umoja wa mataifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Novemba 5, 2026 Tanzania kujitetea mbele ya Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa

    Hali ya haki za binadamu nchini Jamhuri ya Muungano wa Tanzania itachunguzwa kwa mara ya nne na Kikundi Kazi cha Mapitio ya Jumla ya Hali ya Haki za Binadamu (Universal Periodic Review – UPR) cha Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa, siku ya Alhamisi, Novemba 5, 2026, kuanzia saa 14:30...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Lutgard Kagaruki: Umoja wa Mataifa, AU na EAC zina faida gani kwetu? wamekaa kimya kuhusu vifo vya Oktoba 29

    Mjumbe wa Bodi ya Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Lutgard Kagaruki, amesema kinachomuumiza zaidi ni baadhi ya viongozi kujifanya kana kwamba hakuna kilichotokea, huku wakihusisha vifo hivyo na vurugu zilizofanywa na vijana, akisisitiza kuwa kufanya vurugu hakuhalalishi kuua kwa...
  3. C

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Umoja wa Mataifa: Kuficha Ripoti ya Matukio ya Oktoba 29 kunakiuka haki ya kupata ukweli, na kunakuchochea kutowajibishwa kwa wahusika

    Wataalamu kutoka Umoja wa Mataifa (UN) wameeleza wasiwasi mkubwa kuhusu ucheleweshwaji kwa matokeo ya tume ya uchunguzi ,baada ya kutokea kwa ghasia amabzo hazikuwa za kawaida na kufuatiwa na uchunguzi Wamesema waathirika wa matukio hayo bado wanasubiri haki itendeke na matokeo ya uchunguzi huo...
  4. Damaso

    JamiiForums Tanzania Mission za Umoja wa Mataifa na Harakati za kulinda amani: Baraza la Ulinzi la UN kuwa kama Circus, Sehemu ya Mwisho

    li kuelewa kikamilifu kwa nini Umoja wa Mataifa umegeuka kuwa Circus na mbwa asiye na meno, ni lazima kutazama ubaguzi wa kimfumo na mgawanyo wa madaraka ndani ya Baraza la Usalama la UN (UNSC). Kwa kawaida kuna mataifa matano zenye kura ya turufu maarufu kama (P5)— Marekani, Uingereza...
  5. Damaso

    JamiiForums Tanzania Mission za Umoja wa Mataifa na Harakati za kulinda amani: Baraza la Ulinzi la UN kuwa kama Circus

    Tathmini ya kina ya mfumo wa ulinzi wa amani wa Umoja wa Mataifa (UN) inapofanyika katika maeneo yenye migogoro mikali duniani, sura halisi inayojitokeza sio ile ya alama ya tawi la mzeituni au kofia ya bluu inayowakilisha matumaini na uokozi. Badala yake, ukweli mchungu unaodhihirika ni kwamba...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mtanzania Upendo Lyimo ashinda tuzo ya AI ya Mabadiliko ya Tabianchi ya Umoja wa Mataifa (UN) mwaka 2026

    Mtanzania Upendo Ernest Lyimo ametangazwa mshindi wa tuzo ya AI for Climate Action Award 2026 kupitia jukwaa lake la CLIMAID, linalotumia teknolojia ya akili unde (AI), taarifa za satelaiti na takwimu za mazingira na jamii kusaidia kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi. Upendo...
  7. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania TUWAFAHAMU VIONGOZI WA UMOJA WA MATAIFA (UN) TANGU KUANZISHWA KWAKE✍️🌍🇺🇳

    👉 Umoja wa Mataifa (United Nations – UN) ulianzishwa rasmi tarehe 24 Oktoba 1945, baada ya kumalizika kwa Vita Kuu ya Pili ya Dunia. Ulianzishwa kama jukwaa la mataifa duniani kwa ajili ya kudumisha amani na usalama wa kimataifa, kuimarisha ushirikiano wa kimataifa na kushughulikia changamoto...
  8. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Rais wa Haiti anywa maji kwa kutumia jagi kwenye mkutano wa umoja wa mataifa, 2026?

    Kumekuwepo na video inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii ikidai kuwa Kiongozi wa Baraza la Urais la Mpito la Haiti, Edgard Leblanc Fils, hivi karibuni amezua gumzo wakati wa Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), baada ya kunywa maji kwa kutumia jagi na kaucha kutumia glass kama ilivyo...
  9. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania 23 Septemba 2021 — Rais Samia ahutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA 76)

    Tarehe 23 Septemba 2021, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, alihutubia Mjadala Mkuu wa Mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA 76) jijini New York, Marekani. Katika hotuba yake, alizungumzia miongoni mwa mambo yafuatayo: -Athari za UVIKO-19 katika...
  10. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Tanzania yapiga hatua kupunguza vifo vya mama na mtoto, kuwania kiti Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa (UN), yasukuma mbele ajenda ya Afrika

