Ombi: Tujumuike na kuwajibika kuenzi umoja wetu watanzania

Bishweko

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Posts
4,985
Reaction score
3,493
Watanzania wenzangu Mungu ni mwema bila shaka.Leo nimetafakari sana na mwisho wa siku imenibidi niandike ombi na wito kwetu watanzania. Hapana shaka kua kuna mambo ayako sawa sana asa kwenye nyanja ya siasa zetu. Ukweli wa ili jambo, nikupitia kwenye mitandao,maongezi ya watu, stori vijiweni na makazini.

Kuna kauli na mienendo yetu kama watanzania imeanza kupotea kwa kasi kubwa sana. Tangu awali sisi watanzania tume amini kwenye umoja,upendo,mshikamano maana tuna amani kua sisi ni ndugu wa damu,kabila,imani,dini na taifa. Kuna matukio mabaya ambayo yamelipata taifa ili siku za karibuni ,yakibakiza maumivu na hasira baina yetu. Wapo wanaolaumiwa kusababisha wengine kutenda na wengine kukwepa wajibu wao.

Matukio aya yametufanya watanzania tugawanyike kwa kasi kubwa sana na kubaki na chuki,hasira na visasi mpaka kutakiana au kuombea mabaya

Hapa naomba niwakumbushe asa viongozi wa dini na vyama vya siasa kwamba wametufikisha ambako atukupaswa kufika. Ni hatari sana kwetu tuliopo leo na vizazi vingine tukiendelea kulea na kushabikia hasira,chuki,visasi na maumivu. Ni wajibu wa viongozi wetu kua mstari wa mbele kuona tunarudi kwenye utamaduni wetu wa umoja,upendo,amani na undugu.

Utofauti wetu wa itikadi za kisiasa zisivuke mipaka na kusababisha maumivu makali yasiyo futika mioyoni mwetu. Vyama vya siasa vyote vijue kua lengo la hivyo vyama sio kutugombanisha,kutufarakanisha au kutuondolea umoja na undugu wetu bali vyama vinabidi vifanye zaidi kuona tunu zetu zinarudi na kudum vizazi mpaka vizazi.

Kua CCM,CHADEMA,CUF,ACT-Wazalendo ,CHAUMMA nk isiwe tiketi ya kuharibu au kuhatarisha tunu zetu.
NIWAOMBE WATANZANIA TUJIRUDI NA KUWAJIBIKA KULINDA UMOJA WETU,UPENDO,AMANI nk Tukumbuke vita vya panzi faida kwa mwewe/tai.

AKIBAZI-ITAHWA
 
Mjomba, acha kuwadanganya watu. Kwa sasa kila mwananchi anaipambania nchi yake. Wazanzibari wanaipambania Zanzibar yao, na sisi Watanganyika tuliokuwa tumelala usingizi fofofo; tumeamka na kuanza kuipambania Tangayika yetu. Tanzania itabakia kuwa mali ya ccm.
Umoja uliopo ni wa kinafiki na maslahi binafsi! Wala hauna ukweli ndani yake.
 
Hapa naomba niwakumbushe asa viongozi wa dini na vyama vya siasa kwamba wametufikisha ambako atukupaswa kufika. Ni hatari sana kwetu tuliopo leo na vizazi vingine tukiendelea kulea na kushabikia hasira,chuki,visasi na maumivu. Ni wajibu wa viongozi wetu kua mstari wa mbele kuona tunarudi kwenye utamaduni wetu wa umoja,upendo,amani na undugu. Utofauti wetu wa itikadi za kisiasa zisivuke mipaka na kusababisha maumivu makali yasiyo futika mioyoni mwetu. Vyama vya siasa vyote vijue kua lengo la hivyo vyama sio kutugombanisha,kutufarakanisha au kutuondolea umoja na undugu wetu bali vyama vinabidi vifanye zaidi kuona tunu zetu zinarudi na kudum vizazi mpaka vizazi.
Kua CCM,CHADEMA,CUF,ACT-Wazalendo ,CHAUMMA nk isiwe tiketi ya kuharibu au kuhatarisha tunu zetu.
NIWAOMBE WATANZANIA TUJIRUDI NA KUWAJIBIKA KULINDA UMOJA WETU,UPENDO,AMANI nk Tukumbuke vita vya panzi faida kwa mwewe/tai.
AKIBAZI-ITAHWA
Hamna cha maana ulichoandika hapo kama lengo lako ni kutibu tatizo lolote.
1. Hujatoa solution
2.Umezunguka hutaji hata shida kubwa iliyotokea watu wanaumia ndugu zao waliuliwa na bado wanatekwa!
3.Unalaumu vyama kwa ujumla kana kwamba hujui ni chama kipi ndio chanzo cha haya nisikufiche ni CCM pekee ukiachana na CDM, vingine vyote ni jukuu wa CCM.
4.Unazungumzia viongozi wa dini, dini gani ? Wakati kuna watu upande wa uislamu walipinga wakapotezwa! Kwenye ukristo ndio usiseme!
Hili jambo usiongee kirahisi rahisi tu, kama vipi nyamaza tu, usije ukaonekana unakejeri ni mwisho wake upo! Viva Tanganyika✊️✊️✊️✊️
 
