia zao zipo nje. Sikia nikwambie siku sheria zikifanyiwa mabadiliko, katiba ikawa na nguvu kiongozi mkuu wa nchi akaweza kushitakiwa, na mihili...
  10. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Maandamano ni desturi ya kudai mabadiliko katika baadhi ya mataifa duniani, lakini Africa Mashariki imekua ni kichochea cha ghasia, uharibifu na maafa

    Kama mdau wa JF katika jukwaa hili huru la siasa, Unadhani changamoto kubwa ni nini hasa, hata maandamano katika eneo la maziwa makuu na zaidi sana Africa Mashariki, kua na sura ya ushari zaidi, lakini pia kukosa kua na faida wala kuleta matokeo yoyote yale chanya kulingana na malengo, na...
  11. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Tanzania yataka hatua kali dhidi ya mabadiliko ya tabianchi

    TANZANIA imewataka Nchi Wanachama wa Mkataba wa Nairobi kuchukua hatua madhubuti na za pamoia kukabiliana na mabadiliko va tabianchi, uchafuzi wa bahari na matumizi yasiyd endelevu ya rasilimali za baharini. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mhandisi Hamad...
  12. Deus Jovin

    JamiiForums Tanzania Dokezo la Usalama wa Kimkakati: Wito wa Kupunguza Mbinu za Kimabavu na Njia Mbadala za Mabadiliko Kuelekea 2029

    Mheshimiwa Msomaji, Husika na mada iliyotajwa hapo juu. Nina heshima kubwa kuwasilisha rasmi kwako Jalada la Usalama wa Kimkakati kuelekea Tanzania 2029, lililoandaliwa na Baraza la Kufikirika la Ushauri Kuhusu Utawala Bora na Usalama wa Kimkakati. Jalada hili limetayarishwa kufuatia tathmini...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mabadiko Baraza la Mawaziri Yatangazwa

    Kumefanyika Mabadiliko Ya Baraza La Mawaziri Leo
  14. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimefanya mabadiliko ya kiutendaji katika ngazi ya Makatibu wa CCM wa mikoa.

  15. Zerock

    JamiiForums Tanzania UKAME vs EL NINO;Je ni mabadiliko ya tabianchi au laana...?

    Kuna watu wanajiita (watabiri wa hali ya hewa) ukishajua maana ya utabiri/mtabiri basi utajua wale ni watu wa aina gani. Dunia ya leo,ukiwa na makaratasi yaliyoandikwa (certificate) unaonekana ni msomi sana hata kama bado ujinga flan kichwani. Kuna taarifa kuhusu el Nino kila kona ya dunia .na...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Natamani au napenda kuepo na mabadiliko ya baraza la mawaziri

    Nawaza tuu ,c unajua nimekunywa dawa za chenga chenga nahc usingizi Ni wizara ipi unaona waziri wake haendani na kasi au nani yupo inje ya baraza sasa ni mda muafaka alejeshwe ...hii home work Nakusanya kesho saaatatu asbh Lakini mm siipend CCM Twende kazi 1. 2.
  17. G

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko tunayohitaji kwenye ELIMU yetu ni kuongeza au kupunguza miaka ya kusoma au kuboresha content?

    Kwa hiyo ndo maboresho makubwa walilofanya kwenye ELIMU ?? Tatizo la ELIMU yetu ni miaka ya kusoma au content yake ?? Twende TU hivyo hivyo uzuri watoto wengi wa mawaziri wabunge na WATUMISHI wa umma hata waalimu wa hizo shule hawapeleki watoto wa huko Watasoma watoto wa maskini na machawa...
  18. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania NECTA: Darasa la Tano mwaka 2026 kumaliza Elimu ya msingi 2027

    Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetoa taarifa rasmi inayoeleza mabadiliko katika mfumo wa elimu ya msingi kwa wanafunzi wa shule nchini Tanzania. Mabadiliko haya yanatekelezwa kwa mujibu wa Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014 Toleo la 2023 pamoja na Mitaala iliyoboreshwa, kwa lengo...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Kutoka Pompom za Magufuli hadi Vita na CHADEMA: Mange Kimambi Anapigania Mabadiliko au Anavuruga Upinzani?

    Mange Kimambi ni mmoja wa wanaharakati wa mtandaoni wenye ushawishi mkubwa zaidi nchini Tanzania, ambaye safari yake ya kisiasa imepitia mabadiliko makubwa—kutoka kuwa kada na mpambanaji wa dhati wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) hadi kuwa mkosoaji mkubwa wa serikali. Ili kuuelewa uanaharakati wa...
  20. Mla Bata

    JamiiForums Tanzania Katika mazingira ya Tanzania, “kuwa muhafidhina” kunapaswa kumaanisha kulinda yaliyopo, au kupinga mabadiliko hata kama mfumo unahitaji mageuzi?

    Wasalaam, Baada ya uchaguzi wa Oktoba 2025, kuna jambo moja ambalo sidhani kama tunaweza kulikwepa kama taifa, Tanzania iko kwenye mjadala wa aina gani ya siasa tunayotaka kwa miaka ijayo? CCM imeendelea kuwa chama dola baada ya Samia kutangazwa mshindi kwa asilimia karibu 98% kwenye...
Back
Top Bottom