    👉Tanzania imetangaza azma yake ya kuwania nafasi ya uanachama usio wa kudumu katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kwa kipindi cha 2029–2030, huku ikiahidi kupeleka katika chombo hicho sauti imara ya Afrika na kusukuma mbele diplomasia ya kuzuia migogoro, utatuzi wa migogoro kwa njia za...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Video: Rais wa Syria akutwa akiperuzi reels Instagram wakati Mkutano wa Baraza la Umoja wa Mataifa (UNGA) ukiendelea

    Video imesambaa mtandaoni ikimuonesha Rais wa Syria, Ahmed al-Sharaa, akiperuzi Instagram kwenye simu yake wakati Rais wa Uturuki, Recep Tayyip Erdogan, akihutubia Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UNGA), uliofanyika New York
  12. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Mataifa (UN) wapiga kura kupitisha ramani mpya ya dunia ili kuonyesha ukubwa halisi wa Afrika

    Umoja wa Mataifa umepiga kura ya kupitisha ramani mpya rasmi ya dunia iliyobuniwa kuonyesha ukubwa halisi wa kijiografia wa bara la Afrika na maeneo mengine ya kanda ya ikweta. Mabadiliko haya yanalenga kuchukua nafasi ya "Mercator projection" (ramani ya kale ya Mercator), ambayo imekuwa...
  13. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania SI KWELI UN yawataka wanawake wawe makini na wanaume kwa sababu, wanaume ni wchache sana?

    Kumekuwepo na ujumbe unaosambazwa kwenye mitandao , hususan WhatsApp, ukidai kuwa Umoja wa Mataifa (UN) ulitoa ripoti katika robo ya kwanza ya mwaka 2025 ikisema kuwa dunia ina watu bilioni 7.8, wakiwemo wanawake bilioni 5.6 na wanaume bilioni 2.2. Ujumbe huo pia unadai kuwa UN iliwashauri...
  14. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania Katambi, Kombo wakutana na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Uhamiaji (IOM) Duniani

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Patrobas Katambi na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,Balozi Mahmoud Thabit Kombo wamekutana na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Uhamiaji (IOM),Amy Pope ambae ameongozana Mkurugenzi wa Kikanda wa Pembe ya Afrika Mashariki...
  15. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo afikisha salamu za Rais Samia kwa Katibu Mkuu Umoja wa Mataifa

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb), amewasilisha ujumbe maalum wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Mhe. António Guterres, na kusisitiza dhamira ya Tanzania ya...
  16. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya Umoja wa Mataifa kuhusu Israel

    ⚠️Picha za picha kali sana⚠️ GRAPHIC-VIDEO Umoja wa Mataifa umeongeza vyombo vya Israeli kwenye orodha yake nyeusi ya unyanyasaji wa kijinsia unaohusiana na migogoro kwa mara ya kwanza, ukitaja Huduma ya Magereza ya Israeli katika ripoti ya 2026 na kuweka mamlaka zingine za Israeli chini ya...
  17. Ritz

    JamiiForums Tanzania Iran: Nchi 6 za Kiarabu zinatakiwa kutulipa fidia

    Wanaukumbi. 🇮🇷🇺🇳 Iran kwa Umoja wa Mataifa: Nchi 6 za Kiarabu Zinadaiwa Kutulipa Nchi SITA za Kiarabu: Bahrain 🇧🇭 Jordan 🇯🇴 Kuwait 🇰🇼 Qatar 🇶🇦 Saudi Arabia 🇸🇦 UAE 🇦🇪 Mwakilishi wa Umoja wa Mataifa wa Iran Saeed Iravani amejibu rasmi barua kutoka kwa mataifa sita ya Kiarabu, akidai kuchukua...
  18. Asantehene

    JamiiForums Tanzania Rais Samia angeongoza kwa weledi nyumbani angeweza kushika nyadhifa kubwa duniani baada ya kumaliza awamu yake ya urais

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, António Guterres anatarajiwa kumaliza muda wake kama Katibu Mkuu wa tisa aliyeliongoza Shirika la Umoja wa Mataifa kwa miongo miwili, hadi hapo Desemba 31 mwaka huu. Kama kawaida, siasa za chinichini zimekwishaanza za kumpata mrithi wake, huku mataifa kadhaa...
  19. tucker carlson

    JamiiForums Tanzania UN yapitisha azimio la kutambua utumwa wa Waafrika kama uhalifu dhidi ya binadamu. Israel, Marekani na Argentina zapinga

    Wakuu, Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limepitisha azimio linalotambua biashara ya utumwa wa Waafrika kama uhalifu dhidi ya ubinadamu, hatua iliyopigiwa kura 123 za kuunga mkono. Katika kura hiyo, nchi tatu, Argentina, Israel na Marekani zilipinga, huku nchi 52 zikijizuia kupiga kura. Soma pia...
  20. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Mataifa waeleza matumaini yake kwa Tume ya Jaji Chande

    Mtaalamu Maalum wa United Nations kuhusu haki ya uhuru wa kukusanyika kwa amani na kujumuika, Gina Romero, ameipongeza Tanzania kwa kuunda tume huru ya uchunguzi kuhusu matukio ya vurugu ya Oktoba, akisema hatua hiyo inaonyesha dhamira ya nchi hiyo kulinda haki za binadamu. Romero alitoa kauli...
Back
Top Bottom