Kuna kauli na mienendo yetu kama watanzania imeanza kupotea kwa kasi kubwa sana. Tangu awali sisi watanzania tume amini kwenye umoja,upendo,mshikamano maana tuna amani kua sisi ni ndugu wa damu,kabila,imani,dini na taifa
kwanza watanzania tusihusishe kwenye ulichokiandika sisi hatuna undugu na watu wa mashariki ya maji….

Kuna matukio mabaya ambayo yamelipata taifa ili siku za karibuni ,yakibakiza maumivu na hasira baina yetu. Wapo wanaolaumiwa kusababisha wengine kutenda na wengine kukwepa wajibu wao.
sasa kama kunanatukiobmabaya yaliwahi kutokea hapo awali.unazani ni njia hani ya kusolve?

dini na vyama vya siasa kwamba wametufikisha ambako atukupaswa kufika. Ni hatari sana kwetu tuliopo leo na vizazi vingine tukiendelea kulea na kushabikia hasira,chuki,visasi na maumivu
Ni umoja gani unaouhitaji wewe ikiwa wenye madalaka hautaki?

Utofauti wetu wa itikadi za kisiasa zisivuke mipaka na kusababisha maumivu makali yasiyo futika mioyoni mwetu.
Hili ni jukumu la viongozi,sio sisi ikiwa wao wemetufikisha pasipostahili,watufikishe panapostahili.
 
Sababu ni Zile Zile Tu.
Kenge hadi Umpasue Masikio ndio akusikie.

1. Utekaji.
2. Mauaji ya kutisha na Mauaji ya Maelfu ya watu ( October 29.)
3. Kupotezwa kwa Watu..
4. Uhuru wa vyombo vya habari.
5. Uhuru wa kutoa maoni.
6. Kubambikia kesi za uongo akina Lissu, Mboye, Bony, Malisa CHADEMA NK
7. Uhuru wa kuabudu.
___________
8. Rushwa.
9. Ufisadi.
10. Ukiukwaji wa Haki za Binadamu.
 
Bibi yenu kutoka Zenji kaja Kutuharibia Taifa Letu.
Kaua Maelfu ya Watu October 29
Screenshot_20251217-065939~2.png
 
Mjomba, acha kuwadanganya watu. Kwa sasa kila mwananchi anaipambania nchi yake. Wazanzibari wanaipambania Zanzibar yao, na sisi Watanganyika tuliokuwa tumelala usingizi fofofo; tumeamka na kuanza kuipambania Tangayika yetu. Tanzania itabakia kuwa mali ya ccm.
Umoja uliopo ni wa kinafiki na maslahi binafsi! Wala hauna ukweli ndani yake.
Umemjibu vizuri sana.
Uhalisia ni kuwa WaTanganyika wengi wanajidanganya kwa kukumbatia neno Tanzania...
Kwangu mimi MTanganyika nayetumia neno Tanzania huku akizungumzia maslahi ya Tanganyika naona kama amepotoka!
Tanganyika kwanza! Hiyo Tanzania ni cha wote. Tunashindwaje na Zanzibar (Pemba na Unguja)?
 
Ndugu ,siamini kua sisi inabidi tuendeleza makosa ambayo labda yamefanywa na hao tunaofikiria maana tukifanya hivyo basi tutakua tumekubali kushirikiana nao kuharibu nchi yetu. Ni muhimu kuzingatia ilo
 
Ili aliwezi kua na faida kwetu.Nafikiri tunaweza kuamua kujenga kuliko kuendeleza kuboa ndugu. OMBI LANGU NI FAIDA KWA TAIFA LETU TANZANIA
 
