umoja

Akinyele Umoja (born 1954) is an American educator and author who specializes in African-American studies. As an activist, he is a founding member of the New Afrikan People's Organization and the Malcolm X Grassroots Movement. In April 2013, New York University Press published Umoja's book We Will Shoot Back: Armed Resistance in the Mississippi Freedom Movement. Currently, he is a Professor and Department Chair of the Department of African-American Studies at Georgia State University (GSU).

View More On Wikipedia.org
  1. O

    JamiiForums Tanzania MKURUGENZI MKUU wa amani na umoja ya urasimishaji na uhamasishaji kuwa Kennedy Orinyo Nyamanga ni nani anayeweza kumpa nafasi

    Kama Kennedy Orinyo Nyamanga,ni raia anayependekezwa kuwania fursa ya mwanasheria na mwana jamii anayewania kuwa RAIS wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania,na kuwa na amani ya viongozi wa viongozi wa amani na amani ya umoja wa watanzania,nami na amini wa Tanzania wana amini katika amani ya umoja wa...
  2. Corticopontine

    JamiiForums Tanzania CHAUMMA na CCM kuunda Serikali ya Umoja wa Kitaifa. Lema kuwa Mbunge

    Hii ndiyo habari ya mjini
  3. H

    JamiiForums Tanzania Kiswahili siyo tu kwamba ni lugha rasmi ya kazi katika mikutano ya Umoja wa Afrika, Jumuiya ya Afrika Mashariki, SADC, UNESCO na taasisi nyingine kubw

    Kiswahili siyo tu kwamba ni lugha rasmi ya kazi katika mikutano ya Umoja wa Afrika, Jumuiya ya Afrika Mashariki, SADC, UNESCO na taasisi nyingine kubwa za kimataifa bali kwa miongo kadhaa, imekuwa ikifundishwa kwa ufahari katika taasisi za kitaaluma za hapa Urusi - Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck...
  4. Damaso

    JamiiForums Tanzania Mission za Umoja wa Mataifa na Harakati za kulinda amani: Baraza la Ulinzi la UN kuwa kama Circus, Sehemu ya Mwisho

    li kuelewa kikamilifu kwa nini Umoja wa Mataifa umegeuka kuwa Circus na mbwa asiye na meno, ni lazima kutazama ubaguzi wa kimfumo na mgawanyo wa madaraka ndani ya Baraza la Usalama la UN (UNSC). Kwa kawaida kuna mataifa matano zenye kura ya turufu maarufu kama (P5)— Marekani, Uingereza...
  5. Damaso

    JamiiForums Tanzania Mission za Umoja wa Mataifa na Harakati za kulinda amani: Baraza la Ulinzi la UN kuwa kama Circus

    Tathmini ya kina ya mfumo wa ulinzi wa amani wa Umoja wa Mataifa (UN) inapofanyika katika maeneo yenye migogoro mikali duniani, sura halisi inayojitokeza sio ile ya alama ya tawi la mzeituni au kofia ya bluu inayowakilisha matumaini na uokozi. Badala yake, ukweli mchungu unaodhihirika ni kwamba...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Kujihami wa Makanisa (UKM)

    Nadhani kuna haja ya kuunda Umoja wa Kujihami wa Makanisa. Umoja huu utahusika zaidi kuwalinda viongozi wa Kanisa watakaoingia kwenye Umoja huu. Kwa mfano, RC, KKKT, TAG, IFUFUO NA UZIMA wanasaini mkataba wa Umoja huu. Itakuwa kiongozi mmoja wapo kutoka kwenye Umoja huo akifanyiwa dhuluma...
  7. kavulata

    JamiiForums Tanzania Umoja wa ulaya hawalioni kundu lao, Afrika tuwaonyeshe lilipo ili waache kutunyooshea vidole.

    Jumuiya ya Ulaya (EU) ni wepesi kuinyooshea vidole Afrika inapopambana kutatua masuala yake, iko kimya kunyoosha vidole yanapotokea kwa wanachama wao mambo kama yaleyale ya Afrika. Msikilize Macron nae anavyotatua masuala ya nchi yake kama vilevile tunavyotatua sisi huku...
  8. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania UMOJA WA ULAYA (EU) WAIDHINISHA TSH. BILIONI 461 KWA TANZANIA

    Umoja wa Ulaya (EU) umerudisha rasmi upatikanaji wa fedha za maendeleo za kiasi cha Euro milioni 156 (takribani Shilingi bilioni 461 za Tanzania) baada ya kuchelewesha kuidhinishwa kwa mpango huo baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025. Kwa mujibu wa taarifa ya Mkuu wa ushirikiano wa Umoja wa...
  9. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Mwenge wa uhuru wageuka baraka kwa wafanyabiashara Sumbawanga

    Hashimu Arafat Makota, kinyozi katika Manispaa ya Sumbawanga, amesema ujio wa Mwenge wa Uhuru umeongeza fursa za kiuchumi kwa wafanyabiashara kutokana na ongezeko la watu, wakiwemo wageni, hali iliyochochea kuongezeka kwa wateja na kipato chao. Makota amepinga wanaobeza Mwenge wa Uhuru kwa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Tulia Ackson Mwansasu: Baada ya kupigwa chini Uspika, apigwa chini tena Urais wa Mabunge Duniani

