umoja wa mataifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BARD AI

    Libya: Umoja wa Mataifa watoa wito wa kusitishwa mapigano

    Wito umetolewa kusitishwa mara moja kwa mapigano makali yanayohusisha makundi mawili ya Kisiasa yanayowania kuchukua Utawala wa Serikali katika mji mkuu wa Tripoli. Taarifa ya Umoja wa Mataifa iliyoungwa mkono na Balozi wa Marekani nchini Libya, Richard Norland imesema kuwa mapigano hayo...
  2. BARD AI

    Ujumbe wa Katibu Mkuu Umoja wa Mataifa kwa Vijana leo

    Ikiwa leo dunia inaadhimisha siku ya vijana duniani Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ametoa wito kwa jamii kuwasaidia vijana kwa kuwekeza kwenye kuwapatia elimu na kuwajengea uwezo wa kiujuzi kupitia mikutano pamoja na kufanya mabadiliko katika mifumo ya elimu. Vijana, ni nusu...
  3. AMRANI NURUDINI SAMWAJA

    SoC02 Kwanini vijana wa Tanzania wenye ndoto za kupata fursa za kiuchumi, elimu, kujitolea katika nchi za Umoja wa Mataifa huishia kutapeliwa

    KWANINI VIJANA WA TANZANIA WENYE NDOTO ZA KUPATA FURSA ZA AJIRA,ELIMU,KUJITOLEA KATIKA NCHIZA ZA UMOJA WA MATAIFA( NCHI ZA NJE) HUISHIA KUTAPELIWA,KUPATA VYUO VYA UCHOCHORONI AU KUKOSA NAFASI KABISA? Tanzania ina vijana wasomi Tena wengi sana kutokana na wimbi la kukosekana ajira wanajikuta...
  4. Lady Whistledown

    Msemaji wa Umoja wa Mataifa afukuzwa DRC

    Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imemtaka msemaji wa kikosi cha kulinda amani cha Umoja wa Mataifa, Mathias Gillmann kuondoka Nchini humo haraka iwezekanavyo baada ya Wizara ya Mambo ya Nje kumshutumu kwa kutoa "taarifa zisizoeleweka na zisizofaa" kuhusiana na Nchi hiyo Takriban watu 30...
  5. Poppy Hatonn

    Hatari: UN yatoa tahadhari kuhusu UKIMWI

    Umoja wa Mataifa umesema jana kasi ya kupunguka kwa AIDS imepunguka. KUNDI LA MSINGI LILILOATHIRIWA Nchini Marekani, mashoga wa kiume wamejumuisha zaidi ya robo tatu ya visa vyote vya UKIMWI. Asilimia ya mashoga kati ya jumla ya wagonjwa wote wa UKIMWI imebakia kluwa vile vile. Ulaya, mashoga...
  6. Lady Whistledown

    Watano wauawa katika maandamano ya Kupinga Vikosi vya Umoja wa Mataifa Nchini DR Congo

    Takriban watu watano wameuawa na wengine hamsini kujeruhiwa katika siku ya pili ya maandamano ya kupinga vikosi vya kulinda amani vya Umoja wa Mataifa katika mji wa Goma mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Mamia ya Waandamanaji wanadaiwa kulazimisha kuingia katika kituo cha ujumbe wa...
  7. beth

    Julai 25: Siku ya Kuzuia Kuzama Maji Duniani (World Drowning Prevention Day)

    Mnamo Aprili 2021, UN ilipitisha Julai 25 kuwa Siku ya Kuzuia Kuzama Maji Duniani inayolenga kuangazia athari za Ajali hizo na kuweka mikakati ya kuzizuia Kuzama kunatajwa kuwa tatizo kubwa la Afya ya Umma duniani, na inakadiriwa watu wapatao 236,000 huzama kila mwaka. Inaelezwa kuwa, Nchi za...
  8. S

    Ripoti ya Umoja wa Mataifa yathibitisha majeshi ya Ukraine kutumia raia kama ngao za kivita

    Umoja wa Mataifa umethibitisha kuwa Zelensky na majeshi yake ya Ukraine wamekuwa wakiwatumia raia kama ngao za vita. Umoja huo umetaja mapigano ya maeneo tofauti tofauti ambapo majeshi ya Ukraine yaliwazuia raia wasio na hatia wakiwemo wanawake, wajawazito, wazee, walemavu, wagonjwa, na watoto...
  9. Lady Whistledown

    Msumbiji yachaguliwa Mwanachama wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa

    Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limeichagua Msumbiji kuwa mwanachama asiye wa kudumu wa Baraza hilo kwa muhula wa miaka miwili kuanzia Januari 2023 Nchi nyingine zilizochaguliwa ni pamoja na Ecuador, Japan, Malta na Uswizi ambapo watachukua nafasi za India, Ireland, Kenya, Mexico na Norway...
  10. beth

    Balozi wa Urusi asusia kikao cha Umoja wa Mataifa (UN)

    Balozi wa Urusi katika Umoja wa Mataifa (UN), Vassily Nebenzia ametoka nje ya kikao ya Baraza la Usalama baada ya Rais wa Baraza la Ulaya, Charles Michel kuishutumu Moscow kwa kusababisha janga la Chakula duniani Michel ameyashutumu Majeshi ya Urusi kwa uhalifu wa kivita na makosa mengine ya...
  11. JanguKamaJangu

