23 Septemba 2021 — Rais Samia ahutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA 76)

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
1,194
Reaction score
911
Tarehe 23 Septemba 2021, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, alihutubia Mjadala Mkuu wa Mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA 76) jijini New York, Marekani.

Katika hotuba yake, alizungumzia miongoni mwa mambo yafuatayo:

-Athari za UVIKO-19 katika maendeleo ya dunia.

-Umuhimu wa kuendeleza Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDGs).
Uwezeshaji wa wanawake na wasichana kiuchumi.

-Madhara ya mabadiliko ya tabianchi na utekelezaji wa ahadi za kimataifa za kukabiliana nayo.

-Ushirikiano wa kimataifa katika kushughulikia changamoto zinazolikabili dunia.

▪︎Siku hiyo pia, Rais Samia alikutana na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres, ambapo walijadili masuala ya amani na usalama barani Afrika, athari za COVID-19 na utekelezaji wa SDGs.
IMG-20260923-WA0018.jpg
 
Tarehe 23 Septemba 2021, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, alihutubia Mjadala Mkuu wa Mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA 76) jijini New York, Marekani.

Katika hotuba yake, alizungumzia miongoni mwa mambo yafuatayo:

-Athari za UVIKO-19 katika maendeleo ya dunia.

-Umuhimu wa kuendeleza Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDGs).
Uwezeshaji wa wanawake na wasichana kiuchumi.

-Madhara ya mabadiliko ya tabianchi na utekelezaji wa ahadi za kimataifa za kukabiliana nayo.

-Ushirikiano wa kimataifa katika kushughulikia changamoto zinazolikabili dunia.

▪︎Siku hiyo pia, Rais Samia alikutana na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres, ambapo walijadili masuala ya amani na usalama barani Afrika, athari za COVID-19 na utekelezaji wa SDGs.View attachment 3676267
Uzi mzuri na muhimu sana
 
LIUAJI
 
Back
Top Bottom