    N:B: Urais wa mabunge ni 1 term Mambo yameenda mrama! Baada ya kupigwa chini kwenye kiti cha Uspika wa Bunge la Tanzania, Dr. Tulia Ackson hakuwa na budi kuachia ngazi kwenye kiti cha Urais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU). Kwenye uchaguzi uliofanyika Arusha leo tarehe 9 Oktoba 2026, Milton...
  11. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Hatutaruhusu wala hatutakubali mtu au chama cha siasa Tanzania, kuvuruga umoja, amani na usalama wa wa nchi yetu

    Kwa niaba ya waTanzania wote wazalendo na mamilioni ya raia wema wa nchi hii, I warn all individual politicians, groups of political bandits, puppets within political parties, clueless and rudderless political party leaders, who have completely no development ideas or agenda about citizens, and...
  12. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania TUWAFAHAMU VIONGOZI WA UMOJA WA MATAIFA (UN) TANGU KUANZISHWA KWAKE✍️🌍🇺🇳

    👉 Umoja wa Mataifa (United Nations – UN) ulianzishwa rasmi tarehe 24 Oktoba 1945, baada ya kumalizika kwa Vita Kuu ya Pili ya Dunia. Ulianzishwa kama jukwaa la mataifa duniani kwa ajili ya kudumisha amani na usalama wa kimataifa, kuimarisha ushirikiano wa kimataifa na kushughulikia changamoto...
  13. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania 23 Septemba 2021 — Rais Samia ahutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA 76)

    Tarehe 23 Septemba 2021, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, alihutubia Mjadala Mkuu wa Mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA 76) jijini New York, Marekani. Katika hotuba yake, alizungumzia miongoni mwa mambo yafuatayo: -Athari za UVIKO-19 katika...
  14. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Uimara na umadhubuti wa CCM unatokana na umoja na mshikamano uliopo miongoni mwa wanachama wake na waTanzania wote kwa ujumla.

    Na hiyo ndio siri ya kustawi na kuimarika kwa nguvu ya CCM kila uchwao, tofauti na upinzani wa Tanzania ambao udhaifu wao kiujumla, unatokana na chuki binafsi baina yao, uhasama baina yao, migawanyiko baina yao, tamaa, ufisadi na uchu wa vyeo na madaraka miongoni mwao, kitu kinachowafanya...
  15. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Daima Rais Dr.Samia Suluhu Hassan huchukua hatua na kufanya maamuzi magumu kwa maslahi mapana ya Taifa.

    Sidhani kama kuna ubishi kwenye jambo hili la kipekee sana kwa rais wetu. Na sote ni mashahidi kwamba, hatua za makusudi na maamuzi magumu ambayo daima Rais Dr.Samia Suluhu Hassan amekua akiyachukua ndani ya chama na katika serikali sikivu ya CCM, hulenga katika kulinda maslahi mapana ya taifa...
  16. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Wafanyabiashara wa Library za Video Iringa Watishia Kutofanya Kazi na Umoja Movies

    UMOJA wa wafanyabiashara wa filamu maarufu kama Library za Video mkoani Iringa umeazimia kusitisha kwa muda kufanya kazi na kampuni ya Umoja Movies, ili kutoa nafasi kwa viongozi na wawakilishi wa wadau kukutana na kampuni hiyo kujadili changamoto zinazodaiwa kujitokeza katika mfumo mpya wa...
  17. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania TUDUMISHE UTAMADUNI, TULINDE AMANI, TUJENGE MARIDHIANO. UMOJA WETU NI NGUVU YA TAIFA LETU.

    Bi. Khadijah binti Nyambasi kutoka mkoa wa Pwani, akielezea namna mchezo wa bao unavyotumika kufanya maridhiano toka enzi za mababu. Katika mazungumzo yake aliyoyafanya kwenye Tamasha la nne la Kitaifa la Utamaduni amesema kuwa Mhe. Rais Dkt. SAMIA SULUHU HASSAN alionekana kucheza mchezo bao...
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wazazi na Wanafunzi wa shule ya msingi Umoja, iliyopo Mabibo Farasi tunateseka kwa michango

    Viongozi wa mamlaka ya elimu wafanye ziara katika Shule ya Msingi Umoja iliyopo Mabibo Farasi, Kata ya Mabibo, Wilaya ya Ubungo, Dar es Salaam, na kuwahoji wanafunzi kuhusu michango ya shule ili kuona jinsi wazazi na watoto wanavyoteseka. Kwa mfano, mzazi mwenye watoto wawili shuleni hapo...
  19. Bishweko

    JamiiForums Tanzania Ombi: Tujumuike na kuwajibika kuenzi umoja wetu watanzania

    Watanzania wenzangu Mungu ni mwema bila shaka.Leo nimetafakari sana na mwisho wa siku imenibidi niandike ombi na wito kwetu watanzania. Hapana shaka kua kuna mambo ayako sawa sana asa kwenye nyanja ya siasa zetu. Ukweli wa ili jambo, nikupitia kwenye mitandao,maongezi ya watu, stori vijiweni na...
  20. O

    JamiiForums Tanzania Tuanze kufikiri namna ya kuwa na Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK) kwenye Katiba ijayo ili kutengeneza umoja na mshikamano wa kitaifa

    Watanzania ,ninaleta kwenu wazo la kuwa na Serikali ya Umoja wa Kitaifa kwenye Katiba mpya.Ninapendekeza kwamba chama cha siasa au mgombea binafsi atakayepata kura kuanzia Asilimia Kumi (10%) kiwe ndani ya Serikali. Hii itasaidia kuondoa mtindo tulio nao sasa wa mshindi kuchukua vyote hata kama...
Back
Top Bottom