umoja wa mataifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa v/s Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, ni yapi majukumu yao?

    Mwenye kufahamu utendaji kazi na majukumu yao kati ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa na Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa. Nyongeza ndogo, Je! Kura ya Turufu ni inamaana gani?
  2. JanguKamaJangu

    Somalia: Helikopta ya Umoja wa Mataifa (UN) yashikiliwa na Al-Shabab ikiwa na abiria

    Kundi la Al-Shabab limeikamata Helikopta ya Umoja wa Mataifa (UN) ikiwa na Watu Wanane wakati ilipotua kwa dharura katika eneo linaloshikiliwa na kundi hilo katikati mwa Somalia. Kituo cha Habari cha Somali National News Agency (SONNA) kimeeleza Ndege hiyo ilitua Mji wa Galmudug na mazungumzo...
  3. Z

    Vita Kati ya Israel na Hamas ni matokeo ya makosa ya Umoja wa mataifa, Israel, Palestine na warabu

    Mwanadamu hajawahi taka kutumia akili ndiyo maana ya matatizo yanayoikumba Dunia . Vita Kati ya Israel na hamas (Palestina) ni Moja wapo ya matatizo ya kutotaka kutumia akili.nitatoa sababu za kwa nini akili inatakiwa itumike kumaliza vita hii. 1. Umoja wa mataifa ulifanya makosa 1948 wakati...
  4. L

    Malengo ya uwekezaji wa China barani Afrika yanaendana na Malengo ya Maendeleo Endelevu ya Umoja wa Mataifa

    Baada ya China kupata maendeleo makubwa ya kiuchumi, nafasi yake ikiwa kama nchi mkopeshaji imeongezeka na kuwa mbele duniani. Malengo ya sera ya uwekezaji wa China kwa nchi za Afrika yanaendana na Malengo ya Maendeleo Endelevu ya Umoja wa Mataifa ya mwaka 2030, na China inaonekana kuwa...
  5. BARD AI

    Umoja wa Mataifa: Zaidi ya Watu 10,000 wameuawa katika eneo la Gaza

    Kwa mujibu wa taarifa ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), Antonio Guterres, mashambulizi yanayoendelea #Gaza pia, yamesababisha athari kubwa kwa Watoto ambapo kila baada ya dakika 10 Mtoto mmoja anauawa. Guterres amesema hadi sasa takriban Watoa Huduma 89 wa UN wamepoteza maisha wakati...
  6. benzemah

    Rais Samia afanya Mazungumzo na Katibu Msaidizi wa Umoja wa Mataifa Anayeshughulikia Masuala ya Kibinadamu na Naibu Mratibu wa Huduma za Dharura

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Katibu Msaidizi wa Umoja wa Mataifa anayeshughulikia Masuala ya Kibinadamu na Naibu Mratibu wa Huduma za Dharura Bi. Joyce Msuya, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 6 Novemba, 2023.
  7. Mpinzire

    Azimio No. 181 la Umoja wa Mataifa lilitengeneza matokeo ya leo kati Palestina na Israel.

    Baada ya kufatilia kwa utulivu issue ya migogoro isiyoisha kati ga Palestina na Israel, nimejilidhusha pasi na shakha kuwa Umoja wa Maitafa chini ya azimio lake la mwaka 1947 la kuigawa Palestina ya Uingereza na kutoa nchi mbili yaani ya Wayahudi na Waarabu ndiyo ilikuja kutengeneza tatizo zaidi...
  8. Jackal

    Wapalestina Wavunja Ghala Za Umoja Wa Mataifa Huko Gaza Na Kupora Unga!

    Mytake: Wapestina ni wahuni tu kama Wahuni wengine 🤔 ..... https://m.jpost.com/breaking-news/article-770670
  9. Webabu

    Umoja wa Mataifa wapitisha azimio kutaka vita isitishwe, Israel yapinga na yaongeza mapigo Gaza

    Kwa sauti moja hapo jana baraza kuu la umoja wa mataifa lilipitisha azimia likitaka vita visitishwe kwa muda ili kutoa fursa ya majadiliano na kuwezesha misaada kuingia Gaza. Kinyume chake taifa la Israel limepinga azimio hilo na katika kipindi cha masaa 24 wameongeza mapigo makali kuzidi ukali...
  10. K

    Baada ya Dkt. Salim, Dkt.Tulia atairudisha nchi katika unguli wa diplomasia ya kimataifa. Tumuombee, anaweza kuwa Katibu mkuu ajaye wa UN

    Kwanza, ninampongeza sana Spika Dkt.Tulia kwa ushindi wa kishindo kama Rais wa IPU, kama Taifa linajivunia juhudi na jitihada zake za kuitangaza nchi kimataifa. Spika Tulia au tumuite Rais wa IPU ni jasiri na mpambanaji na historia yake inajieleza vema. Kwa ufupi ni mwanamke wa shoka na yuko...
  11. Mhafidhina07