Hamna cha maana ulichoandika hapo kama lengo lako ni kutibu tatizo lolote.
1. Hujatoa solution
2.Umezunguka hutaji hata shida kubwa iliyotokea watu wanaumia ndugu zao waliuliwa na bado wanatekwa!
3.Unalaumu vyama kwa ujumla kana kwamba hujui ni chama kipi ndio chanzo cha haya nisikufiche ni CCM pekee ukiachana na CDM, vingine vyote ni jukuu wa CCM.
4.Unazungumzia viongozi wa dini, dini gani ? Wakati kuna watu upande wa uislamu walipinga wakapotezwa! Kwenye ukristo ndio usiseme!
Hili jambo usiongee kirahisi rahisi tu, kama vipi nyamaza tu, usije ukaonekana unakejeri ni mwisho wake upo! Viva Tanganyika✊️✊️✊️✊️
Ahsante kwakuona sijaandika chochote ila umeweza kujadili nilicho kiandika. Tukitaka kutoka tulipo kwama na kupiga hatua kamwe atuwezi kutoka kama tujikita zaidi kulaumiana,kutafuta visasi,hasira nk. Ni sahihi sana tukajikita kwenye kuliponya Taifa ili tena bila jazba au kiburi. Jazba na kiburi ni ishara mbaya ambayo inaweza kutufanya tushindwe kujikwamua na ili . Ushauri ,wakati mwingine tunaweza kutafakari zaidi kuliko kukimbilia kujibizana nk
AKIBAZI-ITAHWA
 
Ndugu ,siamini kua sisi inabidi tuendeleza makosa ambayo labda yamefanywa na hao tunaofikiria maana tukifanya hivyo basi tutakua tumekubali kushirikiana nao kuharibu nchi yetu. Ni muhimu kuzingatia ilo
Makosa yaliyofanyika kamwe hayawezi kiturejesha kwenye umoja kati ya Tanganyika na Zanzibar. Watanganyika wengi tumeamka kuidai Tanganyika yetu kuliko ilivyokuwa hapo awali.

Kwa hiyo umoja utabakia kuwa ni wa kinafiki tu. Hakuna umoja wa kweli.
 
Mkuu ni uhakika kua wale mnaofikiria kwa mfumo na mlengo wa Utanganyika na Uzanzibar mnaweza kua nyie ndiyo adui namba moja. Tunaweza kuamini na kufanya yaliyo mema na kurudisha umoja wetu pasipo kuangalia sijui Utanganyika na Uzanzibar maana kufanya hivyo ni kuukana uzao wako mkuu.
 
Umekosa hata ujasiri wa kutamka kuwa kuna mtu mmoja mwenye madaraka makubwa,kaamua kuteka,kubanbikia kesi nzito,kutesa na kuua wote wanaompinga. Hatuwezi kuliponya taifa kwa kuzunguka tu bila kutaja kiini cha tatizo
 
Watanzania wenzangu Mungu ni mwema bila shaka.Leo nimetafakari sana na mwisho wa siku imenibidi niandike ombi na wito kwetu watanzania. Hapana shaka kua kuna mambo ayako sawa sana asa kwenye nyanja ya siasa zetu. Ukweli wa ili jambo, nikupitia kwenye mitandao,maongezi ya watu, stori vijiweni na makazini.

Kuna kauli na mienendo yetu kama watanzania imeanza kupotea kwa kasi kubwa sana. Tangu awali sisi watanzania tume amini kwenye umoja,upendo,mshikamano maana tuna amani kua sisi ni ndugu wa damu,kabila,imani,dini na taifa. Kuna matukio mabaya ambayo yamelipata taifa ili siku za karibuni ,yakibakiza maumivu na hasira baina yetu. Wapo wanaolaumiwa kusababisha wengine kutenda na wengine kukwepa wajibu wao.

Matukio aya yametufanya watanzania tugawanyike kwa kasi kubwa sana na kubaki na chuki,hasira na visasi mpaka kutakiana au kuombea mabaya

Hapa naomba niwakumbushe asa viongozi wa dini na vyama vya siasa kwamba wametufikisha ambako atukupaswa kufika. Ni hatari sana kwetu tuliopo leo na vizazi vingine tukiendelea kulea na kushabikia hasira,chuki,visasi na maumivu. Ni wajibu wa viongozi wetu kua mstari wa mbele kuona tunarudi kwenye utamaduni wetu wa umoja,upendo,amani na undugu.

Utofauti wetu wa itikadi za kisiasa zisivuke mipaka na kusababisha maumivu makali yasiyo futika mioyoni mwetu. Vyama vya siasa vyote vijue kua lengo la hivyo vyama sio kutugombanisha,kutufarakanisha au kutuondolea umoja na undugu wetu bali vyama vinabidi vifanye zaidi kuona tunu zetu zinarudi na kudum vizazi mpaka vizazi.

