Umoja wa ulaya hawalioni kundu lao, Afrika tuwaonyeshe lilipo ili waache kutunyooshea vidole.

Umoja wa ulaya hawalioni kundu lao, Afrika tuwaonyeshe lilipo ili waache kutunyooshea vidole.

HAta hapa kwetu kama wangebeba mabango yenye jumbe kama wale wafaransa hali isingekuwa vile. Hawa wa kwetu hawakutoa taarifa popote. Hata serikali ilisema hakuna nywi wala nywinywinywi, maana yake hawakuwa wamejiandaa kwa maandamano wala vurugu. Ile ambush waliyofanya ndiyo iliyozalisha vifo vyao.
Soon utaanza kuvaa vijora
 
Kavulata.
Huwa mnapewa shingapi wakuu au ni upendo uliozidi wa chama😅
Kaka yangu, mimi sikuwahi kufikiria kama kuna kijana anaweza kukubali kuchoma hata miundombinu inayowahudumia watu wa chini kabisa wakiwemo wao na shangazi zao wasiokuwa na passport ya kutorokea nchi.

Wacha tutumie muda wetu kuongea nao aisei huenda wakaokotota kitu.
 
Back
Top Bottom