    Kwa vita ya Hamas na Israel, Marekani na Umoja wa Mataifa zishtakiwe

    Kitendo cha kuigawia uhuru wa dola nchi ya ISRAEL mwaka 1948 haikuwa sahihi na huenda ilikuwa ni mpango mkakati wa kuivuruga amani pamoja na uchumi wa dunia hii inatokana kuwapo na histosia kubwa katika nchi ya palestina. Kwa machafuko mengi ya kidunia huyu jamaa anatakiwa apigwe sanction za...
  12. Roving Journalist

    Umoja wa Mataifa (UN) Nchini Tanzania kuadhimisha Miaka 78 tangu ilipoanzishwa

    Umoja wa Mataifa (UN) nchini Tanzania unatarajia kuadhimisha miaka 78 tangu ilipoanzishwa mwaka 1945. Akizungumza na waandishi wa Habari kwa niaba ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. January Makamba Jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa...
  13. M

    Tanzania yatoa ufafanuzi Umoja wa Mataifa (UN) kutetea hatua za kunusuru uhifadhi wa Loliondo na Ngorongoro

    Na Mwandishi Maalum, New York, Marekani Nchi ya Tanzania imeshiriki mkutano mkuu wa 78 wa Umoja wa Mataifa ulioanza 25 Septemba, 2023 katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa Jijini New York, nchini Marekani ambapo imetumia mkutano huo kuelezea hatua za Serikali kunusuru uhifadhi na maendeleo ya...
  14. The Sheriff

    Umoja wa Mataifa: Wanawake wameachwa nyuma kwenye nafasi za kazi za Sayansi, Uhandisi na TEHAMA

    Mwaka 2022, watu bilioni 2.7 bado hawakuwa na upatikanaji wa intaneti. Tofauti hii inatishia kuongeza kutokuwiana baina na ndani ya nchi. Kutofikia teknolojia na taarifa kunakoendelea kutaendelea kuyatenga makundi ambayo tayari yako nyuma, ikiwa ni pamoja na wanawake na wasichana wa vijijini na...
  15. MK254

    Wapalestina 200,000 wabaki bila makazi, wanaishi kwa misaada ya Umoja wa Mataifa (UN)

    Huku Waarabu weusi wa Bongo wakiendelea kuchekelea na kufurahia uchokozi wa HAMAS kisa ni ndugu zao katika dini, ifahamike wahanga wa hii vita ni hao hao Wapalestina ambao mabomu yamelipua makazi yao na wameishia kwenda kuishi kwa misaada ya wazungu. Mataifa ya Waarabu na Iran wapo pembeni...
  16. Salahan

    Barua ya Palestina kwenda Umoja wa mataifa

    Barua hii nimeitoa Ukurasa rasmi wa ofisini ya Serikali kuu mtandao wa X na nitaiweka kama ilivyo na nitaiweka kwa tafsiri ya kiswahili kwa msaada wa Google Translator. Naomba radhi kwa namna yoyote ya ukoseaji wa tafsiri hiyo ijapo itakuwa msaada kwa Waswahili. Vita vya jumla vimepigiwa...
  17. Miss Zomboko

    Hotuba za Viongozi kadhaa wa mataifa ya Afrika katika mkutano wa kila mwaka wa Hadhara Kuu ya Umoja wa Mataifa

    Miongoni mwa waliosimama jukwaani kuhutubia alikuwa ni rais Paul Kagame wa Rwanda. Alijikita kuzungumzia mzozo wa madeni unavyoyatia kitanzi mataifa yanayoendelea na kuyapunguzia kasi ya kutimiza Malengo ya Maendeleo Endelevu ikiwa ni pamoja na kutokomeza umasikini. Amesema sababu ya hali hiyo...
  18. Upepo wa Pesa

    Kwanini Samia hajaenda kwenye mkutano wa Umoja wa Mataifa (UN)?

    Niko nafwatilia speech za viongozi wa afrika huko UN lakini mpaka sasa sijaona jina la rais wetu Samia. Je nini tatizo? NB: Mara ya mwisho nilimuona juzi akiwa jukwaani huko mtwara na akina Harmonize.
  19. Lycaon pictus

    Kwanini Umoja wa Mataifa hauendeshwi kidemokrasia?

    Nchi kubwa kubwa kama Marekani, Uingereza na Ufaransa hupigia sana kelele na kuhubiri uzuri wa demokrasia, na hasa wakishinikiza nchi changa zifuate demokrasia. Lakini watu hao hao hawataki taasisi kubwa zaidi duniani, Umoja wa mataifa iendeshwe kidemokrasia. Nchi hizo pamoja na Russia na China...
  20. BARD AI

    Umoja wa Mataifa wafunga Ofisi za Haki za Binadamu baada ya Rais Museveni kukataa kutoa kibali kingine

    Kwa mujibu wa Kamishna wa Haki za Binadamu wa UN, hatua hiyo inafuatia uamuzi wa Serikali ya Rais Yoweri Museveni kutohitaji kuendelea kwa Makubaliano ya uwepo wa Ofisi hizo nchini humo. Katika taarifa yake, UN imetilia shaka kukosekana uwazi katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika mwaka 2026...
Back
Top Bottom