kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,154
- 17,491
Jumuiya ya Ulaya (EU) ni wepesi kuinyooshea vidole Afrika inapopambana kutatua masuala yake, iko kimya kunyoosha vidole yanapotokea kwa wanachama wao mambo kama yaleyale ya Afrika.
Msikilize Macron nae anavyotatua masuala ya nchi yake kama vilevile tunavyotatua sisi huku.
View: https://youtu.be/pyx3fgWVuC0?si=uQT2LvFyNyPka6t3
Msikilize Macron nae anavyotatua masuala ya nchi yake kama vilevile tunavyotatua sisi huku.
View: https://youtu.be/pyx3fgWVuC0?si=uQT2LvFyNyPka6t3