Violet Awindi Barasa (June 21, 1975, Sikhendu village, Bungoma District, Kenya – February 12, 2007, Webuye) was a volleyball player from Kenya. Her surname is sometimes spelled as Baraza.
She was a long-time captain for the Kenyan women's national volleyball team. Baraza represented Kenya in the 2000 and 2004 Olympic Games, three times in the World Championship and in numerous continental events.She was one of the few Kenyan players to play professional volleyball abroad, for Al Ahly in Egypt, Vileo and Unic-Romania in Romania, Panellinios in Greece and Dicle University in Turkey.She died in February 2007 at the Webuye District Hospital of undisclosed causes. At the time of her death, she was still an active player with the Kenya Commercial Bank volleyball club, although she had been dropped from the national team.
Kwa zaidi ya miaka 14 sasa, changamoto zinazowakabili wauguzi na wakunga nchini hazijapatiwa ufumbuzi wa kudumu licha ya malalamiko ya muda mrefu kutoka kwa wanakada hao.
Kwa hali ilivyo sasa, tunaona ni wakati mwafaka kwa wauguzi na wakunga kuungana na kuiomba Serikali kuvunja na kuunda upya...
Kuna wakati katika historia ya taifa ambapo maswali huwa muhimu kuliko majibu ya haraka. Kuna wakati wananchi hulazimika kutafakari si kwa sababu hawana imani na nchi yao, bali kwa sababu wanataka kuelewa kinachoendelea ndani ya mfumo wanaoutegemea kuwalinda.
Leo, swali kubwa si kuhusu nani...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhandisi Hamad Yussuf Masauni (kulia), akipokea Uenyekiti wa Baraza la Mawaziri la Mamlaka ya Ziwa Tanganyika (LTA) kutoka kwa Waziri wa Uchumi wa Kijani na Mazingira nchini Zambia, Gilbert Siame aliyewakilishwa na Katibu Mkuu wa...
li kuelewa kikamilifu kwa nini Umoja wa Mataifa umegeuka kuwa Circus na mbwa asiye na meno, ni lazima kutazama ubaguzi wa kimfumo na mgawanyo wa madaraka ndani ya Baraza la Usalama la UN (UNSC).
Kwa kawaida kuna mataifa matano zenye kura ya turufu maarufu kama (P5)— Marekani, Uingereza...
Tathmini ya kina ya mfumo wa ulinzi wa amani wa Umoja wa Mataifa (UN) inapofanyika katika maeneo yenye migogoro mikali duniani, sura halisi inayojitokeza sio ile ya alama ya tawi la mzeituni au kofia ya bluu inayowakilisha matumaini na uokozi.
Badala yake, ukweli mchungu unaodhihirika ni kwamba...
Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 21 Oktoba, 2026.
Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 21 Oktoba, 2026.
Jukumu la usimamizi libaki kwa walimu wa madarasani,waratibu elim wabaki na majukumu Yao mengine! Wanaziba nafasi kwa walimu wa darasani na kusababisha malalamiko meengi sana Kwa walim.
CASE STUDY
katika halmashauri ya wilaya ya uyui mkoani tabora yenye jumla ya kata 31 zenye shule za...
Anonymous
Thread
barazabaraza la mitihani
elimu
kusimamia
mitihani
mitihani ya taifa
taifa
ushauri
Baada ya kufanya uchambuzi wa kina wa mifumo ya mawasiliano uliyolishwa habari za dondoo na Jasusi Kijana wa ifoza, mifumo ya Akili Mnemba (AI) imegundua uwepo wa kanuni zinazofanana kwa asilimia 100 kati ya viongozi wakuu wa Marekani na wachambuzi wa kimkakati nchini Tanzania. Klipu ya hivi...
Wanabodi,
Hii ni Taarifa muhimu kutoka TLS.
Nime C& P
TAARIFA KWA UMMA
Baraza la Uongozi la Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) linaendelea kufuatilia kwa ukaribu shauri la maombi namba 4 ya mwaka 2026...
baraza
haki
heshima
imara
katika
kudai
kudai haki
kusimama
kusimamia
mawakili
mwabukusi
na rais
nchini
rais
rais wa tls
tls
tuendelee
uongozi
utu
wakili
wito
wote
Baraza la Uongozi la Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) linaendelea kufuatilia kwa ukaribu shauri la maombi namba 4 ya mwaka 2026 lililofunguliwa tarehe 27/5/2026 na Wakili mwenzetu Chacha Mwita Nashon mwenye namba ya uwakili 11554 dhidi ya Rais wa TLS Wakili Boniface A.K. Mwabukusi kwenye...
Za ndani kabisa zinadai,
ukata wa fedha, kukosekana agenda muhimu na mazingira magumu ya kisiasa na kiuchumi vinatajwa kama sababu za kusogezwa mbele kwa mkutano mkuu huo hadi mwaka ujao.
Hii ni kimaanisha zile pesa za tone tone zilizochangwa zimetumika kwa matumizi mengine kadiri ilivyoonekana...
Baraza la Ardhi na Nyumba la Wilaya ya Bagamoyo limeshiriki katika zoezi la One Stop Centre linalofanyika katika Kata ya Mapinga, Wilaya ya Bagamoyo, kwa lengo la kusikiliza na kutatua changamoto mbalimbali za wananchi.
Zoezi hilo limeandaliwa kwa ushirikiano kati ya Halmashauri ya Mji Bagamoyo...
Tanzania imetangaza azma ya kuwania nafasi ya uanachama usio wa kudumu katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kwa kipindi cha 2029–2030.
Akizungumza wakati akimwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika Mjadala wa Mkutano wa 81 wa Baraza Kuu la...
Tarehe 23 Septemba 2021, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, alihutubia Mjadala Mkuu wa Mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA 76) jijini New York, Marekani.
Katika hotuba yake, alizungumzia miongoni mwa mambo yafuatayo:
-Athari za UVIKO-19 katika...
Nawaza tuu ,c unajua nimekunywa dawa za chenga chenga nahc usingizi
Ni wizara ipi unaona waziri wake haendani na kasi au nani yupo inje ya baraza sasa ni mda muafaka alejeshwe ...hii home work
Nakusanya kesho saaatatu asbh
Lakini mm siipend CCM
Twende kazi
1.
2.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.