Kua CCM,CHADEMA,CUF,ACT-Wazalendo ,CHAUMMA nk isiwe tiketi ya kuharibu au kuhatarisha tunu zetu.
NIWAOMBE WATANZANIA TUJIRUDI NA KUWAJIBIKA KULINDA UMOJA WETU,UPENDO,AMANI nk Tukumbuke vita vya panzi faida kwa mwewe/tai.

AKIBAZI-ITAHWA
Katiba mpya na tume huru ya uchaguzi.
 
Mkuu ni uhakika kua wale mnaofikiria kwa mfumo na mlengo wa Utanganyika na Uzanzibar mnaweza kua nyie ndiyo adui namba moja. Tunaweza kuamini na kufanya yaliyo mema na kurudisha umoja wetu pasipo kuangalia sijui Utanganyika na Uzanzibar maana kufanya hivyo ni kuukana uzao wako mkuu.
Kama mna upenda muungano, mkubali Zanzibar na yenyewe ifutike kama mlivyoifuta Tanganyika. Naamnisha kuwe na muungano wa serikali moja! Kusiwepo na habari ya mimi ni Mzanzibari! na bla bla nyingine.

Kinyume na hapo, na sisi tunaitaka Tanganyika yetu. Hatuwezi kufungamana na huu muungano wa kipuuzi wa changu changu, chako changu.
 
Watanzania wenzangu Mungu ni mwema bila shaka.Leo nimetafakari sana na mwisho wa siku imenibidi niandike ombi na wito kwetu watanzania. Hapana shaka kua kuna mambo ayako sawa sana asa kwenye nyanja ya siasa zetu. Ukweli wa ili jambo, nikupitia kwenye mitandao,maongezi ya watu, stori vijiweni na makazini.

Kuna kauli na mienendo yetu kama watanzania imeanza kupotea kwa kasi kubwa sana. Tangu awali sisi watanzania tume amini kwenye umoja,upendo,mshikamano maana tuna amani kua sisi ni ndugu wa damu,kabila,imani,dini na taifa. Kuna matukio mabaya ambayo yamelipata taifa ili siku za karibuni ,yakibakiza maumivu na hasira baina yetu. Wapo wanaolaumiwa kusababisha wengine kutenda na wengine kukwepa wajibu wao.

Matukio aya yametufanya watanzania tugawanyike kwa kasi kubwa sana na kubaki na chuki,hasira na visasi mpaka kutakiana au kuombea mabaya

Hapa naomba niwakumbushe asa viongozi wa dini na vyama vya siasa kwamba wametufikisha ambako atukupaswa kufika. Ni hatari sana kwetu tuliopo leo na vizazi vingine tukiendelea kulea na kushabikia hasira,chuki,visasi na maumivu. Ni wajibu wa viongozi wetu kua mstari wa mbele kuona tunarudi kwenye utamaduni wetu wa umoja,upendo,amani na undugu.

Utofauti wetu wa itikadi za kisiasa zisivuke mipaka na kusababisha maumivu makali yasiyo futika mioyoni mwetu. Vyama vya siasa vyote vijue kua lengo la hivyo vyama sio kutugombanisha,kutufarakanisha au kutuondolea umoja na undugu wetu bali vyama vinabidi vifanye zaidi kuona tunu zetu zinarudi na kudum vizazi mpaka vizazi.

Kua CCM,CHADEMA,CUF,ACT-Wazalendo ,CHAUMMA nk isiwe tiketi ya kuharibu au kuhatarisha tunu zetu.
NIWAOMBE WATANZANIA TUJIRUDI NA KUWAJIBIKA KULINDA UMOJA WETU,UPENDO,AMANI nk Tukumbuke vita vya panzi faida kwa mwewe/tai.

AKIBAZI-ITAHWA
Ili hayo uliyoeleza yaweze kutimia, haki iwepo.
Wale waliouwa ndugu zetu Oct. 29 wawajibike/wawajibishwe.
Waliotuma wauwaji wawajibike/wawajibishwe.
Miili ya marehemu waliouliwa ikabidhiwe kwa ndugu wafanye maziko ya heshima.
Kifuta machozi kilipwe kwa wale waliopoteza ndugu zao.
Mchakato wa katiba mpya nzuri ufanyike haraka tupate katiba nzuri.
Uchafuzi ule ufutwe, uchaguzi huru na wa haki uitishwe chini ya tume huru. (Tume iliyo huru kweli, sio jina tu)
 
Back
Top Bottom