    Mwanajeshi wa Umoja wa Mataifa auawa Nchini Mali

    Mmoja wa wanajeshi walinda amani wa Umoja wa Mataifa (UN) ameuawa na wengine watatu kujeruhiwa wote wakiwa ni raia wa Jordan, jana Juni Mosi, 2022 katika shambulio la kigaidi dhidi ya msafara wao katika Jimbo la Kidal, Kaskazini mwa Mali. Msafara wao ulishambuliwa kwa silaha ndogo katika...
  12. Lady Whistledown

    Umoja wa Mataifa: Takriban watu milioni 18 kukabiliwa na baa la njaa ukanda wa Sahel

    Umoja wa Mataifa umeonya kuwa watu milioni 18 katika eneo la Sahel barani Afrika wanakabiliwa na njaa kali katika miezi mitatu ijayo kutokana na athari za Vita kati ya Urusi na Ukraine, janga la COVID-19 na mabadiliko ya hali ya hewa Inaelezwa kuwa idadi kubwa zaidi ya watu wako katika hatari...
  13. beth

    Umoja wa Mataifa: Janga la Chakula kutokana na vita vya Ukraine na Urusi linaweza kudumu miaka kadhaa

    Umoja wa Mataifa umesema Vita inayoendelea kati ya Urusi na Ukraine imezidisha uhaba wa Chakula katika Mataifa masikini kutokana na kupanda kwa bei. Imeelezwa kuwa, baadhi ya Nchi zinaweza kukabiliwa na njaa ya muda mrefu ikiwa mauzo ya nje ya Ukraine hayatarejeshwa katika viwango vya awali...
  14. JanguKamaJangu

    Marekani na Umoja wa Mataifa walaani mauaji ya Mwandishi wa Habari wa Al Jazeera

    Marekani na Umoja wa Mataifa wamelaani vikali mauaji ya mwandishi wa habari wa Al Jazeera ambaye alikuwa anaripoti kuhusu operesheni ya jeshi la Israel katika ukingo wa magharibi. Shireen Abu Akleh, m Mmarekani mwenye asili ya Palestina mwenye umri wa miaka 51, alipigwa risasi licha ya...
  15. Lady Whistledown

    Umoja wa Mataifa waonya watoto kuajiriwa katika magenge ya kihalifu nchini Haiti

    Umoja wa Mataifa umeelezea wasiwasi wake kuhusu ukiukwaji wa haki za watoto kwa kuajiriwa na magenge ya kihalifu, huku ghasia zinazoongezeka katika mji mkuu wa #Port-au-Prince, zikisabisha vifo vya makumi ya raia na zikiwalazimisha maelfu ya watu kuyahama makazi yao - Naibu msemaji wa Umoja wa...
  16. JanguKamaJangu

    Umoja wa Mataifa (UN) walaani Utawala wa Mali kufungia vyombo vya habari

    Kamishna Mkuu wa Umoja wa Mataifa wa Haki za Kibinadamu amekosoa uamuzi wa Mali wa kupiga marufuku vyombo vya habari vya Ufaransa na kuwataka watawala wake wa kijeshi kubadili uamuzi wao. "Tumesikitishwa sana na uamuzi wa Mdhibiti wa Vyombo vya Habari wa Mali kuifungia Radio France...
  17. M

    Kura ya kuiondoa Urusi kwenye Tume ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa: Tanzania yajitoa (abstain)

    Leo Baraza Kuu la Umoja wa Màtaifa lilipigia kura azimio lililopendekezwa na Marekani kuiondoa Urusi kwenye tume ya hàki za binadamu ya umoja wa mataifa. Sababu ni Urusi kudaiwa kukiuka haki za binadamu ñchini Ukraine wanakopigana vita. Katika kupiga kura Tanzania iliamua kuungana na nchi...
  18. beth

    UN yaisimamisha Urusi katika Baraza lake la Haki za Binadamu

    Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limepiga Kura kuisimamisha Urusi katika Baraza la Haki za Kibinadamu la Umoja huo (UNHRC) kama adhabu kwa uvamizi wake dhidi ya Ukraine Kati ya Wajumbe 193 wa Baraza hilo, 93 walipiga Kura ya kuunga mkono kusimamishwa Urusi, 24 walipinga na 58 hawakupiga Kura Hii...
  19. Analogia Malenga

    UN: Ni rahisi kusambaza habari potoshi kupitia WhatsApp

    Umoja wa Mataifa (UN) kupitia ukurasa wake wa twitter wameutaja mtandao wa kijamii wa WhatsApp kama njia rahisi ya kusambaza taarifa zisizo sahihi. Wameandika ujumbe kupitia WhatsApp huweza kuonekana kama umetoka kwa mtu wa karibu. Wamesema ni muhimu kuhakiki ujumbe kabla ya kuutuma kwa...
  20. Analogia Malenga

    Umoja wa Mataifa: Afrika itakumbwa na uhaba wa ngano kutokana na vita vya Urusi na Ukraine

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, António Guterres, ameonya kwamba vita vya Urusi dhidi ya Ukraine vinaweza kusababisha kile alichokiita "kimbunga cha njaa" na uhaba wa chakula kote duniani. Alisema nchi nyingi za Afrika na maskini zinategemea zaidi uzalishaji wa ngano wa Urusi na Ukraine...
Back
Top Bottom