Natamani au napenda kuepo na mabadiliko ya baraza la mawaziri

Natamani au napenda kuepo na mabadiliko ya baraza la mawaziri

BIOTOXINS

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2026
Posts
1,091
Reaction score
2,283
Nawaza tuu ,c unajua nimekunywa dawa za chenga chenga nahc usingizi

Ni wizara ipi unaona waziri wake haendani na kasi au nani yupo inje ya baraza sasa ni mda muafaka alejeshwe ...hii home work
Nakusanya kesho saaatatu asbh

Lakini mm siipend CCM
Twende kazi

1.
2.
 
Nanauka kawa mzigo sana, hana cha maana hata kimoja pale
 
Back
Top Bottom